Lets wait and see, sometimes ni rhetorics tu ili kujilinda na maadui, however Iran si wa kupuuziwa, sidhani kama west wataingia kichwa kichwa...Sawa, naona Sare nzuri za kijeshi Lakini such preemptive actions yaonyesha wako na jambo wanafanya sio haki
Obama baada ya kupata taarifa hizo, alifanya kikao cha dharura na waziri wake wa ulinzi Pannetta.Mungu aepushe hili!
Lets wait and see, sometimes ni rhetorics tu ili kujilinda na maadui, however Iran si wa kupuuziwa, sidhani kama west wataingia kichwa kichwa...
@Mwali, ni kweli unayosema, serikali yao hina sapoti kubwa sana ya wananchi kama wanvyoamini ama kutaka kutuminisha, hakuna mwananchi atakayetaka kuona vita vya kibeberu, unless kama na wao washakuwa brainwashed.
Obvious wameamuwa iwe mbaya, wamewazuia wakaguzi wa UN kukagua site ya nukes, nadhani wanahisi kuna CIA na MOSSAD ndani.Iran walikuwa washa kadiria miltary action kitambo walikuwa wanatafuta kisingizio. wajumbe wakutafuta vifaa vya kinyuklia wamezozana na kuzuiawa kutofanya upelelezi katika site moja ya kijeshi.
Jamaa ni mjanja sana, ngoja tusubiri west na Israel kama watafanya kitu gani, sema moto kila mahali huko middle east, na Syria nako Iran yumo.Salute to Ahmad Nijad