3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,257
- 6,986
ilioshambuliwa sio kambi ya jeshi ni consulateMmechokoza moto mtahama Iraq mkitaka msitake, kama nyinyi super power rejesheni mapigo Tehran
ilioshambuliwa sio kambi ya jeshi ni consulateMmechokoza moto mtahama Iraq mkitaka msitake, kama nyinyi super power rejesheni mapigo Tehran
ww hujui chochote unaona kama pleasure wakati haya mambo yaathiri mpaka huko kwenu, emu ulizia bei petroli, diesel lakini nauli za magariTwende Kazi......mchina nae atoe kibwagizo.........nyimbo inavutia
Acha uongo ww mpuuzi unataka kugeuza ukweli kwa uongo wako, wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta ushabiki maandazi na mgazeti yako ya Washington hapa, ndio nyie mnaosema Urusi anapigwa wakati kucha kutwa anayatwaa majimbo huko, endelea kuota na propaganda zakoHamna kambi iliyoshambuliwa na kwa sasa Iran hatokua na ubavu huo maana kwa namna dunia inavyotikisika bila kueleweka eleweka hamna taifa linataka kusikika, hata mataifa ya Kiarabu yote yapo kimya....
Na ukristo wangu sijawahi furahia hilo taifa la Israel juu ya udhalimu wake kwa palestina, USA kwasasa hana nguvu ya kujifanya super power kwani anapata changamoto nyingi kwa mataifa makubwa kama China, Russia huku Waingereza wenyewe hawana ubavu kuichumi, Japan athari za Hiroshima na Nagasaki bado ni kovu tisha, Germany hana mpango wa vita.Kwani nyinyi si mnafurahi Israel inaposhambulia Palestina na chakushangaza mnafurahi na kejeli, mm huwaga napenda kuongea ukweli
Endeleeni kujifajiriniilioshambuliwa sio kambi ya jeshi ni consulate
nasisi tuipige us tujitwalie miami watu tukale upepo wa beachDaah kweli dunia imebadilika sana yaani USA imekuwa ya kuchezewa namna hii?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Acha uongo ww mpuuzi unataka kugeuza ukweli kwa uongo wako, wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta ushabiki maandazi na mgazeti yako ya Washington hapa, ndio nyie mnaosema Urusi anapigwa wakati kucha kutwa anayatwaa majimbo huko, endelea kuota na propaganda zako
Yeah, watu humu wananishangaza sana, eti wanachanganya uyahudi na ukiristo kitu ambacho hivi vitu ni viwili tofauti, big up kwa kuongea ukweliNa ukristo wangu sijawahi furahia hilo taifa la Israel juu ya udhalimu wake kwa palestina, USA kwasasa hana nguvu ya kujifanya super power kwani anapata changamoto nyingi kwa mataifa makubwa kama China, Russia huku Waingereza wenyewe hawana ubavu kuichumi, Japan athari za Hiroshima na Nagasaki bado ni kovu tisha, Germany hana mpango wa vita.
Akijichanganya wanaume wataenda kumpiga kwake
Sasa nyinyi mtakubali vipi huko kwa mparange buza wakati mnaangalia movie za rambo kila siku , mnayajuaje mambo ya kimataifaBro una ushabiki wa kifara sana Una source yako ya Habari naye ana source yake ya Habari. Haukuwa kwenye shambulio what make you think you’re correct?
Kwani kwetu hayo ni mapya? Dijei putini ongeza sauti aseeeww hujui chochote unaona kama pleasure wakati haya mambo yaathiri mpaka huko kwenu, emu ulizia bei petroli, diesel lakini nauli za magari
najifariji na lipi wakati nakusahihisha hapoEndeleeni kujifajirini
nasio kujitwalia mecca 😂😂😂 ukahiji vizurinasisi tuipige us tujitwalie miami watu tukale upepo wa beach
IRGC officially claims responsibility for the missile attack last night on the US/israeli base last night in Erbil, Iraqnajifariji na lipi wakati nakusahihisha hapo
ila adui wenu mkubwa israel yuko ubia mmoja na urusi mkianza kuchapwa pale palestine mtafute wa kuwafuta machozi
Acha uongo ww mpuuzi unataka kugeuza ukweli kwa uongo wako, wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta ushabiki maandazi na mgazeti yako ya Washington hapa, ndio nyie mnaosema Urusi anapigwa wakati kucha kutwa anayatwaa majimbo huko, endelea kuota na propaganda zako
ilioshambuliwa sio kambi ya jeshi ni consulate
bata tuu mkuu tuondoe masahibu ya bongo nyoso, ni mwendo wa totoz na k vant za kiamericanasio kujitwalia mecca 😂😂😂 ukahiji vizuri
ila umewza miami ukale bata kwenye makasino
Mambo yalianzia hapa iran walisema israel na marekani watalipa na watajibu na wamejibu kweliJana usiku 12 ballistic Missiles kutoka Iran zililenga base ya Marekani nchi Iraq ya Erbil na kusababisha kuteketezwa kambi hio, hii ni mara ya pili Iran kushambulia direct kutoka Iran mpaka kwenye kambi za Marekani
NB: Member wa Nato mmoja akishambuliwa Nato wote huwa wana haki ya kukushambulia je Nato wataweza kujibu mapigo?
BREAKING: Reports of multiple Fateh-110 short-range ballistic missiles striking the US base in Erbil, Iraq
#BREAKING: Ballistic missile strikes reported on US airbase in northern Iraq, near Erbil
View attachment 2148745
View attachment 2148746