Bahati mbaya habari ni kitambo toka may 2010 ... Cheki tarehe vid ilikuwa lini uploaded
I doubt israel has the face to attack iran directly, Israel won't go to war with Iran :biggrin:The historical truth shows that Israel fought wars that were forced upon it by those who convinced themselves that Israel is simply fiction, a fleeting phenomenon that shall quickly disappear from the Middle East's map. In practice, this tiny state scored one victory after another, proving that it is entrenched deep in this soil.
Bahati mbaya sana kuna ushabiki wa ajabu hasa linapoongelewa taifa la Israel!!! Taifa ambalo liliundwa mwaka 1948 na kuanza kupora ardhi ya mataifa jirani. Taifa ambalo liliundwa baada ya Hitler kuwauwa waisrael zaidi ya milioni sita, pamoja na kwamba tunaambiwa taifa hilo ni la mungu na labda sisi na mataifa mengine Mungu alikosea kutuumba!!!! Na labda tunatakiwa tutoweke duniani na Israel ibaki peke yake!!!! Na ikumbukwe kuwa kabla ya umoja wa Mataifa kupitisha azimio la kuundwa kwa taifa la Israel huko Palestine, taifa hilo ilikuwa liundiwe Uganda, na kama hoja hiyo ingetekelezwe bila ya shaka Watanzania leo tungekuwa wakimbizi. Pamoja na kudaiwa taifa hilo ni la Mungu lina ukatili wa kuua wazee, watoto, vikongwe, walemavu kwa maguvu ya kijeshi iliyowezeshwa na Marekani. Kumbuka hata nyuklia ya Israel iliyonayo ilipewa na Marekani, kumbuka hata wakati wa Vita ya Iraq Israel ilishindwa kujikinga na mabomu ya Scud mpaka pale Marekani walipoisaidia kwa kuwapatia ant air craft missile zinazoitwa patriot. Kumbuka Israel imeshindwa kukitokemeza kikundi kidogo cha wanamgambo wa Hisbollah wasio hata na silaha za maaana. Israel inaweza kuwashinda Hisbollah tu siku Marekani na washirika wengine watakapoamua kuwasaidia Israel.
Wakati dunia nzima ina laani kile kilochofanywa na Hitler zidi ya Waisrael wasio na hatia itakuwa kosa kubwa kuishangilia Israel kwa unyama inaoufanya.
Hatuwezi kushangilia kauli ya Iran kuifuta Israel, kama vile tunapaswa kupinga vikali matendo ya kinyama yanayofanywa na Israel dhidi ya wapelestina. Labda tujiulize ni wapelestina wangapi wameuawa na Israel tangu nchi yao iporwe? ni wangapi wamefanywa wakimbizi waliokata tamaa? ni wangapi ambao watafia kwenye jela za Israel?
Lakini kitu kinachotupumbaza zaidi hata kuishabikia Israel ni kudhani kuwa Israel ni wafuasi wa Christo. ukweli ni kuwa waisrael wengi hawana habari na Yesu kama huamini muulize Vicky Ntetema wa BBC ambaye alifanya ziara huko Israel kudodosa dini wanayoifata wana wa Israel utashangaa. lakini pia soma hapa: Religious affiliations Jewish 77 percent Muslim (mostly Sunni Muslim) 12 percent Christian 5 percent Nonreligious 4 percent Other (including Druze, Baha'i)Microsoft ® Encarta ® 2009. © 1993-2008
There are 21 arabic nations that surround Israel today, let us put things into perspective for a moment. This is not, and has never been, about land. The Arabs that surround Israel have a land mass that is 649 times largerand a population that is 49 times larger. Maybe that doesn't explain things well enough. The Arab neighbors of Israel have 13,486,861 square kilometers of land,Israel has 20,770. The population of Israel's neighbors in 2001 was 292,400,267 people and Israel had an overall population of 5,938,093. Yet, them Arabs can't do a thing!!!!
So they are scared of USA. That is why you have to have such friends like US, and not diabolic Arabs who can't do a thing.
Hivi wewe unaongea kwa kutmia akili au unaongea tu.hivi watu hawajiulizi kwa nini ISrael has been a target for years hata hitler aliona kua hawezi kutawala dunia bila kuwaondoa wayahudi na aliwatumia kujijenga na kisha kuwaua halafu hamjiulzi why does USA defend Israel kumbuka USA hawezi kuingilia mambo ambayo hayana maslahi kwake USAs economy depends on ISrael has jews are said to be one of the most inteligent people kwa hiyo msishangae mti wenye matunda ndio hupigwa mawe but IRAN will never succeed
U can talk the talk... but at the end of the day... Iran akijaribu tu kidogo, kipigo atachokipata kitakuwa ni cha mbwa mwizi...toka Iran imeanza hizi kelele imeshafanya nn???more than 5 nuclear scientists Mossad keshawashusha chini na bado kazi inaendelea...watch this space.Hivi wewe unaongea kwa kutmia akili au unaongea tu.
Wewe unajua history za wayahudi wewe au unaongea tu, hao watu wameisha laaniwa na mungu na nyie mnasema Goden choosen people hahaha
Angalia wameuwa ma prophet wa mungu wangapi kabla hujaongea, afu uisisahau katika hao ma prophet wote walikuwa wakitoka kwao kabla mwenyezi mungu kuamua kutuma prophet wa mwisho mwarabu.
Myahuidi angekuwa ana akili asinge ogopa jiwe na yeye anatumia silaha, kama hujui uliza watu wanao wajua....eti wana akili :biggrin:
I doubt israel has the face to attack iran directly, Israel won't go to war with Iran :biggrin:
The fact is Israel has always depended on the US for its military hardware and to be replenished in a time of war.... Israel has not been tested on on the military field.
All its Arab opponents have been weak and in the 1967 War Israel struck first, in Iran it faces an opponent that has prepared itself to engage in war with a country that spends more on its military and airforce.
Iran is bigger and its geography is better suited to take on the Israeli army.....Irans economy is bigger and could weather a long war better than Israel. ....while Israel would not lose a war with Iran, it would not win it....But it would be left with so much war damage that it would lose it's position as a regional power:biggrin:
Hahaha mbona isreal kaanza kelele siku nyingi toka 2003 kabla yako na Iran kila siku ana move from stage to stage mbona hasubutu kupiga Iran.U can talk the talk... but at the end of the day... Iran akijaribu tu kidogo, kipigo atachokipata kitakuwa ni cha mbwa mwizi...toka Iran imeanza hizi kelele imeshafanya nn???more than 5 nuclear scientists Mossad keshawashusha chini na bado kazi inaendelea...watch this space.
hivi hata historia kusoma kazi sana? Miji kama Hebron, Jerusalem, n.k imekuwapo kwa zaidi ya miaka 3000 sasa na wafalme kama Hezekiah wapo ktk historia kama ambavyo wapo Assyrians, Hittites, Babylonians et al. Wapalestina huwakuti katika historia ya kale. Hata 165 BC wakati Antiochus Epiphanes alipokumbana na Senate wa Rome hasira zake alimalizia ktk Israel. Sasa hawa waplestina ndio akina nani?Hilo taifa la Mungu lina miaka 62 tu. Lilianzishwa mwaka 1949 kwa kupora ardhi ya Wapalestina. Huyo Mungu alikuwa wapi miaka yote hiyo? WaIsrael ni mkusanyiko wa wayahudi kutoka Ulaya na wachache kutoka nchi za Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika. Ni ubwege mkubwa kukubali huo upuuzi. Ina maana sisi wengine ni mataifa ya Shetani?
IRAN inao uwezo wa kuimaliza ISRAIL mkitaka msitake mbona mnaleta Ubishi wa Simba na Yanga? Wenyewe Wa IRAN wameshasema hivyo wana uwezo wa kuimaliza ISRAIL kwa muda wa wiki moja tu ngojeeni kinachoendelea jamani.
Sawa na mimi natega sikio na ninaomba isreal aende peke yake bila US afu pale ndo mtajua kama kweli wale ni God's choosen people.fazaa time will tell just wait and see mi hua sibishani sana tutaona tu kitachoendelea halafu utapata jibu
Hivi wewe unaongea kwa kutumia akili au!!
Toka lini isreal ilipigana na warabu bila kusaidiwa na marekani, uingereza, ufaransa na nchi nyingine za europe.
Isreal hakuweza kuwapiga Hezboullah ataweza kupigana na nchi ya kiarabu.
Hahaha mbona isreal kaanza kelele siku nyingi toka 2003 kabla yako na Iran kila siku ana move from stage to stage mbona hasubutu kupiga Iran.
Yani wewe akili kwako kila siku zinavyo enda huoni kama mwaka huu Iran atakuwa na nucler boom hapo unadhnai atasogea tena.
Report zote zinaonyesha Iran will have five nukes by April 2012....Yani we tega sikio na fumbua macho siku wanazitest.
Isreal angekuwa na uwezo angeisha wapiga zamani lakini pale kaisha jua kuna moto wa jahanamu utawaunguza.