Vita katika eneo la Mashariki ya Kati si ya kuiombea ama kuishabikia kwa vyovyote vile. Kwa sababu ina athari kubwa sana za kiuchumi, hasa kupitia ongezeko la bei ya mafuta duniani. Ukigusia USA na washirika wake ama Iran na washirika wake wakubwa ikiwemo Russia, fukuto lolote lile lenye kuendana na ulipaji wa visasi wenye kulenga kushambulia vitega uchumi utaligusa kabisa soko la mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na sifa zote hizi Marekani haijawahi kupigana vita yoyote ikashinda toka taifa hilo lianzishwe. Wanasumbuliwa na "Fear of the unknown"
Wenye akili watanielewa.
Intelligent unit Bora duniani Ni Mossad,gusia na hapo.Leo Trump kasema USA ina Intelligence Unit Bora dunian kote... Haya maneno yafikirie kwa Dakika 30 utapata majibu kwanini hao China , au Russia hawauwezi mziki wa US....
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Trump kasema USA ina Intelligence Unit Bora dunian kote... Haya maneno yafikirie kwa Dakika 30 utapata majibu kwanini hao China , au Russia hawauwezi mziki wa US....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umesema hivyo na Trump ndio kasema vile... So ni wewe Vs Trump kwenye hilo Mimi sitii neno ...
USA president awe chizi ??? Uko nje ya ufahamu sio bure.Huyo Trump alishawahi hata kuandika neno COVFEFE huko twitter likakosa maana?Dunia nzima haikuelewa alichokisema.,so hua ni kama chizi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisipojua maana yake ndio nakuwa chizi ???.
Hilo neno liliandikwa na trump lini?Nisipojua maana yake ndio nakuwa chizi ???.
Haya na wewe nipe maana ya MdoSuloPutu
Sent using Jamii Forums mobile app
COVFEFENisipojua maana yake ndio nakuwa chizi ???.
Haya na wewe nipe maana ya MdoSuloPutu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kwenye mada ya Iran-USA mpaka kuleta vimaneno vya Khanga inaonesha ni jinsi gani gari lako linavyozidi kuyumbayumba hovyo...
Kutoka kwenye mada ya Iran-USA mpaka kuleta vimaneno vya Khanga inaonesha ni jinsi gani gari lako linavyozidi kuyumbayumba hovyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua Mental Illness ni sababu za raisi kupigwa chini ???
Lakini kwanini US wanawaogopa hawa watu.Tukiwaambia ukweli hawa ijumaa hawasikii wanaanza matusi, Irani ni mtoto wa chekechea ukilinganisha na US
Ina maana kuna mifumo yake mengine inakua uselessVifaa gani vilivyoko Saudia??? Nimekuwekea kifaa Cha THAAD wewe unakuwa general eti vifaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua Mental Illness ni sababu za raisi kupigwa chini ???
Hivi Dems wasivyompenda Trump wawe na uhakika kuwa sio Mentally Fit wasimpige chini ???....
Ulivyokuwa huna akili timamu hata Hujiulizi kwanini hiyo sababu haipo kwenye orodha walizoorodhesha Dems za kumuondoa madarakani Trump...
Halafu wewe zwazwa unaeishi Maramba-Mawili unakuja na maneno eti Trump Ni chizi ... Sijui hili taifa linaelekea wapi kuwa na vijana sampuli yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Aziripue kwan yy ndege zilizopo anga la IRAQ Ana uhusiano nazo ganAnazilipua! Tatizo lake ni intelijensia ndogo fullstop!
Marekani hajawahi pigana na nchi bali wanamgambo ambao hushambulia kwa kushtukiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unajua kazi za THAAD usingekuja hapa kupiga kelele ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana kuna mifumo yake mengine inakua useless
Maana kwa nn ukomalie thad pekee wakat ana mifumo zaidi ya mmoja ambayo hua anadai eti ni more advanced..
Sent using Jamii Forums mobile app