TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,533
- 28,506
- Thread starter
-
- #61
NdiySubiri uone km kuna kitu ambacho kitabadilika unadhan Marekani alikua hajui km siku hii itafika?!. Cha kuangusha Us dollar kwa sasa ni labda waue huu mfumo wa Petrodollar.
Yan petrodollar aiue Iran?!, wkt kuna akina Venezuela, Qatar na baba yao Saudia...Ndiyo wanaanza kuua hiyo petrol dollar. Iran atampa mafuta ghafi, Urusi atampa teknolojia na vifaa vigine. Venezuela itakuwa hivyo hivyo. Philipino kwa Durtete kunauwezekano huo pia. Us alikataa kumuuzia Durtete bunduki 277,000 za kisasa kwa sasa ameamua kwenda Urusi na Juzi inasemekana walisaini mikataba ya maana 11 ; pia Russia imetumika wataalamu wa kivita kumsaidia Durtete na vita dhidi ya magaidi huko kwake.
Ndiy
Yan petrodollar aiue Iran?!, wkt kuna akina Venezuela, Qatar na baba yao Saudia...
Fatilia ishu ya Philippines half angalia kat ya US na Ufilipino nan alkua anamhtaj sana mwnzke.US alkua anamtumia Ufjlipino kwenye ishu ya south China sea ili wasielewane na China lakn sio et mshirika mkuu kibiashara....
Hyo ya Venezuela labda itokee ww na me tukiwa tumekufa maaana hv sasa huko Venezuela CIA wanafanya kaz yao wakimalza wanambandika puppet wao, Kwisha hbr
Bila Shaka maana Rais wa Venezuela alkua akiilaumu Marekani kwa machafuko, ila pia na hali mbaya ya kiuchumi nchini humo pia inachangia.You think m US yuko behind hili zengwe linaloendelea Venezuela?
Inasikitisha lakini jinsi namba ya kasi ya vifo inavyoendelea kukua, kama sijakosea wanakaribia tano bora(kama hawajafika bado) kwa huu mwaka.
Iran yaanza kuachana na matumizi ya dola ya kimarekani
Russia & Iran sign oil-for-goods trade agreement
Ilikuwa inazungumzwa tu utekelezaji ulikuwa bado. Ndiyo wameanza sasa
Ili
Subiri uone km kuna kitu ambacho kitabadilika unadhan Marekani alikua hajui km siku hii itafika?!. Cha kuangusha Us dollar kwa sasa ni labda waue huu mfumo wa Petrodollar.
Ndiyo wanaanza kuua hiyo petrol dollar. Iran atampa mafuta ghafi, Urusi atampa teknolojia na vifaa vigine. Venezuela itakuwa hivyo hivyo. Philipino kwa Durtete kunauwezekano huo pia. Us alikataa kumuuzia Durtete bunduki 277,000 za kisasa kwa sasa ameamua kwenda Urusi na Juzi inasemekana walisaini mikataba ya maana 11 ; pia Russia imetumika wataalamu wa kivita kumsaidia Durtete na vita dhidi ya magaidi huko kwake.
Ndiy
Bila Shaka maana Rais wa Venezuela alkua akiilaumu Marekani kwa machafuko, ila pia na hali mbaya ya kiuchumi nchini humo pia inachangia.
Pitia link hizi hapa chini: Nikipata nafasi tutaelezana kwa kina juu ya hoja zako.Kwa yanayoendelea sasa Venezuela nadhani utakua umeiamini hii comment yangu Nalendwa
Pitia link hizi hapa chini: Nikipata nafasi tutaelezana kwa kina juu ya hoja zako.
=====
US investors scramble to keep Russians from taking over refineries from Texas to Maine
Iran developing national cryptocurrency to bypass US sanctions
Caracas going crypto-crazy: Venezuela set to launch second digital currency
Venezuelan state oil firm to strike deals using national cryptocurrency
Venezuela raised $735mn on launch of oil-backed ‘petro’ cryptocurrency – Maduro
Hivi umejua kwa nini Trump kaamua kuongeza 25% ya ushuru kwa bidhaa ya chuma na bati kutoka nje ya US? Matumizi ya dollar yamepungua...ila kwenye media atasema anaboost mapato ya wazalishaji wa US(uongo)Haya tunakarbia mwaka sasa nini kimebadilika mkuu TUJITEGEMEE maana Dollar ndo inazidi kua na nguvu na huku uchumi wa Marekani ukikua kwa Kasi kuliko miaka karibu kumi iliyopita
Nadhani ulikua humfatilii vizuri Trump tangu kampeni maana aliyoahidi ndo anayofanya,Trump alishasema kwamba ataongeza ushuru kwenye bidhaa zote za nje ambazo zinatishia uzalishaji wa ndani na hii Chuma sio bidhaa ya kwanza,mwezi January alianza na bidhaa za Solar toka China ambapo aliongeza ushuru kwa 30%Hivi umejua kwa nini Trump kaamua kuongeza 25% ya ushuru kwa bidhaa ya chuma na bati kutoka nje ya US? Matumizi ya dollar yamepungua...ila kwenye media atasema anaboost mapato ya wazalishaji wa US(uongo)
Mwandishi wa makala hii ni
Hivi umejua kwa nini Trump kaamua kuongeza 25% ya ushuru kwa bidhaa ya chuma na bati kutoka nje ya US? Matumizi ya dollar yamepungua...ila kwenye media atasema anaboost mapato ya wazalishaji wa US(uongo)
Tuombe uhai,ikifika 2020 ntaufufua tena huu Uzi nikuulize kuhusu mabadiliko ya [emoji115]..Utekelezaji umefikia wapi!? Au wameamua kutangaza tena kwamba wanaachana na dola huku bado wakiendelea kuitafuta kwa Hali na mali..
TUJITEGEMEE unazikumbuka hizi comment zangu !?[emoji115][emoji116] Embu tueleze sasa ilivyo sasa baada ya Venezuela kuwekewa vikwazo na Marekani,na vipi kuhusu mahusiano ya US na Ufilipino,je yamevunjika!?
Kwa yanayoendelea sasa Venezuela nadhani utakua umeiamini hii comment yangu Nalendwa
Mkuu uzi nimefufua tayari, njoo 'tuwekane sawa' 🙂 🙂 🙂Tuombe uhai,ikifika 2020 ntaufufua tena huu Uzi nikuulize kuhusu mabadiliko ya
Maajabu ya dunia haya unaiwekea vikwazo USA wakati pesa yake US dollars ndio unatumiaUpdate:08/01/2022
====
Kutokana na Mauaji ya Kamanda Soleiman, miaka miwili iliyopita. Iran yawawekea vigogo 51 wa masuala ya usalama wa US.
US military leaders sanctioned
Iran has sanctioned 51 Americans, including some of the US’ top military officials, that it blames for the killing of Qassem Soleimani two years ago. The sanctions come amid simmering nuclear tension between Tehran and the West.www.rt.com