Iran: US ScanEagle drone 'captured over Gulf'

B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,759
Points
2,000
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,759 2,000
The Iranian military says it has captured an unmanned US drone in its airspace over Gulf waters. The Revolutionary Guards said they had brought down a ScanEagle aircraft - one of the smaller, less sophisticated drones employed by the Americans. Rear Admiral Ali Fadavi, quoted by the Fars news agency, said the drone had conducted several reconnaissance flights over the Gulf in recent days before being caught. There has been no comment from the US. The ScanEagle drone is a low-cost, long-endurance aircraft built by Insitu, a subsidiary of Boeing. Rear Adm Fadavi said that "such drones are usually launched from large warships". The Revolutionary Guards are an elite unit of the Iranian military which operate their own naval forces.
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,431
Points
2,000
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,431 2,000
MOSCOW, December 4 (RIA Novosti) – Iran’s elite Revolutionary Guards said on Tuesday they had captured a US drone, the third reported incident involving Iranian forces and American unmanned aircraft in the past 12 months.

The Revolutionary Guard's naval commander, Gen. Ali Fadavi, told Iranian state media that the ScanEagle drone had been gathering data over the Persian Gulf. But he gave no indication of when the drone was caught.

"The US drone, which was on a reconnaissance flight and had been gathering data over the Persian Gulf in the past few days, was captured by the Guard's naval air defense unit as soon as it entered Iranian airspace," Fadavi said. "Such drones usually take off from large warships."
US navy officials have said all their drones are accounted for.
The Pentagon said last month that Iranian forces had fired at one of its Predator drones in international airspace. Iran said the drone had violated its airspace.
The incident highlighted ongoing tensions between the US and Iran over the Islamic Republic’s disputed nuclear program, which the West believes is aimed at creating atomic weapons. Iran says the program is civilian, aimed at energy production.
In December 2011, Iran said it had captured a CIA spy drone that had entered its airspace. Iran claimed to have extracted top-secret data from the stealth-technology equipped RQ-170 Sentinel drone.
 
TZ biashara

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
523
Points
0
TZ biashara

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
523 0
:target::target::target::target::target:
Pagumu huko!!!
 
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2009
Messages
729
Points
195
gobore

gobore

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2009
729 195
Dah! Nejad anajitahidi kumuumbua US sijui mwisho wake utakua nini?

-Halafu nawaaminia jamaa wameishusha nzima nzima! Iko intact yani
 
Neter

Neter

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Messages
331
Points
250
Neter

Neter

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2011
331 250
[video=youtube_share;tdwSXOrSX-8]http://youtu.be/tdwSXOrSX-8[/video]

The first video of the Captured American ScanEagle Drone

Iran's (IRGC) has captured a US ScanEagle drone again over the Persian Gulf waters upon its intrusion into the Iranian airspace. IRGC Navy Commander Rear Admiral Ali Fadavi made the announcement on Tuesday, adding that the Iranian armed forces enjoy full intelligence command over foreign movements in the Persian Gulf region. Referring to the captured ScanEagle drone, the Iranian commander pointed out, "Such drones are usually launched from large aircraft carriers." The ScanEagle drone, which has a 10ft (3m) wingspan, is a long-endurance aircraft built by Insitu, a subsidiary of Boeing.Iran has released footage of the captured drone.
 
Bantugbro

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Messages
3,094
Points
2,000
Bantugbro

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2009
3,094 2,000

Naona wachangiaji wamekuwa wachache hapa, ukweli unauma...:becky:
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,574
Points
2,000
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,574 2,000
Naona wachangiaji wamekuwa wachache hapa, ukweli unauma...:becky:
Mkuu mbona una assumption za ajabu sana?
Kwani habari hii ni mipasho kwa watu fulani?

Hii sio ya kwanza kushushwa, remember?!
 
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
11,261
Points
2,000
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
11,261 2,000
Wasije shangaa, wameishusha kama ni kweli lakini bado inaendelea ku-scan...They should know better!.
 
Sijali

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
2,116
Points
2,000
Sijali

Sijali

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
2,116 2,000
Siku zote hushangaa kitu gani wazungu wametulisha hata tunakataa kabisa kukubali umahiri wa kiteknolojia wa mtu wa kabila (race) lolote ispokuwa mzungu tu? Hata Iran ikionesha drones gani bado watu hawakubali maendeleo makubwa ya kiteknolojia ya hawa Waajami! Kiasi kwamba hata wazungu wenyewe wanakubali na wako midomo wazi kushangaa.....lakini Mbantu bado ana imani naye yeye tu....hakuna mwingine!
 
Wun

Wun

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Messages
355
Points
195
Wun

Wun

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2008
355 195
US amekana habari hizo hadi sasa...kweli ni aibu kubwa kwa jeshi la marekani kwa kumbukumbu ndio jeshi bora kwa technology duniani

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Messages
1,929
Points
2,000
BINARY NO

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2011
1,929 2,000
Aha aha aha! This reminds me kwenye ile drone ya CIA nadhani RQ 170 SENTINEL ilikua spoofed na kuteremshwa bila kuharibika sana lakini US walikataa kua IRAN hawawezi na wala hawana technology ya kuishusha kwanza ni rader evading pili ina special coat kiasi sio rahisi kuiona tatu ni fifht generation na nne inaendeshwa na CIA tokea US kwenyewe kiasi sio rahisi kuhack kwenye control system Lakini cha kushangaza ni pale IRAN ilipoionesha kwenye vyombo vya habari dunia nzima ilibaki midomo wazi now the same story drone imekamatwa technology wala sio kuidungua kwa kombora na imeoneshwa hadharani US wamekaa kimya lakini jana walikataa kupoteza drone yao
 
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
3,078
Points
1,195
MD25

MD25

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
3,078 1,195
Aha aha aha! This
reminds me kwenye ile drone ya CIA nadhani RQ 170 SENTINEL ilikua
spoofed na kuteremshwa bila kuharibika sana lakini US walikataa kua IRAN
hawawezi na wala hawana technology ya kuishusha kwanza ni rader evading
pili ina special coat kiasi sio rahisi kuiona tatu ni fifht generation
na nne inaendeshwa na CIA tokea US kwenyewe kiasi sio rahisi kuhack
kwenye control system Lakini cha kushangaza ni pale IRAN ilipoionesha
kwenye vyombo vya habari dunia nzima ilibaki midomo wazi now the same
story drone imekamatwa technology wala sio kuidungua kwa kombora na
imeoneshwa hadharani US wamekaa kimya lakini jana walikataa kupoteza
drone yao
Tech ya Iran imeshaonyesha kuwashinda US, watafute namna nyingine kwani it is not acceptable to recycle the plan. US wamesha prove failure kwenye hii tech...
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,908
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,908 2,000
Ngoja na sisi tuzishushe za jirani zetu ndio watakapotupa heshima...sooon tutaweka drone zao chini walizopewa msaada kwa hisani ya watu wa marekani
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
4,601
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
4,601 2,000
Ngoja na sisi tuzishushe za jirani zetu ndio watakapotupa heshima...sooon tutaweka drone zao chini walizopewa msaada kwa hisani ya watu wa marekani
Kwa technology ipi tulonayo mkuu? Ivo vitu havionekani ktk radar so lazima pawe na kitu chengine cha kuziona drones, Radar tulonunua mabilioni ya pesa tushaambiwa haifai,tutaweza kweli kushusha drones??
 
TZ biashara

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
523
Points
0
TZ biashara

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
523 0
Siku zote hushangaa kitu gani wazungu wametulisha hata tunakataa kabisa kukubali umahiri wa kiteknolojia wa mtu wa kabila (race) lolote ispokuwa mzungu tu? Hata Iran ikionesha drones gani bado watu hawakubali maendeleo makubwa ya kiteknolojia ya hawa Waajami! Kiasi kwamba hata wazungu wenyewe wanakubali na wako midomo wazi kushangaa.....lakini Mbantu bado ana imani naye yeye tu....hakuna mwingine!
Wanatumia misukule
 
Haiwezekani!!! nchi yetu bado inatembeza bakuli kuomba omba halafu utaalamu huo utatoka wapi???Wanafunzi hawana hata madawati kwenye mashule wanaenda na njaa na kurudi na njaa.Kama kweli tunataka maendeleo basi tuwe huru kwanza ili tujenge utaifa wetu
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,908
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,908 2,000
Kwa technology ipi tulonayo mkuu? Ivo vitu havionekani ktk radar so lazima pawe na kitu chengine cha kuziona drones, Radar tulonunua mabilioni ya pesa tushaambiwa haifai,tutaweza kweli kushusha drones??
Tunaweza kupata technology kwa hisani ya watu wa Iran
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,759
Points
2,000
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,759 2,000
Siku zote hushangaa kitu gani wazungu wametulisha hata tunakataa kabisa kukubali umahiri wa kiteknolojia wa mtu wa kabila (race) lolote ispokuwa mzungu tu? Hata Iran ikionesha drones gani bado watu hawakubali maendeleo makubwa ya kiteknolojia ya hawa Waajami! Kiasi kwamba hata wazungu wenyewe wanakubali na wako midomo wazi kushangaa.....lakini Mbantu bado ana imani naye yeye tu....hakuna mwingine!
Well said mkuu, hata mimi huwa naona mind set za sisi Wafrica ni za ajabu sana!!
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,889
Points
2,000
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,889 2,000
kweli knowledge is power na sisi tusomeshe wanetu tubadili mtaala tuachane na mambo ya kuwafundisha kuandika barua za simu huku hiyo teknolojia haipo tena leo. Tujenge shule za uhakika tu invest sana si lazima iwe kwa ajili ya jeshi lakini kwa ajili hata ya viwanda vya kuzalisha zana za kilimo, magari na vitu vingine.
Otherwise tutabaki kuwa loosers
 
Bantugbro

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Messages
3,094
Points
2,000
Bantugbro

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2009
3,094 2,000
Mkuu mbona una assumption za ajabu sana?
Kwani habari hii ni mipasho kwa watu fulani?

Hii sio ya kwanza kushushwa, remember?!
Biri,

Nilikuwa nasema tu wachangiaje wamekuwa wachache...:glasses-nerdy:
 
Forum statistics

Threads 1,284,537
Members 494,169
Posts 30,831,007
Top