IRAN yaiwekea vikwazo Marekani

kwanza Iran namarekani hawana kabisa mahusiano ya kidiplomasia kabisa, so issue ya russia haifanani kabisa na hii
 
Tehe! [emoji28]
 
Marekani akiweka vikwazo hata Tanzania tunavifuata. Ila kwa Iran an anachagua anavyoshitmrikiana navyo btn Iran na USA
 
Haya ni matokeo ya Issue ya juzi nini?

Marekani wataisoma namba. [emoji1]
Imawezekana... Maana Iran kalaani sana lile dili la silaha kwa Saudia na kusema kwamba Marekani imeuza silaha kwa gaidi.
Ila Saudia mshenz sana kajua kujipanga yan kanunua kila sekta Missile defenses (THAAD & Patriot), bombs, warships, missile mpk jana Israel nae kalalamika kwa Marekani kuwauzia Saudia silaha hzo za kisasa
 
Hiyo ni miscalculation subirini yakiwarudi mtasahau utamu wa pesa watu hao hawaaminiki
 
Naona Mu Israel nae mpaka kalalamika, lakini wasiwasi wake ni nini? Maana yeye si atakuwa anapata first class technology toka kwa Mmarekani!
 
Naona Mu Israel nae mpaka kalalamika, lakini wasiwasi wake ni nini? Maana yeye si atakuwa anapata first class technology toka kwa Mmarekani!
Ana wasiwas kwamba hzo silaha siku moja zinaweza kutumika dhid yake,kumbuka Saudia na Israel ni maadui wakubwa ila wanashirikina kinafki tu kwa kua wanashare adui mmoja (Iran).
 
Ana wasiwas kwamba hzo silaha siku moja zinaweza kutumika dhid yake,kumbuka Saudia na Israel ni maadui wakubwa ila wanashirikina kinafki tu kwa kua wanashare adui mmoja (Iran).

I see!, wanakuwa cautious.
 
Tatizo hizo silaha operators ni wamarekani, ndiyo maana South Korea yeye kagoma kulipia hizo THAAD anasema hawezi kulipia kitu ambacho operators ni foreigners. Ndiyo maana Israel ameridhia Saud Arabia apewe silaha hizo. Na waarabu wale walivyowajinga hizo silaha zitaenda kuteketezwa Yemen baada ya Operators kuzitelekeza na hao waarabu wajinga wataagiza nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…