IRAN yaiwekea vikwazo Marekani

Ni Kama Pakistan wana ndege za Marekani ila hawawezi zirusha bila ruhusa ya Marekani
 
Mkuu una uhakika km operators wote ni wamerekani?! Kwanza ishu ya THAAD(korea)na hii ya Saudia ni vtu viwili tofaut. THAAD kuwekwa pale ilikua ni uamuzi wa Marekani yenyewe na sio kwamba Skorea walikua wamenunua huo mfumo.Trump alitaka Skorea walipie THAAD kwa inavyokaa pale Korea kwa kua inawalinda wakorea dhid ya Nkorea.
Ila Saudia kanunua silaha hivyo anazimiliki km hao foreigners watakuwepo labda wa kuwaelekeza jins ya kutumia hyo mifumo ili baadae waweze kuitumia wenyewe, unataka kunambia leo mchina akinunua S400 operators wote watakua warusi?!

Hlf ni wap Israel ameridhia ununuz wa hzo silaha wakt inamtaka Donald Trump atoe maelezo ya kutosha kuhusu uuzaj huo wa silaha nzto.
 
Marekani asije akashusha bei ya mafuta kwa makusudi tu....
 
Daah lakini Mahmoud Alavi sio wa mchezo wanamjua sana wale warefu
 
Tanzania yaionya Sweden.
Tanzania yatoa msaada wa kijeshi Canada
 
Brother's and sister's of Mr Bean pls stop
 
I can imagine how shockly you are! The world is revolving. Once upon a time, there was the powerful roman empire....the story goes on!
Brother's and sister's of Mr Bean pls stop
 


Kwa haya yote Mmarekani hawezi kukwazika hata kidogo kweli!, when it comes to espionage.
Wafanyakazi Wamarekani wa haya makampuni yote huko ndani pengine kuna makachero.
 
Tatizo ni kuwa kwa sasa Ukikamatwa huko ni kitanzi hakuna tena diplomatic impunity. List ya ambao hhawatakiwi iko wazi.
Kwa haya yote Mmarekani hawezi kukwazika hata kidogo kweli!, when it comes to espionage.
Wafanyakazi Wamarekani wa haya makampuni yote huko ndani pengine kuna makachero.
 
Ilikuwa inazungumzwa tu utekelezaji ulikuwa bado. Ndiyo wameanza sasa
Ili
Subiri uone km kuna kitu ambacho kitabadilika unadhan Marekani alikua hajui km siku hii itafika?!. Cha kuangusha Us dollar kwa sasa ni labda waue huu mfumo wa Petrodollar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…