Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Serikali ya Kiislamu ya IRA kwa muda mrefu imekuwa ikijipigia debe kuwa imeshinda matatizo makubwa ya kidunia kama ukimwi na kuwa watu wake ni waadilifu kutokana na kufuata misingi ya Uislamu lakini UKIMWI unawauumbua na wameona wakiri kuwa kama zilivyo nchi nyinginezo duniani UISLAMU siyo tiba ya kupambana na ngono hatarishi.............
1) Viwango vya maambukizi vinashinda ongezeko la mfumuko wa bei............
2) Mila, desturi zimechangia watu kuwa wanafiki na kutokubaliana na kukiri janga hili
3) Wenye ukimwi zaidi ya 70% hawajui kama wanao maana hawapimi........................
4) Vita dhidi yas ukimwi imekwama kwa sababu taifa zima haliko tayari kukiri kuwa wanalo hilo tatizo.
5) Utawala mpya wa Raisi Hassan Rouhan umeona ni vyema wakiri ili kujijengea mazingira mazuri ya kupambana na hili janga maana kuukataa ukweli siyo ufumbuzi wa tatizo bali kulivalia njuga..........
6) Wakati wa utawala wa Mahmoud Ahmadinejad madaktari wawili walifungwa mika miwili kwa kushiriki kwenye makongomano ya vita dhidi ya UKIMWI. Madaktari hao ni Arash and Kamiar Alae ambao ni mtu na kaka yake!
7) Msimamo wa zamani wa serikali ulikuwa ni kuipotosha jamii yao kuwa UKIMWI unaambukizwa na mateja wa madawa ya kulevya kupitia sindano wanazozitumia kwa kupokezana lakini sasa utawala mpya umekiri kuwa mateja tajwa wanaambukizana kwa kasi ya 50% na waliobaki ni ngono hatarishi............
hebu jisomee

Iran sees dramatic rise in HIV infections
Health minister says taboo surrounding disease is preventing effective treatment, and 70% do not know they are infected
- theguardian.com, Monday 2 December 2013 18.41 GMT
Dr Kamiar Alaei was arrested for his work on HIV treatment under Mahmoud Ahmedinejad. Photograph: Jim Watson/AFP/Getty Images
Iran's health minister, Hassan Hashemi, has expressed serious concerns over a dramatic rise in the number of people with HIV in the country, complaining that the current taboo prevents patients from receiving treatment.
"Today people in Iran are frightened of Aids because of misinformation and unscientific claims. This is why it remains a taboo," he said at an event in Tehran marking World Aids Day on Sunday, according to local media. "There has been a ninefold growth in the number of people with Aids in the past 11 years and an 80% increase each year."
He warned that the majority were unaware of their infections and that the trend was shifting from drug use to sexual transmission.
"This is more than the rate of our inflation or the rise in house prices," he said. According to Hashemi, social stigma means that HIV patients and their relatives keep the disease secret and ordinary people have little contact with those infected.
"Unfortunately, in our country, the status of awarness among patients, social support and education and prevention is poor," he said. "In Iran, the trend is shifting from transmission through drug addicts sharing syringes to transmission through high-risk sexual activities." About 5% of HIV patients in the country are child workers, the minister said.