Nimekwambia ubalozini huwa Kuna waambata wa kijeshi,wanajeshi kufanya kikao ubalozini kwao siyo tatizo,acha ujinga
Nazungumzia wanajeshi wa Iran waliokuwa katika eneo la ubalozi wa Iran uliopo Damascus karibu na nchi ambayo imekuwa ikishambuliwa na wanamgambo wanaoratibiwa na Iran hiyohiyo.

Hapa sizungumzii ubalozi in general kama ubalozi mwingine wowote duniani.
 
Wameonesha runway ya uwanja hawakuonesha airbase nzima.
Bali runway peke yake.
Lakini vyanzo kutoka Iran vinadai bila uthibitisho kwamba airbase imeshambuliwa yote kwa ujumla na haifai tena kwa matumizi yake? Unakubaliana na hayo madai?
 
Umeishia darasa la ngapi wewe!!! Hii ni aibu kubwa Sana kuandika kitu asichokijua... Nenda waulize wenye Akili je kama middle east yote itasimama Kwa usafirishaji itakuaje Kwa Africa?
 
Lakini vyanzo kutoka Iran vinadai bila uthibitisho kwamba airbase imeshambuliwa yote kwa ujumla na haifai tena kwa matumizi yake? Unakubaliana na hayo madai?
Nipo katikati.
Kwa sababu hata Israel hajatoa uthibitisho wa kuonesha airbase inafanya kazi,badala yake karusha vid ya runway.
Nipo katikati.
 
Shida hata mihogo itapanda bei maana mafuta yakipanda wafanya biashara fursa utasikia mafuta bei juu na mihogo juu
Tunaandamana maama mihogo inalimwa Kilwa road huku 😁 haitokei uarabuni
 


NAWEKA KAMBI HAPA. HUWA TUNAKIMBIA BAADAYE. MI NITAKUITA
 
Baadaye usije kutulilia ooh! wanaua wanawake na watoto. Moto ukiwaka uendelee kushangilia vivyo hivyo.
 
Tulia dogo kamikaze drones zaid ya 100 zipo hewani saahizi zinaelekea Tel aviv subiri majibu. Hizo hazitunguliwi na kima yeyote .saahizi ndege ya Netanyahu imeondoka Jerusalem
Mkuu Kamikaze drone bado hazijafika?
wewe bata si mlisema iran hata jibu tulieni hivo hivo kama panya kwenye mahandaki
Kumbuka Israel bado hajarudisha shambulizi, kumbuka Iran haina Iron Dome Israel wakituma makombora 300 yote yanapiga Tehran
 
Kwa hiyo sasa hivi mkuu wa jeshi la Tz akienda Kenya haruhusiwi kwenda kwenye ubalozi wa Tz?
Mfano wako hauna uhalisia na kile kinachoendelea Mashariki ya Kati.

Mfano wako ulipaswa kuwa hivi:
Endapo Tanzania ingekuwa inaratibu mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Congo [Brazzaville], halafu Tanzania ipeleke wanajeshi kwa mshirika wake D.R.C. ili wakafanye kikao kwenye ubalozi hapo Kinshasa karibu na mpaka wa Congo [Brazzaville] inayoshambuliwa mara kwa mara, unafikiri Congo [Brazzaville] ingechukua hatua gani?

Haya uliza tena.
 
Russia akiwa wapi? Hapo maadui wa magharibi watatoa support vizuri tu endapo Marekani akijiingiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…