Iran threatens to destroy Israel within a week

Status
Not open for further replies.
Iran itapigwa mwaka huu. Ila haitapigwa mwanzoni mwa mwaka itapigwa mwisho sometimes in October. Ikipigwa mapema uchumi wa dunia utayumba na kuhatarisha chaguzi za France na US. Kinachoendelea sasa ni lini wapige na jinsi ya kukabiliana na retarliation toka Iran. US ilikuwa inafungwa na vita ya Iraq. Iran kama wanahitaji kuepuka kipigo basi ni dhahiri wanatakiwa kukubaliana na matakwa ya wakubwa.

Hapigwi mtu hapa, acheni kuwa ma-Alarmist. Hakuna cha Taifa la Mungu wala la Shetani. Ukweli ni kwamba Israel hana uwezo wa kwenda kuanzisha vita na IRAN wakati bouncer wake ndio kwanza anajitahidi kutoka Iraq kwa kujikongoja. Hizi ni kelele za kampeni za uchaguzi huko Marekani ndizo zinawafanya watu kupiga kelele. Vita dhidi ya Iran inaweza kutokea tu endapo Ma-Ayyatollah wataamua kuishambulia Marekani, kitu ambacho sidhani kama watajaribu, kwani ndio utakuwa mwishi wao wa kutawala huko kwao. Tujaribu kuwa-realistic jamani................. Tukiwa tunaingiza ushabiki wa DINI kwenye kila issue sidhani kama kutakuwa na kuelimishana hapa.
 
Mungu alichagua taifa la Israel purposely. Ngoja nikupe baadhi ya maandiko matakatifu

Ezekiel 28: 25-26. The Lord God said, someday I will gather the people of Israel from the nations where they are now scattered, and every nation will see that Iam holy. The Israel will once again live in the land I gave to my servant Jacob. They will be safe and will build houses and plant vineyard . They will no longer be in danger, because I will punish their hateful neighbors, Israel will know that Iam the Lord their God

Ezekiel 39: 25-28. Now I(GOD) will show mercy to the people of Israel and bring back from the nations where they are living.So I will bless them and show that Iam holy. verse 27- Foreign nations will watch as I take the Israelites from the enemy lands and bring them back home. Verse 28- My people Israel will realize that I the Lord their God sent them away as prisoners and now will bring them back to their own land. Never again will I turn my back on the people of Israel and my spirit will live on them, I the Lord Have spoken.

Ukitaka soma kitabu cha Isaya na endelea kusoma Ezekiel uone jinsi Urusi itakavyoisaidia Irani plus other arabs countries kuattack Israel na jinsi Israel itakavyoshinda vita hivyo. pia utaona jinsi vita ya amargedon itakavyopiganwa mataifa yote duniani ikiwamo USA yatakuwa against na Israel. Lakini Israel itashinda vita hivyo katika hali ya kushangaza dunia!! na ndipo mataifa yote hayo yataamini kwamba Mungu wao anawapigania Israel na wataanza kumuabudu Mungu wa kweli wa Israel. Hiyo ndo last option ambayo Mungu atakuwa ametumia ili kuhakikisha wanadamu wanamuamini yeye na si shetani. Lakini wale watakaoshindwa kuamini basi ndo itakuwa mwisho wao na watatupwa jehanam, maana vita ya amargedon itapiganwa siku za mwisho. mlango wa rehema utakuwa umeshafungwa kwa wale watakaoshindwa kumuamini Mungu hata atakapojidhihirisha waziwazi kupigania Israel.
HASHUKURIWE MUNGU KUICHAGUA NA KUITUMIA ISRAEL KATIKA KUMKOMBOA MWANADAMU HASIMUAMINI SHETANI.
 
Sir,

The book of Ezekiel was written when the Israelite were in captivity in Babylon, and it refers the returning back from Babylon. So prophecy you put forward was alread fulfilled about 2500.

I don't understand why you religious people are so confused. I wonder why Babu is making a lot of money out of your ignorance.
 
Masauni, asante sana kwa jitihada zako za kuupeleka huu mgogoro kwenye dini, lakini napenda nikukumbushe kitu kimoja: kwamba jaribu kuungalia huu mgogoro kwa kutumia vipengele vya Principles za International Relationship na International Diplomacy, vinginevyo utakuwa umnamiss picha kamili. Mungu yupo na alikuwepo wakati Waisrael wanatangatanga kwa zaidi ya miaka 2,000 na alikuwepo wakati wa vita vya II vya dunia ambapo Jews million 6 walipouwawa huko Ulaya.

Ninachotaka kusema ni kwamba, Israel ni Taifa kama Taifa jingine duniani, na wao huwa wanapiga mahesabu katika mikakati yao ya ulinzi na usalama wa nchi yao. Hawategemei kwamba nusra ya Mungu ndio itakuja kuwaokoa, hivyo basi wakae na kunyoosha miguu. Na ndio maana wapo ubavuni mwa Marekani ili kuhakikisha kwamba mambo yakienda kombo watakuwa na mtu wa kuwasaidia.
Tatizo ni nini? U.S.A wana hali mbaya ya kiuchumi na wanajaribu kuondoka Iraq na Afghanistan. Inawekana vipi arudi tena vitani, tena kwenda kupambana na nchi ambayo ni kubwa mara tatu ya Iraq, na ina population zaidi ya mara nne ya Iraq?

Kwa mtazamo wangu, Marekani itaishambulia Iran pale tu itakapokuwwa na uhakika kwamba Iran wanataka kuwashambulia. Na hii itakuwa ni haki yao kujilinda na kulinda ria wao, na si vinginevyo

obama_iran_war.jpg
 
If that's the case, why should we stick with the same definition of nations as if we live in the first century? What I want to say here is in ancient time the definition of the tribe and that of nation were the same side of the coin, and the member of each tribe thought that GOD they know has given their tribe special preferences.

It's true that the God of Bible called Israel his nation. However, that was about 3000 years when people from other nations or tribes didn't worship him. Today situations have changed. Now many people know the GOD of the Bible, and they are entitled to be called the children of GOD, children of Abraham and so forth.
Mkuu kama unaamini dini, usiulize maswali maana it doesnt make sense, imani ni imani, ni things you believe on that you cant see, its believing beyond seeing.

However historically, hata watu wenye kuwamini dini na waliosoma wanakubaliana kuwa there are some short comings, kwamfano kubatizwa, some evangelicals wanadai lazima ubatizwe kwa maji mengi, na ukweli ni kwamba wakati hao ancient people wanabaptisize, before John, kulikuwa hakuna maji, walikuwa jangwani, na walikufa bila ya kubatizwa na maji mengi, na according to bible, hao hawaendi mbinguni.

Ila wataenda mbinguni kama wao ni catholics kwasababu wao wanabatizwa wakiwa wadogo bila maji mengi.
 
Sir,

The book of Ezekiel was written when the Israelite were in captivity in Babylon, and it refers the returning back from Babylon. So prophecy you put forward was alread fulfilled about 2500.

I don't understand why you religious people are so confused. I wonder why Babu is making a lot of money out of your ignorance.
Soma vizuri Ezekiel anatabili kuwa watakusanywa kutoka mataifa yote waliotawanyika na si kutoka katika taifa. Soma kitabu hicho ili upate kujua ukweli.
 
Masauni, asante sana kwa jitihada zako za kuupeleka huu mgogoro kwenye dini, lakini napenda nikukumbushe kitu kimoja: kwamba jaribu kuungalia huu mgogoro kwa kutumia vipengele vya Principles za International Relationship na International Diplomacy, vinginevyo utakuwa umnamiss picha kamili. Mungu yupo na alikuwepo wakati Waisrael wanatangatanga kwa zaidi ya miaka 2,000 na alikuwepo wakati wa vita vya II vya dunia ambapo Jews million 6 walipouwawa huko Ulaya.

Ninachotaka kusema ni kwamba, Israel ni Taifa kama Taifa jingine duniani, na wao huwa wanapiga mahesabu katika mikakati yao ya ulinzi na usalama wa nchi yao. Hawategemei kwamba nusra ya Mungu ndio itakuja kuwaokoa, hivyo basi wakae na kunyoosha miguu. Na ndio maana wapo ubavuni mwa Marekani ili kuhakikisha kwamba mambo yakienda kombo watakuwa na mtu wa kuwasaidia.
Tatizo ni nini? U.S.A wana hali mbaya ya kiuchumi na wanajaribu kuondoka Iraq na Afghanistan. Inawekana vipi arudi tena vitani, tena kwenda kupambana na nchi ambayo ni kubwa mara tatu ya Iraq, na ina population zaidi ya mara nne ya Iraq?

Kwa mtazamo wangu, Marekani itaishambulia Iran pale tu itakapokuwwa na uhakika kwamba Iran wanataka kuwashambulia. Na hii itakuwa ni haki yao kujilinda na kulinda ria wao, na si vinginevyo

obama_iran_war.jpg
Israel imepigana vita vikubwa na waarabu mara 6! haikusaidiwa na nchi yoyote! ilibomoa vinu vya nuclear vya IRAQ na SYRIA without the knowledge of USA! So unakosea sana unaposema inasubiri Marekani.
Usitake kumfananisha Mungu kama mwanadamu, yeye ni Mungu, nothing will happen in the world without his knowledge. Mungu anasema ninamuadhibu mtoto nimpendaye ili ajirudi na kunifuata mimi na anaweza kuwatumia/kumtumia mtu ama kikundi au ata nchi ili kuwaadhibu ama kumuadhibu wale awapendao watakao kuwa wamekwenda astray. Je, wajua baada ya Mungu kuwaadhibu Israel kupitia mkono wa Hitler, wakaanza kumlilia Mungu wao aliyewafukuza katika nchi yao na baada ya miaka mitatu tu Mungu akawatumia UN kuwarudisha katika nchi yao.
NDUGU UKIMFIKIRIA MUNGU KAMA NI SAWA NA MWANADAMU,ANAWAZA KIBINADAMU NA ANAHURUMA KAMA MWANADAMU AU ANAKASIRIKA KAMA MWANADAMU BASI NDUGU YANGU BADO HUMJUHI MUNGU ALIYEKUUMBA NI WAAINA GANI.
 
Hawa wazungu hawaaminiki, pengine wanawa attack leo au kesho, wanawaambia May wanataka wenzao wa relax wawashtukize.
 
Mungu alichagua taifa la Israel purposely. Ngoja nikupe baadhi ya maandiko matakatifu

Ezekiel 28: 25-26. The Lord God said, someday I will gather the people of Israel from the nations where they are now scattered, and every nation will see that Iam holy. The Israel will once again live in the land I gave to my servant Jacob. They will be safe and will build houses and plant vineyard . They will no longer be in danger, because I will punish their hateful neighbors, Israel will know that Iam the Lord their God

Ezekiel 39: 25-28. Now I(GOD) will show mercy to the people of Israel and bring back from the nations where they are living.So I will bless them and show that Iam holy. verse 27- Foreign nations will watch as I take the Israelites from the enemy lands and bring them back home. Verse 28- My people Israel will realize that I the Lord their God sent them away as prisoners and now will bring them back to their own land. Never again will I turn my back on the people of Israel and my spirit will live on them, I the Lord Have spoken.

Ukitaka soma kitabu cha Isaya na endelea kusoma Ezekiel uone jinsi Urusi itakavyoisaidia Irani plus other arabs countries kuattack Israel na jinsi Israel itakavyoshinda vita hivyo. pia utaona jinsi vita ya amargedon itakavyopiganwa mataifa yote duniani ikiwamo USA yatakuwa against na Israel. Lakini Israel itashinda vita hivyo katika hali ya kushangaza dunia!! na ndipo mataifa yote hayo yataamini kwamba Mungu wao anawapigania Israel na wataanza kumuabudu Mungu wa kweli wa Israel. Hiyo ndo last option ambayo Mungu atakuwa ametumia ili kuhakikisha wanadamu wanamuamini yeye na si shetani. Lakini wale watakaoshindwa kuamini basi ndo itakuwa mwisho wao na watatupwa jehanam, maana vita ya amargedon itapiganwa siku za mwisho. mlango wa rehema utakuwa umeshafungwa kwa wale watakaoshindwa kumuamini Mungu hata atakapojidhihirisha waziwazi kupigania Israel.
HASHUKURIWE MUNGU KUICHAGUA NA KUITUMIA ISRAEL KATIKA KUMKOMBOA MWANADAMU HASIMUAMINI SHETANI.
Hahaha hivi wewe uko sawa mana navyo jua hicho kiatabu si cha Jesus ni cha Ezikel.
Jesus Christ exclaimed, "Not everyone who says to Me, 'Lord, Lord,' shall enter the kingdom of heaven, but he who does the will of My Father in heaven" (Matthew 7:21).

Yani hapo lazima mjue hizo kelele zenu na zao si kweli.....Tazameni tena mpate akili...'The Kingdom of God shall be taken from you and given to a nation which bears him fruit' [Matthew 21.43]

Therefore I say unto you, The kingdom of God shall be taken from you, and given to another nation bringing forth the fruits thereof."

[TD="width: 70%"]
-
[/TD]
[TD="width: 30%"] Matthew 21:43 [/TD]
 
Mbona unajichanganya? Hata hujui vitabu vya biblia ni vingapa!! Pole sana ndugu yangu kama unashindwa hata kuelewa biblia ni nini na inavitabu vingapi. kweli unaweza kusema unamjua Mungu! na tena unanukuu maandiko amabayo hata uelewi maana yake. MUNGU HAKUSAMEHE

Hili litaleta balaa kubwa sana dunia nzima. I hope halitatekelezwa.
 
Mbona unajichanganya? Hata hujui vitabu vya biblia ni vingapa!! Pole sana ndugu yangu kama unashindwa hata kuelewa biblia ni nini na inavitabu vingapi. kweli unaweza kusema unamjua Mungu! na tena unanukuu maandiko amabayo hata uelewi maana yake. MUNGU HAKUSAMEHE

Sasa nakuchanganya nini tena ni hii ndo fact Ezekiel is in the old testament and lived 500 years before Jesus....Wakati ule wa nyuma mungu alikuwa anawapenda sana mayahudi hakuna kitu tunakataa, lakini hao mayahudi walilaniwa na mungu na hata Jesus aliwambia ufalme wao unaondoka unaenda kwa warabu unaenda kwa Prophet Mohammed ambaye mnaye msema eti shetani nyi engojeni tu siku zikifika msije mkasema hatukuwaeleza.

Hakuna mkristo ambaye anapenda kufa hata kama anamuabudu mungu wao vipi, lakini muislam akiwa anabudu sana mungu haogopi kabisa kufa anajua akifa anaenda peponi.

Back @ thread;
Defense Secretary Leon Panetta has a lot on his mind these days, from cutting the defense budget to managing the drawdown of U.S. forces in Afghanistan. But his biggest worry is the growing possibility that Israel will attack Iran over the next few months.

Hapo ni vipi mana naona kama America ana wasi wasi na kitu au mimi ni muongo hapa....anaye taka kuipiga Iran ni Isreal taifa la mungu kama mnavyo sema....Vipi taifa la mungu litegemee taifa sio la mungu.
 
Let me agree that I don't believe. But let me tell you this you have a very narrow definition of God, and I don't blame you because enlightenment isn't an easy feet to achieve.

Yale MMungu ambayo ameamua kutudhihirishia tunayaona na kuyadhihirisha bila wasiwasi!
Hata ile vita ya Yom kipuur raisi wa misri wa zama hizo, alisema Israel kama sio wachawi basi kuna mkono wa Mungu!
 
Akili kweli mali kwani raisi wa misri akisema vile basi ni kweli, hivi wewe hujui kama misri wako wayahudi.....Unegkuwa unajua wako wayuhudi usinge ongea ujinga huu.

Hivi wewe hujui kama isreal alipokuwa anapigana na Hezboullah mpaa saud arabia alimsaidia myahudi au hujui, hizo ni siasa za maslaha flani...Usiingize siasa kwenye dini.

Soma hapa upate akili.... The Jews Are Not God's Chosen People
 
Sasa nakuchanganya nini tena ni hii ndo fact Ezekiel is in the old testament and lived 500 years before Jesus....Wakati ule wa nyuma mungu alikuwa anawapenda sana mayahudi hakuna kitu tunakataa, lakini hao mayahudi walilaniwa na mungu na hata Jesus aliwambia ufalme wao unaondoka unaenda kwa warabu unaenda kwa Prophet Mohammed ambaye mnaye msema eti shetani nyi engojeni tu siku zikifika msije mkasema hatukuwaeleza.

Hakuna mkristo ambaye anapenda kufa hata kama anamuabudu mungu wao vipi, lakini muislam akiwa anabudu sana mungu haogopi kabisa kufa anajua akifa anaenda peponi.

Back @ thread;

Hapo ni vipi mana naona kama America ana wasi wasi na kitu au mimi ni muongo hapa....anaye taka kuipiga Iran ni Isreal taifa la mungu kama mnavyo sema....Vipi taifa la mungu litegemee taifa sio la mungu.

Hakuna mkristo ambaye anapenda kufa hata kama anamuabudu mungu wao vipi, lakini muislam akiwa anabudu sana mungu haogopi kabisa kufa anajua akifa anaenda peponi.
Asante kwa sababu unakiamini angalau kitabu kimoja tu katika biblia mathew. Hicho hicho kiatbu cha mathew 24:29-35 ... wanafunzi wa Yesu wakamfuata na kumuuliza Bwana tuambie ni nini dalili za mwisho wa dunia na kuja kwao. Yesu akasema MTAKAPOONA Israel inarudi katika nchi yake ... na kustawi na kumrudia Mungu tambueni mwisho huu karibu. Aliyasema hayo yapata miaka 2000 iliyopita na unajua kabisa mwaka 1948 Israel ilirudi katika ardhi yake na baada ya miaka michache ikawa taifa lenye nguvu middle east yote.

Israel haitegemei Marekani ili kushinda vita kumbuka 1967. Imepiga vinu vya nuklea vya Syria na Iraq bila hata marekani kujua.

Back @ thread;

Hapo ni vipi mana naona kama America ana wasi wasi na kitu au mimi ni muongo hapa....anaye taka kuipiga Iran ni Isreal taifa la mungu kama mnavyo sema....Vipi taifa la mungu litegemee taifa sio la mungu.[/QUOTE]

Huwezi ukatenganisha agano la kale na agano jipya, hilo lote ni neno la Mungu. Nikupe mfano mdogo tu Isaya katika agano la kale alitabiri kuja kwa Yesu yapata miaka 900 kabla ya Yesu. Na jambo hilo likatokea

Asante kwa sababu unakiamini angalau kitabu kimoja tu katika biblia mathew. Hicho hicho kiatbu cha mathew 24:29-35 ... wanafunzi wa Yesu wakamfuata na kumuuliza Bwana tuambie ni nini dalili za mwisho wa dunia na kuja kwao. Yesu akasema MTAKAPOONA Israel inarudi katika nchi yake ... na kustawi na kumrudia Mungu tambueni mwisho huu karibu. Aliyasema hayo yapata miaka 2000 iliyopita na unajua kabisa mwaka 1948 Israel ilirudi katika ardhi yake na baada ya miaka michache ikawa taifa lenye nguvu middle east yote.

Israel haitegemei Marekani ili kushinda vita kumbuka 1967. Imepiga vinu vya nuklea vya Syria na Iraq bila hata marekani kujua.

SASA NDUGU YANGU UNATAKA NIAMINI NINI ZAIDI YA YALE NILIYOYASOMA KATIKA BIBLIA NA YAMETOKEA NA YANATOKEA. BIBLIA INASEMA ISRAEL ITARUDI KATIKA NCHI YAKE IMERUDI KWELI! BIBLIA INASEMA HAKUNA NCHI WA MTU ATAKAYEWATOKA KATIKA ARDHI YAKE, WAARABU WAMEPIGANA VITA MARA 6 KUTAKA KUWATOA KATIKA ARDHI YAO WAMESHINDWA! BIBLIA INASEMA MJI WA JERUSALEM UTAKUWA MMOJA NA HAUTAGAWANYIKA NA IMEKUWA HIVYO!! BIBLIA INASEMA WATAKAPORUDI WATASTAWI SANA NA IMEKUWA HIVYO ATA JUZI UNESCO WALITANGAZA KUWA ISRAEL NI NCHI YA PILI DUNIANI KUWA NA WATAALAMU WENGI WA HALI YA JUU KATIKA FANI ZOTE NA PIA UNESCO WAKASEMA NI NCHI YA KWANZA DUNIANI KUFANYA UGUNDUZI WA MAMBO MENGI YA KISAYANSI AMBAYO YAMELETA MAMBO MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA TEKNOLOJIA.
Sasa ndugu yangu unataka niamini nini zaidi ya hapo. je namini hadithi za mtume ambazo sijaona matukio yoyote yakitokea kutokana na hizo hadithi? Niko tayari kubadilika iwapo utanidhibitishia kuwa hadithi za mtume ni kweli na hiki na hiki kimetokea na ulimwengu mzima unaona.
 
@Masauni, Mimi nakupa point ndogo sana ya prophet mohamed....alisema; No Prophet will come after me hebu niambie nani kaja baada yake.

Tazama vitu dogo mpate ukweli sio kuimba nyimbo tu kanisani kama wehu. .... BREAKING NEWS: Prophet Muhammad's Name Found in the Bible - YouTube

Part 2 http://www.youtube.com/watch?v=zbSCYkxRZAg&feature=fvwrel

Mimi nawashaurini rudini kwenye thread tuongelee mambo ya Iran na Isreal mana dini yenu ya kujitungia na kusema wayahudi ndo taifa la mungu ni nyimbo za walevi tu.
 
Sisi Tanzania ni taifa la nani? Mungu ana taifa moja tu?
Japan sio taifa la mungu? India sio taifa la mungu? Vatican sio taifa la mungu? Fiji sio taifa la mungu?
Kasumba nyingine ,bana!!! Hizi mtu zote zilizojaza dunia sio mtu za mungu? au imekuwa ni story ya the animal farm?

Yote uliyoyataja na hata yale ambayo hujayataja ni mataifa ya Mungu pia, ila Israel kimaandiko ni "taifa teule". Yaani limeteuliwa miongoni mwa mataifa mengi.
 
Hebu wacheni uwongo wapi mungu kasema israe ni taifa teule?

Mbona manimba nyimbo za uwongo kila kukicha kwanza huyo muisrael hamuamini Jesus kabisa na nyie mnasema ni Mungu tukiwambia Jesus ni Prophet tu kama kina Mohamed mnakataa....Sasa vipi huyo Jesus ambaye ndo mungu wenu mnasema kaliteua taifa la ki sirael kama lake wakati wayahudi wenyewe wanamkataa....Kweli mnachanganyikiwa mana shetani anazidi kuwapoteza.

Hivi mnasoma bible zenu vizuri hebu kasome Isaiah chapter 29 verse 12

Is Isaiah 29:12 a prophecy of Mohammed, as a Muslim I talked to claims. It mentions someone who says "I am not learned" which Mohammed also said.

BTW; if there are any Christians who believe that these verses are not referring to Prophet Muhammad (pbuh) than I would just like to ask them that who are these verses referring to than.

SWALI LINGINE JESUS ALIPOSEMA NISIPO ONDOKA HATAKUJA ALIKUWA ANAMUONGELEA NANI?

Na Jesus alikuwa anaona mbali sana na alikuwa anatabiri vitu vitakavyo kuja kwanini hakusema nikiondoka mimi atakuja Mohamed angalieni asiwapotezeni...hivi kweli Jesus alikuwa hajui kama atakuja Mohamed? Na kwanini akasema akiondoka yeye ndo atakuja huyo mtu he will guide you into all truth....sasa huyo mtu nani kama si Mohamed.

Nawambieni wacheni ujinga eti wayahudi taifa la mungu wakati nyie mnasema Jesus ni mungu.

Hebu kawaulizeni Israeli mungu wao nani ni Jesus au wana mungu mwingine...mmekalia ujinga tu hamtoki kusoma mkafahamu na vitabu vyenu vinawapeni point moja juu ya moja.

Nilisahau kukuonyesha hiii...Angaliieni taifa la mungu kama mnavyo liita nyie linavyo mtukana mungu wenu
 
Last edited by a moderator:
Mnajiita 'great thinkers' huku baadhi yenu mnashahabikia vita! Sasa wakipigina vita, mu-Israeli akashinda au akashindwa wewe mshahabiki itakuwa imekusaidia nini? Ina maana Wa-Iran wakifa wewe utafurahi? au Wa-Israeli wakifa au wakitoweka kwenye ramani, wewe utafurahi? Baadhi yenu naona mmesha anza kupigana hiyo vita tayari humu JF! Kueni. Vita siyo ya kushahabikia hata siku moja!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom