Acha kutulisha matango pori kana kwamba wewe mwenyewe ndiye unayeijua Biblia. Nebukadneza hajawahi kuwa Kiongozi wa Uajemi bali ya Babiloni. Pia Haran na Mesopotamia hazijawahi kuwa Iran. Haran ipo Syria na Mesopotamia ni Iraq ya leo au Babiloni ya Zamani. Pia katika Historia hata ya Biblia Iran na Israel hazijawahi kuwa maadui hata mara moja. Uajemi ndiyo waliowasaidia Wayahudi kuwanasua katika makucha ya ukoloni wa wababeli na kuwaruhusu kurudi Uyahudi na kujenja hekalu lao upya.Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa kifalme. Hivyo kabla ya 1979 Iran haikuwa Taifa la Kiislam kama sasa.
Ndio maana Israel haui raia wala hashambulii makazi ya raia. Ndio maana wachambuzi wengi wanafikiri Israel anapigwa. Hapana, Israel anataka kuwatumia watu wa Iran kama mtaji wake wa kuitoa serikali ya sasa madarakani.
IRAN KWENYE BIBLIA.
Wanaitwa Waajemi. Hapa ndipo Haran na Mesopotamia. Ndipo nyumbani kwa Ibrahim. Lakini Mungu alimuondoa Hapa Ibrahim na kumpeleka Kanaan (Palestine).
Kiufupi Iran ni miongoni mwa mataifa maarufu ndani ya Biblia.
- Daniel, Nehemiah , Esther walikuwa hapa uhamishoni. Ndipo vitabu vyao viliandikwa.
- Nebkadneza, Belshaza na Dario ndio wafalme wa hapa.
- Meshak Shedrak na Abednego walitupiwa tanuruni wakiwa hapa!
Nakukumbusha IRAN SIO WAARAB BALI NI WAAJEMI. Wanachukua asili ya Ulaya mashariki (wana mfanano na waturuki). Nyongeza: Ukiona nchi za Ulaya Mashariki zinaishia na Neno "Stan" mwisho hao ni waajemi (mfano afghani-Stan).
UWEZO WAO WA KIVITA
Hawa waliishawahi kuitawala Dunia.
Hawa ndio waliwapiga Israel na kulivunja hekalu kabla halijajengwa Upya (kabla ya Kuja kwa Bwana Yesu).
Ni watu wa Vita. Vita yao huwa haiishi mpaka wamepigika kwelikweli. 1980 -1990 walikuwa busy kupigana na Iraq. Miaka kumi! Na baada ya kuchoka kupigana (mshindi hakupatikana) wakaamua kugeukia kupigana na mataifa mengine. Iraq akimchokoza Marekani na Iran akianzisha vikundi vya kigaidi.
Makundi yote makubwa ya Kigaidi mfadhili wao ni Iran.
Migogoro ya Kidini.
Iran ni Taifa adui na nchi nyingi za kiislam. Mojawapo ni Saudi Arabia. Aina ya uislam ulioko Iran ni Shia. Hawa wanaaminika ni 10% tu ya waislam wote. Hawa ndio wale imani kali. Saudia ni Sunni. Hawa wapole. Kwa hiyo popote ukisikia Waislam wenye msimamo mkali jua ni Shia kutokea Iran. Ndio maana usishangae SAUDI ARABIA NA JORDAN kuwa upande wa Israel.
Ni taifa adui wa Uislam
Kuna kitu cha ajabu kuhusu Iran. Mataifa yasiyotaka dini au kuamini katika Mungu ndio marafiki wakubwa wa Iran. Korea Kaskazini, China, Urussi hawaamini katika Mungu. Utengenezaji wa silaha zake unapata usaidizi kutoka kwa hawa wapagani. HUWEZI SIKIA TAIFA LA KIISLAM LIKIMSAIDIA IRAN TOFAUTI NA VIKUNDI VYA KIGAIDI! Hivyo yawezekana ndio maana Shia wa Iran wanaongoza kwa kuua Waislam wenzao.
Kumbe na Afganistan ipo Ulaya mashairiki. Nchi hii haiishi maajabu.Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.

Wewe pimbi hua huna point yeyote hapa JF zaidi ya kuja kutingisha kalio zako hapa kila unapoona mada inayoongelea Nchi za kiislamu,pambana upunguze umasikini wako.Iran inasakiziwa na yenyewe inajaa kingi, wacha ichapwe ichapike utawala wa maayatolla utolewe
So what?Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa kifalme. Hivyo kabla ya 1979 Iran haikuwa Taifa la Kiislam kama sasa.
Ndio maana Israel haui raia wala hashambulii makazi ya raia. Ndio maana wachambuzi wengi wanafikiri Israel anapigwa. Hapana, Israel anataka kuwatumia watu wa Iran kama mtaji wake wa kuitoa serikali ya sasa madarakani.
IRAN KWENYE BIBLIA.
Wanaitwa Waajemi. Hapa ndipo Haran na Mesopotamia. Ndipo nyumbani kwa Ibrahim. Lakini Mungu alimuondoa Hapa Ibrahim na kumpeleka Kanaan (Palestine).
Kiufupi Iran ni miongoni mwa mataifa maarufu ndani ya Biblia.
- Daniel, Nehemiah , Esther walikuwa hapa uhamishoni. Ndipo vitabu vyao viliandikwa.
- Nebkadneza, Belshaza na Dario ndio wafalme wa hapa.
- Meshak Shedrak na Abednego walitupiwa tanuruni wakiwa hapa!
Nakukumbusha IRAN SIO WAARAB BALI NI WAAJEMI. Wanachukua asili ya Ulaya mashariki (wana mfanano na waturuki). Nyongeza: Ukiona nchi za Ulaya Mashariki zinaishia na Neno "Stan" mwisho hao ni waajemi (mfano afghani-Stan).
UWEZO WAO WA KIVITA
Hawa waliishawahi kuitawala Dunia.
Hawa ndio waliwapiga Israel na kulivunja hekalu kabla halijajengwa Upya (kabla ya Kuja kwa Bwana Yesu).
Ni watu wa Vita. Vita yao huwa haiishi mpaka wamepigika kwelikweli. 1980 -1990 walikuwa busy kupigana na Iraq. Miaka kumi! Na baada ya kuchoka kupigana (mshindi hakupatikana) wakaamua kugeukia kupigana na mataifa mengine. Iraq akimchokoza Marekani na Iran akianzisha vikundi vya kigaidi.
Makundi yote makubwa ya Kigaidi mfadhili wao ni Iran.
Migogoro ya Kidini.
Iran ni Taifa adui na nchi nyingi za kiislam. Mojawapo ni Saudi Arabia. Aina ya uislam ulioko Iran ni Shia. Hawa wanaaminika ni 10% tu ya waislam wote. Hawa ndio wale imani kali. Saudia ni Sunni. Hawa wapole. Kwa hiyo popote ukisikia Waislam wenye msimamo mkali jua ni Shia kutokea Iran. Ndio maana usishangae SAUDI ARABIA NA JORDAN kuwa upande wa Israel.
Ni taifa adui wa Uislam
Kuna kitu cha ajabu kuhusu Iran. Mataifa yasiyotaka dini au kuamini katika Mungu ndio marafiki wakubwa wa Iran. Korea Kaskazini, China, Urussi hawaamini katika Mungu. Utengenezaji wa silaha zake unapata usaidizi kutoka kwa hawa wapagani. HUWEZI SIKIA TAIFA LA KIISLAM LIKIMSAIDIA IRAN TOFAUTI NA VIKUNDI VYA KIGAIDI! Hivyo yawezekana ndio maana Shia wa Iran wanaongoza kwa kuua Waislam wenzao.
Mkuu umemsikiliza lakini Trump alivyosema jana na wakuu wa NATO? Alikiri vyuma alivyoshushiwa Israel kutoka Iran vilikuwa vizito sanaa. Sasa kama Israel ana ubavu wakabalishe huo utawala wa IranLengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa kifalme. Hivyo kabla ya 1979 Iran haikuwa Taifa la Kiislam kama sasa.
Ndio maana Israel haui raia wala hashambulii makazi ya raia. Ndio maana wachambuzi wengi wanafikiri Israel anapigwa. Hapana, Israel anataka kuwatumia watu wa Iran kama mtaji wake wa kuitoa serikali ya sasa madarakani.
IRAN KWENYE BIBLIA.
Wanaitwa Waajemi. Hapa ndipo Haran na Mesopotamia. Ndipo nyumbani kwa Ibrahim. Lakini Mungu alimuondoa Hapa Ibrahim na kumpeleka Kanaan (Palestine).
Kiufupi Iran ni miongoni mwa mataifa maarufu ndani ya Biblia.
- Daniel, Nehemiah , Esther walikuwa hapa uhamishoni. Ndipo vitabu vyao viliandikwa.
- Nebkadneza, Belshaza na Dario ndio wafalme wa hapa.
- Meshak Shedrak na Abednego walitupiwa tanuruni wakiwa hapa!
Nakukumbusha IRAN SIO WAARAB BALI NI WAAJEMI. Wanachukua asili ya Ulaya mashariki (wana mfanano na waturuki). Nyongeza: Ukiona nchi za Ulaya Mashariki zinaishia na Neno "Stan" mwisho hao ni waajemi (mfano afghani-Stan).
UWEZO WAO WA KIVITA
Hawa waliishawahi kuitawala Dunia.
Hawa ndio waliwapiga Israel na kulivunja hekalu kabla halijajengwa Upya (kabla ya Kuja kwa Bwana Yesu).
Ni watu wa Vita. Vita yao huwa haiishi mpaka wamepigika kwelikweli. 1980 -1990 walikuwa busy kupigana na Iraq. Miaka kumi! Na baada ya kuchoka kupigana (mshindi hakupatikana) wakaamua kugeukia kupigana na mataifa mengine. Iraq akimchokoza Marekani na Iran akianzisha vikundi vya kigaidi.
Makundi yote makubwa ya Kigaidi mfadhili wao ni Iran.
Migogoro ya Kidini.
Iran ni Taifa adui na nchi nyingi za kiislam. Mojawapo ni Saudi Arabia. Aina ya uislam ulioko Iran ni Shia. Hawa wanaaminika ni 10% tu ya waislam wote. Hawa ndio wale imani kali. Saudia ni Sunni. Hawa wapole. Kwa hiyo popote ukisikia Waislam wenye msimamo mkali jua ni Shia kutokea Iran. Ndio maana usishangae SAUDI ARABIA NA JORDAN kuwa upande wa Israel.
Ni taifa adui wa Uislam
Kuna kitu cha ajabu kuhusu Iran. Mataifa yasiyotaka dini au kuamini katika Mungu ndio marafiki wakubwa wa Iran. Korea Kaskazini, China, Urussi hawaamini katika Mungu. Utengenezaji wa silaha zake unapata usaidizi kutoka kwa hawa wapagani. HUWEZI SIKIA TAIFA LA KIISLAM LIKIMSAIDIA IRAN TOFAUTI NA VIKUNDI VYA KIGAIDI! Hivyo yawezekana ndio maana Shia wa Iran wanaongoza kwa kuua Waislam wenzao.
sheikh usipate taabu unisomapo humu, niweke kwenye orodha yako ya ignore ili usione ninacho comment. Naona unateseka sana mwanakobazi mpevuWewe pimbi hua huna point yeyote hapa JF zaidi ya kuja kutingisha kalio zako hapa kila unapoona mada inayoongelea Nchi za kiislamu,pambana upunguze umasikini wako.
Hii nchi haishi wajinga. Trump kwenye kakiri kwamba kichapo alichopewa Muyahudi SI ya kitoto halafu wewe unakuja na upimbi wako. Trump mwenyewe kakiri kwamba vyumba alivyoshusha Muajemi hakuwahi kuviona kabla halafu wewe unakuja na uharo wako hapa.Kwa kifupi iran kachapika vya kutosha, imebaki propaganda tu kusema imeshinda vita
Wewe Pimbi ulishageuka kituko humu JF ila hujajishtukia tu,sheikh usipate taabu unisomapo humu, niweke kwenye orodha yako ya ignore ili usione ninacho comment. Naona unateseka sana mwanakobazi mpev
ushaambiwa ile kauli aliyoitoa ni kejeli kwa iran. Unasema nini we kobazi wa kibongo hapo manyema na kwa mtoro? Kobazi mna akili ndogo sana kudanganyika kirahisiHii nchi haishi wajinga. Trump kwenye kakiri kwamba kichapo alichopewa Muyahudi SI ya kitoto halafu wewe unakuja na upimbi wako. Trump mwenyewe kakiri kwamba vyumba alivyoshusha Muajemi hakuwahi kuviona kabla halafu wewe unakuja na uharo wako hapa.
Nani amesema kua ile kauli ni kejeli? Mumeo ndio kakudanganya hivyo sio?ushaambiwa ile kauli aliyoitoa ni kejeli kwa iran. Unasema nini we kobazi wa kibongo hapo manyema na kwa mtoro? Kobazi mna akili ndogo sana kudanganyika kirahisi
Sahihi kabisa. Hata chanzo cha ugomvi wa Wayahudi na Wairan/Waajemi ni hiki; Waajemi waliwasaidia Wayahudi kurudi nyumbani kwao baada ya kutekwa na kufanywa watumwa na Babylon (leo ndio Iraq), baada ya kurudi kwao na kutulia, hawakuwahi hata kutoa neno ASANTE kwa mfalme wa Uajemi/Iran wa wakati huo, kuanzia hapo ndipo ilipo mea chuki kati ya hawa watu. Remember hakukua na Ukristo wala Uislam those yearsAcha Ujinga, Wewe hayo unayozungumzia ya kuvunja hekalu sijui vitu gani vilifanywa na utawala wa Babylon/Babeli siyo Uajemi.
Infact ni Uajemi chini ya mfalme Cyrus ndiyo iiliyoipiga babylon. hatimae kuwaokoa wayahudi kwa kuwatoa utumwani na kuwasaidia kulijenga upya hekalu.
Hivi nyie wafia dini, siasa kali mbona mnapenda ushabiki wa mambo bila kuyajua vizuri?
I don't care what are you talking about ignorant seem to me. kwa hiyo mnaniona mimi tu humu ndio mjuaji, hao wengine hawajui? mnanipa sifa za ajabu sana ambazo sina. Mmeambiwa Trump kaikejeli iran kuwa imeipiga vema israel na nyie koboza wa mchambawima mnakenua tu kuwa kobazi mkuu duniani kaibonda israel. Someni saikolojia za matamshi na kauli za watu mtaelewa wanachomaanishaWewe Pimbi ulishageuka kituko humu JF ila hujajishtukia tu,
Rais wa US amekubali kua Israel kachapika hasa,halafu wewe Pimbi unakuja na ngonjera hapa! Kwa hiyo wewe una taarifa zaidi kuliko Trump?
Sometimes jaribu kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya.