Iran vs. US military capabilities

Kishamaliza,kwanza Marekani wameambiwa waondoe wanajeshi wao kutoka Iraq,then Kiranja wa Hezbollah kasema USA amekuwa chanzo cha chaos hapo middle east,na kifo cha Kassim Suleiman hakitapita bure.
Walipita Tariq Aziz waliokuwaga na matamko mazito mazito enzi hizo, Hezbolaah kitu gani? Halafu sisi dunia ya giza tuache kujadili mambo mazito ya ulimwengu wa kwanza nyuma ya keyboards, level yetu ni Kibiti na Mkulima Stern.
 
Marekani ana nguvu kijeshi na kiuchumi kuliko Iran ila wamarekani watadungiliwa mmoja mmoja popote walipo hasa Midle East hadi Trump ajute alichokifanya kwa Major General Soleimani na kwa Kamanda wa mgambo Allah Akbur
 
USA kupigana na Irani anaweza isipokuwa akifanya hivyo tu atapoteza Super power status.

Maana Financial system ya Marekani imekuwa pegged kwenye mafuta ya Saudia. Yaani Saudia auze mafuta yake kwa dollar na hivyo kuipa dollar ya marekani demand duniani kote.
Iwapo Marekani atamshabulia Iran katika ile all out war, basi visima vya saudia vitawaka moto, maslahi ya Marekani Iraki yatakuwa on fire, kwa hiyo Financial system ya Marekani itayumba sana.
Pia Marekani hana hela za kupiganisha vita nyingine na Irani. Akijitutumua kupigana basi itabidi akope nje na ndani ili kufinance hivyo vita hivyo deni la Marekani litaendelea kuwa kubwa kupita maelezo. Safari hakutakuwa na hela za kutosha za Wasaudia kufinance hivyo vita, na saudia akikosea mahesabu akadhani reserve yake ya pesa itaweza kuisaidia Marekani ampige hasimu wake yaani Iran, atakuwa anajitafutia umasikini wa bure, maana hiyo vita inaweza kuchukua miaka 20, na hiyo pesa ya msaudia haitorudi.

Kwa calculations hizi ndiyo maana Marekani huwa haitaki all out war na Iran maana wanajua, hiyo vita inaweza kuwayumbisha mno kiuchumi hadi kupelekea kupoteza usuper power stutus duniani
 
Umemnchekesha
Wew jaribu kumu ashumia yuko kwenye chumba halafu Generali anaonyesha mpango kazi ukutani kwa kutumia projector huku anachora chora na marker pen maeneo yatakayoshambuliwa usiku huo. Ashume Trump anakuwa na muonekano gani? Hahahahaa
 
Mie nawaza tu fursa jamani,hata wakilianzisha leo usiku..mgogoro huo utainifaishaje?hivo tu yan.
 
 
Sio kweli!
Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na Marekani
 
Ngoja ninunue bando la mwezi maana Usa wamesema vita itakuwa live


system error occurred
 
Yaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran
Hahaha! Yaani Saudia ili wawe na akili waungane na Iran?

Kwa mantiki ipi?

Dunia inaendeshwa kimaslahi. Kama Saudia inaona ikiwa na mahusiano makubwa na Marekani kwa kiasi kikubwa kunafanikisha maslahi yao kwa namna moja ama nyingine, usitegemee hilo unalolitegemea.
 
Hakuna lolote ndo maana USA Trump anaropoka ropoka tu,Iran wanamsoma tu.Ila tuombe amani.Fikiria raia wa Iraq ,Afghastan wanavyoishi.Kila binadamu anadeserve maisha katika sehemu yenye amani.
Hahaha eti Trump anaropoka ropoka.. Yani USA president aropoke ropoke ??? Kweli hii nchi haiishiwi vituko ....

Mpaka Sasa Trump ameshaua Kiongizi wa ISIS ( Baghdad) na Iran General ( Suleiman Quarem) ... Wewe kaa hapo upige Domo tu...



Yani nchi ambayo imespend takriban trillion 2 Dola kwenye vifaa vya kijeshi ulinganishe na hao Persians... Siongei Kama nashabikia Vita maana hivi Vita vina madhara duniani maana tangu kifo Cha Huyu general mpaka sasa Bei ya mafuta imepanda kwa 3%


Ila Iran hana uwezo wa kupambana na USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome historia ya mgogoro wa US na Iran kuanzia enzi za wakina Jimmy Carter.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma kuanzia mgogoro wao tangia 1953.Kumbuka Vita Iraq vs USA. Iran alikuwa upande wa USA. Saddam Hussein alikuwa supported na Sunni. You can tell why Iran alikuwa pro USA kipindi hiki. Hawa wanakuwa off,on inategemea na USA yupo Rafiki na Sunni au Shia kwa kipindi hicho. Now Iraq viongozi ni Shia hivyo wapo na Iran. Sasa USA yupo rafiki na Sunni kina Saudia tena.
Ni pasua kichwa.
 
Time will tell.
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Huwa namuona mtu ni mjinga anapojadili vitu vipya na kuvihusianisha na historia ya zamani!
.
Iran ya mwaka 1970 sio ya 2019/2020 Marekani ya 1968 wakati inaenda mwezini sio ya 2090 (note USA walishapita 2020 siku nyingi in terms of development)
 
Sasa ndugu yangu hivi unafikiri marekani ana base ngapi middle east?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh, aisee...nadhan umechanganya Iran na Iraq mkuu, huijui Iran vizuri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…