Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,530
- 1,121
Nani kakuambia Israel ni taifa la Mungu???? source?
Utawaweza vichaa maneno sijui wanayatoa wapi.Nani kakuambia Israel ni taifa la Mungu???? source?
Nani kakuambia Israel ni taifa la Mungu???? source?
Nyie mtungieni tu mungu uzushi mtakiona cha mtemakuni siku mnaingia kaburini...msiseme hatukuwakataza kumzulia mungu maneno ya uwongo.Source ni Mungu Mwenyewe.
Yani wewe unadhani kuandika Misri au Masri au kuna tofauti? kuna watu wanaweza kuandika india wengine wakandika hindustan.
Kuna watu wanaweza kuandika cairo hivi kairo au cairro siouni kosa unless uwe mjinga ndo uta urge na useless point.
:biggrin:
Kwanza wewe unataka kujionyesha msome kwa kuhiighlighted neno la eghpt kama nimekosea kuandika hahaha...huo ni ujinga mana sioni kama kuna kosa nikiweka Y mwishoni.
Sasa turudi kwenye point, unasema eghpt anategema msada kuotka america toka mwaka 1979 ungekuwa na akili kidogo tu ungejuwa pale mmarekani anahonga ili eghpt asiwe anamsumbua muisreal....ngojeni muone kipigo atakacho kipata karibuni kutoka kwa Iran ndo mtajua hana kitu huyo...landa atumie nuclear bom na hapa akitumia ujuwe ndo mwisho wake hauko mbal..iHizo nuclear atabaki tu kazishikilia lakini hawezi kuzitumia kwenye vita
Sawa dogo sikujua kama hapa tunaongelea typing errors...yani hii thread imeisha kuwa yakukosoa typing errors :biggrin:Kiazi unakurupuka sana... na hapa chini "hindustani" au "india"? au ni "eghpt"!! hahah your "eghpt" doesn't fit in any existing language.
That was only one comment, with more than ten typing errors. Should I waste my time to argue with a nappy-head like you? Kabla hujatuambia habari za Egypt na Israel ulizosikia gengeni, kajifunze kuandika.
Nyie mtungieni tu mungu uzushi mtakiona cha mtemakuni siku mnaingia kaburini...msiseme hatukuwakataza kumzulia mungu maneno ya uwongo.
Wengi walishasema kama inavyosema Iran lakini matokeo hayakuwa kama walivyosema. Binafsi siamini kama Iran imejipanga kushinda vita vinavyotarajia hata kama itaunda bomu la nyuklia, maana nyuklia yao bado itakuwa dhaifu sana kulinganisha na ile ya USA. Kama Iran inaongozwa na watu wenye upeo basi hata kama vita ikipiganwa hawatathubutu kutumia nyuklia maana wanajua matokeo yake kwa wairan. Nikiangalia sioni kama Iran ina marafiki wa kufa na kuzikana kama ilivyo kwa Israel. China na Russia sio mataifa yaliyotayari kujitumbukiza motoni ili kuiokoa Iran.IRAN inao uwezo wa kuimaliza ISRAIL mkitaka msitake mbona mnaleta Ubishi wa Simba na Yanga? Wenyewe Wa IRAN wameshasema hivyo wana uwezo wa kuimaliza ISRAIL kwa muda wa wiki moja tu ngojeeni kinachoendelea jamani.
Iran akiwa mjanja aingie vitani right now, na hasisubiri the right time ya mmarekani, kwasababu sasahivi US ndo wanatengeneza bunker buster bombs ambazo zina uwezo wa kupenetrate Iranian bunkers system.
Kwasasa hawana na wamekiri hilo, Israel pia hawana.
Pia hao wakaguzi ni wapelelezi tu before vita.
Trust me Iran can do it. Nguvu ya Israel ipo Marekani na ndio maana Israel nchi ya Asia imejumuishwa Europe kumlinda. Middle East yote ina history ya Kidini, zote ni nchi ya Mungu. Anwar Saadat Hakushindwa bali walimbetray otherwise hali ya Israel leo ingekuwa tofauti. Hezbollah kikundi ndogo sana kilimpa tabu sana Israel itakuwa Iran. What they are doing right now is protecting Israel by breaking down countries sorrounding Israel kama Iraq, Syria, Palestine, Turkey (By including him in EU) etc. Israel peke yake hawezi kufanya chochote.