Iran: US ScanEagle drone 'captured over Gulf'

Tech ya Iran imeshaonyesha kuwashinda US, watafute namna nyingine kwani it is not acceptable to recycle the plan. US wamesha prove failure kwenye hii tech...
Overall, tech ya Iran haiwezi kuwashinda wamarekani. Inaweza ikawa ni uzembe wa marekani vilevile, kama Iraq wakati wale militants walipokuwa wana intercept signals za drones za kipelelezi wakitumia $26 commercial software, hivyo kujua in advance wamarekani wana mpango gani. Hiyo haiwafanyi kuwa na tech bora kuliko wamarekani.
 
nahisi hii drone imejicaptchisha makusudi ili wapime capturing technics za wa Iran alafu walivyo bogus wataipeleka kwenye viwanda vyao na military bases kumbe inaedelea kunasa data. Wanacheza na watu wanye uwezo wakutuma kifaa hadi mars na kinaendelea kufanya utafiti chenyewe na kutuma data kila siku. Poor iraq, so naive
 
Unacho kifikiria wenzako wamesha kifikiria kabla ya wewe KUFIKIRIA!!
 
  • Thanks
Reactions: Wun
Kwa technology ipi tulonayo mkuu? Ivo vitu havionekani ktk radar so lazima pawe na kitu chengine cha kuziona drones, Radar tulonunua mabilioni ya pesa tushaambiwa haifai,tutaweza kweli kushusha drones??

rada yenyewe haikuweza kuona ndege ya jeshi la Quatar iliyotua na kubeba wanyama hai 144 Kia,itaweza kuona drone kweli?nasikia haiwezi ata kusoma ata umbali wa mikoa miwili.
 
nahisi hii drone imejicaptchisha makusudi ili wapime capturing technics za wa Iran alafu walivyo bogus wataipeleka kwenye viwanda vyao na military bases kumbe inaedelea kunasa data. Wanacheza na watu wanye uwezo wakutuma kifaa hadi mars na kinaendelea kufanya utafiti chenyewe na kutuma data kila siku. Poor iraq, so naive

Mkuu Wairan siyo half cooked Engineers/programmers, wana weledi mkubwa kama Wamerikani walivyo - kwani Wamerikani si wanadamu tu; Wamerikani na Waisrael walikuwa wanatamba kwamba wanetengeneza kirusi babu kubwa cha kuharibu mitambo ya nuclear IRAN - kwani kulitokea nini baadae, mbona wako kimya baada ya kupata taarifa kwamba Wiran walifanikiwa kuviondoa virusi kwenye mitamba yao. Juzi juzi niliona Israel inalalamikia IRAN kwamba imeingilia mifumo yao ya mawasiliano ya komputa na kuiba DATA na kuwatia hasara, Wairan wala hawafichi kitu!!! Wanahakikisha baadhi ya text zina andikwa kwenye lugha ya KIFARSI ili mahasimu wao wajue ni nchi gani inawatumia virusi vya komputa.
 
Back
Top Bottom