Iran threatens to destroy Israel within a week

Iran threatens to destroy Israel within a week

Status
Not open for further replies.
Could you please give me the meaning of the word NATION when the Bible was written?
I cant tell you, ila itakuwa maeneo hayo sorrounding river jordan, a nation back then maybe was as much tiny as a village.
 
Sasa hili litakua Tifu la aina yake watu msifikirie Iran ni mjinga, yeye ana mabomu mengi tu makubwa haya Intercontinental ballistic missile ambazo anaweza kabisa kupiga miji kadhaa ya US na pia Israel bila shida...na kila leo anazidi kujiweka sawa kijeshi wakorea ya Kaskazin wanamsaidia na pia Russia kwa hiyo come what may if they set foot on the battle field...itakua vita kubwa sana wala si mchezo na hat haya mambwa ya US yanajua Iran sio Iraq wala Libya...ina jeshi kubwa na la kisasa kabisa..wait u see hilo tifu...
Nakubaliana na unachosema, ila amini usiamini, hao kina Russia,China et al, hawataingilia kama ni Israel peke yake ndo wanaambana, only kama NATO na US wataingia, then maybe.

And it is a big maybe since hakuna historia kama hiyo.
 
Mkuu, kwa wanaoamini bible, Israel ina vipindi vyake vya ups and downs ambazo ziko recognized na Mungu na si bahati mbaya, zipo kwenye historia ya bible, kama wewe ni muumini wa dini ya kikiristo, basi ukweli ndo huo, kwamba Israel kuna nyakati ambazo Mungu huwa ana waderstroy na nyakati ambazo anawajenga, na yote hiyo inasemekana ni kama wakienda njia mbaya,basi mara zote Mungu huwa anawaacha wafanyiwe mambo kama kutawaliwa nk ili warudi kwenye msitari, na hapo ndipo kunakuwa na remnants, again, i stand to be corrected.

Show me a nation that has always moved ups. It seems to me that the GOD you know has always used carrot and stick when dealing with the Israelis. He protects them when they obey him, and punishes them when they don't.

Tell me what they did wrong to deserve the mass execution of the Second World War, and then tell me what they have done differently since the end of the war?

Also I would like to know why GOD has to use agents of Evils such as Hitler to punish the Jews?
 
The power of God will destroy all the evil nations like Iran
 
Nasubiri kwa hamu kubwa siku Israel(Taifa la Mungu) litakapowapiga hao mashetani(Irani)

Masauni = Masaburi, so ain't surprised with anything comes from your dirty n stinkin mouth.
Eti taifa la Mungu, so sisi wengine ni mataifa ya Shetani? Mijitu mingine K.eng.e kweri kweri.
 
OK let put this was. If they are indeed taifa la Mungu, why don't they pray and let God shut down Iran's nuclear plants mysteriously? Do you think God created diversity of Nations and races in order to make others superior?

Think about this. Every time they have a problem in the Middle East, the price of oil goes up significantly. In that kind of situation, poor nations like Tanzania pay heavy price. My question is what have we done wrong to receive God's wrath?

You can ask JK and Tzns why they keep on choosing CCM? Once you get a constructive reply then you will understand that the Gold, Gas, Gems, and Precious Metal you TZ'S have, was given by the same God who Gave Black gold to Arabs. All you TZ have to do is to wake up from sleeping.
 
Iran's crazy threats are making the whole world more likely to support military action. No one would ignore a neighbor who was mentally ill stock piling assault weapons and going on rants. Or want one. Iran and the bomb is the same thing.
 
Nakubaliana na unachosema, ila amini usiamini, hao kina Russia,China et al, hawataingilia kama ni Israel peke yake ndo wanaambana, only kama NATO na US wataingia, then maybe.

And it is a big maybe since hakuna historia kama hiyo.

Hao Russia na China wao hawawezi kuingia moja kwa moja ila wao wanakerwa na ubabe wa US kila wakati msisahau Marekani bila vita haipo...kwa ufupi ni Taifa linaloishi na kustawi kwa kutumia damu za watu!!! ndio maana wana laana, sasa wanataka sana hiyo vita na hata kibri chote cha Israel kinatoka huko..kumbukeni wala FBI wote karibu ni hao hao waisrael sasa tifu litakuja kuwa kubwa mana wale Korea kaskazin wana Nyuklia na wale wana maelewano mazuri na Iran...

Ndio maana nasema hata Iran anaweza kabisa kupambana na Israel tena akamudu vizuri sana na ndio maana hasa unaona kinachofanyika Syria ni kuhakikisha eneo hilo linakaliwa na watu wao na Yule Assad sio mtu wao wanaogopa... akiendelea ataleta shida au kuhujumu Israel...kwa ufupi niwambieni hiyo Vita itakua mbaya sana kuliko watu wanavyofikiria wala sio rahisi kwa wote wawili...
 
Shida ilipo kwa upande mwingine ni kuhusiana suala la imani.

Kwa mfano bible ina claim kwamba kuna wana wa Isarel 40, 000 watakaoingia peponi for free!

Uko Iran nako, wanaamini kabisa kuwa kwa mujibu wa dini yao, vita hivi ni vile vya armagedeon, wanaamini kwa mujibu wa Allah, vita hivi ni lazima vitokee na mwisho wake ndo kama alivyosema Ahmedinejad, siyo kwamba wanatisha nyau, bali ndivyo wanavyoamini, so given all those issues, unaweza kuona kuwa imani pia nazo zinachangia conflicts kwa kiasi kikubwa sana kwenye maisha ya wanadamu.

Hakuna anayetumia imani hapo...kwasababu Israel hawana dini wala hawatumii bible, wairan wenyewe wako mbio kupanua persina empire midlle east wakati israel nayo iko ina struglle ku-control waarabu na resources zao (wao wanakula halua washamba)..

It is about power struggle no religion my friend; no religious person will intimadate anyone or cause harm to others
 
Hao Russia na China wao hawawezi kuingia moja kwa moja ila wao wanakerwa na ubabe wa US kila wakati msisahau Marekani bila vita haipo...kwa ufupi ni Taifa linaloishi na kustawi kwa kutumia damu za watu!!! ndio maana wana laana, sasa wanataka sana hiyo vita na hata kibri chote cha Israel kinatoka huko..kumbukeni wala FBI wote karibu ni hao hao waisrael sasa tifu litakuja kuwa kubwa mana wale Korea kaskazin wana Nyuklia na wale wana maelewano mazuri na Iran...

Ndio maana nasema hata Iran anaweza kabisa kupambana na Israel tena akamudu vizuri sana na ndio maana hasa unaona kinachofanyika Syria ni kuhakikisha eneo hilo linakaliwa na watu wao na Yule Assad sio mtu wao wanaogopa... akiendelea ataleta shida au kuhujumu Israel...kwa ufupi niwambieni hiyo Vita itakua mbaya sana kuliko watu wanavyofikiria wala sio rahisi kwa wote wawili...

Israel hawawezi kupigana na Irani wenyewe (persee never on earth ni waoga sana na wanaogopa kufa na kupenda kuishi kupita mtu yeyote duniani) wataanza vita ikiwa wamerakani au Nato watakubali kuwa FRONT otherwise..israel hawezi face to face confrontation bila kutumia PROXY somebody to fight for them..

Ndio maana wako busy kuhakikisha wana wa control wamerakani na NATO by any means necessary..wamerakani wakichoka kupigana vita kama PROXY ya Israel; mbona israel itakuwa na adabu sana tu..na majirani zake
 
Let me agree that I don't believe. But let me tell you this you have a very narrow definition of God, and I don't blame you because enlightenment isn't an easy feet to achieve.

I know who God is. Wewe usiyelewa unadhani Mungu anafanya mambo na kuwaza kama mwanadamu. Mungu alichagua taifa la Israel purposely. Ngoja nikupe baadhi ya maandiko matakatifu

Ezekiel 28: 25-26. The Lord God said, someday I will gather the people of Israel from the nations where they are now scattered, and every nation will see that Iam holy. The Israel will once again live in the land I gave to my servant Jacob. They will be safe and will build houses and plant vineyard . They will no longer be in danger, because I will punish their hateful neighbors, Israel will know that Iam the Lord their God

Ezekiel 39: 25-28. Now I(GOD) will show mercy to the people of Israel and bring back from the nations where they are living.So I will bless them and show that Iam holy. verse 27- Foreign nations will watch as I take the Israelites from the enemy lands and bring them back home. Verse 28- My people Israel will realize that I the Lord their God sent them away as prisoners and now will bring them back to their own land. Never again will I turn my back on the people of Israel and my spirit will live on them, I the Lord Have spoken.

Ukitaka soma kitabu cha Isaya na endelea kusoma Ezekiel uone jinsi Urusi itakavyoisaidia Irani plus other arabs countries kuattack Israel na jinsi Israel itakavyoshinda vita hivyo. pia utaona jinsi vita ya amargedon itakavyopiganwa mataifa yote duniani ikiwamo USA yatakuwa against na Israel. Lakini Israel itashinda vita hivyo katika hali ya kushangaza dunia!! na ndipo mataifa yote hayo yataamini kwamba Mungu wao anawapigania Israel na wataanza kumuabudu Mungu wa kweli wa Israel. Hiyo ndo last option ambayo Mungu atakuwa ametumia ili kuhakikisha wanadamu wanamuamini yeye na si shetani. Lakini wale watakaoshindwa kuamini basi ndo itakuwa mwisho wao na watatupwa jehanam, maana vita ya amargedon itapiganwa siku za mwisho. mlango wa rehema utakuwa umeshafungwa kwa wale watakaoshindwa kumuamini Mungu hata atakapojidhihirisha waziwazi kupigania Israel.
HASHUKURIWE MUNGU KUICHAGUA NA KUITUMIA ISRAEL KATIKA KUMKOMBOA MWANADAMU HASIMUAMINI SHETANI.
 
watu wananiudhi wanaposapoti vita kisa kubatiza matafa ushetani na utakatifu. wewe ni nani hadi uhukumu. angalia boriti
 
Angalieni nawaambia jamani...mchezo wenu ni mauti kwetu..walitamka vyura wa bwawani wakiwaambia tembo wakorofi ardhini
 
job true true hapa lazima kuna mmoja atasanda na inaoneka hawa wamarekani na israel wanajiuliza mswali kisha wanajijibu no one knows iran wanafikiria nini juu ya hili saga..

Wapigane wao tunakuja kufa watz kazi tunayo..
 
You are making a guess. Aren't you?
Mkuu, ninavyoelewa, dunia iliyokuwa inaelezewa kipindi kile cha karne a kwanza, ni tofauti na dunia inayozungumziwa sasa.

Kwani Afrika ni kweli iligunduliwa na Mango Park long time after the bible was written?

Ramani ya dunia karne ya kwanza ni sawa na hii ya sasa?

Tuanzie hapo...
 
Hakuna anayetumia imani hapo...kwasababu Israel hawana dini wala hawatumii bible, wairan wenyewe wako mbio kupanua persina empire midlle east wakati israel nayo iko ina struglle ku-control waarabu na resources zao (wao wanakula halua washamba)..

It is about power struggle no religion my friend; no religious person will intimadate anyone or cause harm to others
Mkuu fuatilia vyema, anza na hapa...

Iran preparing now for Armageddon
 
Mkuu, ninavyoelewa, dunia iliyokuwa inaelezewa kipindi kile cha karne a kwanza, ni tofauti na dunia inayozungumziwa sasa.

Kwani Afrika ni kweli iligunduliwa na Mango Park long time after the bible was written?

Ramani ya dunia karne ya kwanza ni sawa na hii ya sasa?

Tuanzie hapo...

If that's the case, why should we stick with the same definition of nations as if we live in the first century? What I want to say here is in ancient time the definition of the tribe and that of nation were the same side of the coin, and the member of each tribe thought that GOD they know has given their tribe special preferences.

It's true that the God of Bible called Israel his nation. However, that was about 3000 years when people from other nations or tribes didn't worship him. Today situations have changed. Now many people know the GOD of the Bible, and they are entitled to be called the children of GOD, children of Abraham and so forth.
 
napita ... vita nayo ina mashabiki kha ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom