Iran itapigwa mwaka huu. Ila haitapigwa mwanzoni mwa mwaka itapigwa mwisho sometimes in October. Ikipigwa mapema uchumi wa dunia utayumba na kuhatarisha chaguzi za France na US. Kinachoendelea sasa ni lini wapige na jinsi ya kukabiliana na retarliation toka Iran. US ilikuwa inafungwa na vita ya Iraq. Iran kama wanahitaji kuepuka kipigo basi ni dhahiri wanatakiwa kukubaliana na matakwa ya wakubwa.
Mkuu Hofstede, uchumi uyumbe mara ngapi tena mkuu?
Europe tena ndo noma zaidi kutokana na fear of default and so forth, uchumi wa Europe uko mahututi.
Sana sana watapata nafasi ya kuwaangushia Iran lawama zote endapo wananchi wengi watakuwa wanasapoti vita hivyo.
Na kwa historia ilivyo, kama mu Israel ataanzisha vita, haitowezekana hata siku moja population za nchi za magharibi zikapingana na issue ya kuwasapoti Israel dhidi ya taifa lolote la middle east, mara nyingi supporting Israel ndicho kinachowaingiza madarakani sometimes viongozi wa nchi kama marekani.
Ninaiamini taarifa hii zaidi, but lets wait and see.
Kama ambavyo kuna watakaombebesha Obama lawama za uchumi ulioingizwa matatani na Bush, ndivyo hivyo Iran watakavyobebeshwa lawama za uchumi na bei ya wese kupanda nk, hii ni kwasababu Iran lazima watajitahidi kulinda strait of Hormuz ambapo ndipo penye mgogoro mkubwa zaidi, hilo peke yake litapelekea iwe rahisi zaidi kuwaunganishia Iran lawama za masahibu ya uchumi wa dunia na bei ya mafuta.
Muisrael yeye naona plan yake siyo kuanzisha an all out war, ila anataka amrudishe mu Iran nyuma kwenye technolojia yake ya uranium, na anadhani kwamba shambulizi hilo litawarudisha nyuma Iran for 4 years technologywise, na plan yake ni kwamba atakuwa anamuatack mu iran every after four years, na pia kwa upande mwingine, wamekuwa wakiwawinda hao mascientist na wamewaondoa kadhaa.
Kitakachosubiriwa, ni reaction ya Muiran ambapo hakuna anayejuwa atafanya nini zaidi ya ukweli kuwa wana proxy ya Hizbolah.
So nionavyo mimi, Israel atazishambulia hizo sehemu za ku enrich uranium, Hizbolah wataretaliate nk.
Mmarekani na wengineo wataingia ngomani kama Iran either akifanya kweli kuhusu kuiblock hiyo Strait of Hormuz, ama kama akimpiga Israel na bomu kubwa litakaloleta madhara mengi kwa raia, hizo sababu mbili zitamwingiza mmarekani vitani, and maybe others...