IRAN sasa yakiri UKIMWI ni janga la kitaifa................

Status
Not open for further replies.
dogo tulizana wacha fujo, nauliza faida ya hii thread ni ipi? Ingekuwa Iran si nchi ya kislam mgeleta topic hii. Sasa wewe unataka sisi waislam tunyamaze tu, hata kama nchi za kislam zikipigwa vijembe hapa na wakristo. Hapo sahau kabisa kama tawanyamazieni, mkileta ukondoo wenu hapa, lazima tuwachinje tu ndio sunna.

Vaa bomu ujilipue sinuna hasira?
 
Hivi nyie wakristo hamna kitu cha kuongea zaidi ya kutafuta wapi nchi za ki islam zina makosa, kwa kukufahamisha zaidi wakati wa Prophet Muhammad, uncle yake Abu Lahab alikuwa hafati dini na alikuwa adui ya uislam, ndio pale mwenyezi Mungu aliposema kwenye Sura Al Masad; 1. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia 2. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma3. Atauingia Moto wenye mwako 4. Na mkewe, mchukuzi wa kuni 5. Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.

Mtume Muhammad pia alisema kwenye hadith zake; Al nari limani asaani hata laula sayd Al Quresh. Tafsiri yake kila mtu atakaye mkataa kama yeye ni mtume wa Mungu, na hafati dini ya kislam, atachomwa na moto hata kama yuko katika family yangu.

Sa usidhani wote walio katika nchi za kislam watakuwa waislam, ikiwa katika family ya mtume Muhammad uncle yake alikuwa kama mtume wenu Paulo.

Tafuteni mengine sio kila kitu uislam, nchi za kislam zikifanya makosa kidogo mnakuja shambulia uisilam, mna waonea wivu sana waislam, Sijawahi kuona muislam anakuja shambulia nchi za kikristo kwa ajili kuna Aids kwenye nchi zao. Wivu wenu tokea wakati wa mama wa wayahudii Sara alivyo anzisha wivu kwa mama wa warabu Hajar, na huo ugonjwa hamtauondoa sababu ni maradhi makubwa mnajiambukiza kila kukicha.

Kwa Mungu mtu anaye muonea wivu mwenzake sababu kapewa na Mungu hapendwi kamwe, nasidhani kama pepo iko kwa wale wenye wivu wakuonae wivu wenzao, ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema ukiona mwenzako kapata wacha wivu omba apewe zaidi ili na wewe upewe.

Shukuru muarabu kuja pwani,
 
Vaa bomu ujilipue sinuna hasira?
Unajua watu gani waio anzisha huo mchezo ni wakristo dogo. Yani mchezo mzima ulianzishwa na nyie msiwazulie waislam hahaha.

The Bible mentions six specific people who committed suicide: Abimelech (Judges 9:54), Saul (1 Samuel 31:4), Saul's armor-bearer (1 Samuel 31:4–6), Ahithophel (2 Samuel 17:23), Zimri (1 Kings 16:18), and Judas (Matthew 27:5).

Read more: What is the Christian view of suicide? What does the Bible say about suicide?
 
Shukuru muarabu kuja pwani,
Sa mwarabu asinge kuja pwani mgepata wapi watu wakuwachinjia nyama za halali hahaha.

Hawa warabu ndio walio muokoa Bibi Yenu wayahudi, na kwa kuwa hamna adabu mkasema ni mjakazi.

According to the Midrash, Hagar was the daughter of King Pharaoh of Egypt. When she saw the miracle which God performed for the sake of Sarah, to save her from the hands of the Egyptian king during Abraham's visit there, she said: "It is better to be a slave in Sarah's house than a princess in my own."​
 
Tatizo lenu kubwa badala ya logic and rational kutumika kuchambua mambo ya kilimwengu mnatumia imani ya dini kama unavyojaribu sasa kujibu hoja kwa dini. Uislaam ni dini yako; ukinitolea jibu mimi atheist au mkristo kwa msingi wa dini yako inabidi nibaki kushangaa.

na tatizo kubwa hawa watu elim dunia ni msamiat mgumu sana kwao ukitaka kumwelewesha jambo ye anakutukana! yaan tabu sana mkuu.
 
na tatizo kubwa hawa watu elim dunia ni msamiat mgumu sana kwao ukitaka kumwelewesha jambo ye anakutukana! yaan tabu sana mkuu.
Wewe unaye sema una elimu, elimu gani unayo sijaona ulicho kuwa unacho zaidi ya ujinga. Huyo mtoa mada alikuwa anatupa elimu gani zaidi ya kuja kuponda uislam.
 
Sa mwarabu asinge kuja pwani mgepata wapi watu wakuwachinjia nyama za halali hahaha.

Hawa warabu ndio walio muokoa Bibi Yenu wayahudi, na kwa kuwa hamna adabu mkasema ni mjakazi.

According to the Midrash, Hagar was the daughter of King Pharaoh of Egypt. When she saw the miracle which God performed for the sake of Sarah, to save her from the hands of the Egyptian king during Abraham's visit there, she said: "It is better to be a slave in Sarah's house than a princess in my own."​

Kiti moto mbona tunamla? Mnachibja nyie?
 
Adiosamigo

We teacher wa madrassa, nenda kawadumaze watoto akili kawafundishe waislam hawapati ukimwi. ila usisahau kuwaambia hii statement "" Waislamu hawapati ukimwi ila ukimwi unawapata waislamu pia""
 
una weza uwe na mwanamke mmoja lakini una vyangudoa kumi.

Uzinifu ni tabia ya mtu..jacob alikua na wake wanne,mtoto wake Reuben akatembea na mkewake yaani mamake mdogo.

Ni kweli mkuu, ni sawa na mbabe mmoja alikuwa akitamani tu mwanamke, anashusha aya. Hadi kwa wake za wanaye, duh, tamaa mbaya sana.
 
Kiti moto mbona tunamla? Mnachibja nyie?
Si mnaona huwa mnarukia train kwa mbele kama mnavyo zirukia Bibilia zenu hamajui kuzisoma afu mnasema ni msitu yani unapoteza watu, wapi nimesema tunachinja visio halali.

Nimesema tunachinja vya halali tu, wewe umekimbilia nguruwe afu mnajidai wafuasi wa Yesu.

Waipi Yesu aliwamrisha mle nguruwe. Tukiwambia nyie ni wafuasi wa yule mzinifu wa wake za watu kanisani mnabisha.
 
Adiosamigo

We teacher wa madrassa, nenda kawadumaze watoto akili kawafundishe waislam hawapati ukimwi. ila usisahau kuwaambia hii statement "" Waislamu hawapati ukimwi ila ukimwi unawapata waislamu pia""
Kama kuna makondoo walio potea kwenye wale wanao jidai waislam, sio mbaya wakipatwa kunyonwa damu na papasi hahaha.
 
Aliye leta udini ni mimi au mtoa mada?

Acha kumtetea kwa kuwa mkristo mwenzako, ongea ukweli usione vibaya kusema ukweli hapo.
Angalia jinsi unavyozidi kuona kila kitu kidini. Nani kakwambia kama mimi ni mkristo? Ili kukuelewesha kama mtoa mada alimaanisha nini hebu ona mfano huu pia. Familia ya mchungaji mlokole wanajitangaza kama wao wachamungu hakuna kati yao anayezini hivyo hakuna anayeweza kupata ukimwi. Lakini tuko duniani sio mbinguni mmoja wao anaukwaa ukimwi mchungauji kwa aibu anaficha maradhi. Ndivyo ilvyokua Iran kabla: Eti kwa kua wao wanaongozwa na uislaam hakuna ukimwi. Ni hivyo tu ndugu yangu hakuna ugomvi.
 
We mlajana!
Unajua binaadamu akiwa na tabia ya kumchukia mtu the way unawachukia waislamu, basi lazima kuna kitu kibaya wamekufanya!
Sasa ngoja nikwambie kitu!
Kama kuna mtu alikuchania majora yako! Na alikuwa amevaa kibalagashia au kanzu basi nakuhakikishia huyo sio mwislamu!

Unajua waislamu wameruhusiwa.kuoa mpaka wake wanne! Sasa sidhani kama mnuka kikwapa kama wewe unaweza .kumvutia mtu mwenye wake.wanne.!!

Hatari iko wa wale WALIOKATAZWA.KUOA NA PAROKIA!

Wale hawajali kisu chao kinaenda wapi!

Iwe ni dume au mbuzi au kuku! we twende kazini!

Sasa we mi nakushauri tabia za kelewa pombe ya moshi halafu kukatiza maeneo ya kigogo usiku haifai!
Na hata pale manzese pia hapafai. Hasa pale kwenye makanisa! Ni hatari sana! Wachungaji wana uraru!

Shauri yako.

Cc faby wabara

Ushoga upo zaidi kwenye nchi zinazojipambanua kuwa ni za kiislamu!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu kubwa badala ya logic and rational kutumika kuchambua mambo ya kilimwengu mnatumia imani ya dini kama unavyojaribu sasa kujibu hoja kwa dini. Uislaam ni dini yako; ukinitolea jibu mimi atheist au mkristo kwa msingi wa dini yako inabidi nibaki kushangaa.

nyie mmetumia logic gani kwa kuruhusu ushoga, usagaji na kutoa mimba?
Tatizo lenu huwa mnajifanya werevu sana, wakati mnajipaka kinyesi chooni na kuhalalisha vitendo vya ushoga ambavyo hata mbwa koko hawezi kuvifanya.
 
Wewe unaye sema una elimu, elimu gani unayo sijaona ulicho kuwa unacho zaidi ya ujinga. Huyo mtoa mada alikuwa anatupa elimu gani zaidi ya kuja kuponda uislam.

hawa makafiri ndo walivyo, chuki yao dhidi ya uislam hatoweza kuificha kamwe.

Kuna mada hapa inazungumzia vatikan walivyo halalisha ushoga, usagaji na kuua vitoto vichanga vingali tumboni, hakuna anae thubutu hata kuchangia.

Lakini wakiona mambo ya waislam roho haziwatulii.
 
Angalia jinsi unavyozidi kuona kila kitu kidini. Nani kakwambia kama mimi ni mkristo? Ili kukuelewesha kama mtoa mada alimaanisha nini hebu ona mfano huu pia. Familia ya mchungaji mlokole wanajitangaza kama wao wachamungu hakuna kati yao anayezini hivyo hakuna anayeweza kupata ukimwi. Lakini tuko duniani sio mbinguni mmoja wao anaukwaa ukimwi mchungauji kwa aibu anaficha maradhi. Ndivyo ilvyokua Iran kabla: Eti kwa kua wao wanaongozwa na uislaam hakuna ukimwi. Ni hivyo tu ndugu yangu hakuna ugomvi.
We sijaona zaidi ya kukwepa swali nililo uliza naona tunazidi kupoteza mda, nilicho uliza mtoa mada kaongelea uislam hauwezi kuzia ukimwi au uwongo?

Sasa na mimi nacho jibu uislam na ukimwi ni wapi na wapi, au huwa hamfahamu watu wakiuliza swali au kuongelea kitu flani, kama mnavyo tembea kwenye msitu wa Bibilia zenu hamjui mnaenda wapi.

Sa we ukinileta sijui story za familia ya mchungaji mlokole ndio nini, kwani ukristo ni dini ya Mungu, Ukristo si dini ya Paulo tu, wapi Prophet wa Mungu walisema ukristo ni dini ya Mungu kuanzia Prophet Adam mpaka Jesus kwenye Bibilia zenu za uwongo. Hao walakole wenu wote ni wazinfu wanafata mafunzo ya Paulo. Afu mlivyo kuwa wajinga mnasema Paulo ni mtume mnajua mana ya mtu kuitwa Mtume, au mnaenda tu kama walevi wanapepesuka hawajui wanaenda wapi.

Afu unajidai eti si mkristo.
 
Allah (sw) anaonya katika Quran kuwa: wala usiikaribie zinaa, kwa hakika huo. (uzinifu) ni uchafu na ni njia mbaya kabisa (17:32).
 
hawa makafiri ndo walivyo, chuki yao dhidi ya uislam hatoweza kuificha kamwe.

Kuna mada hapa inazungumzia vatikan walivyo halalisha ushoga, usagaji na kuua vitoto vichanga vingali tumboni, hakuna anae thubutu hata kuchangia.

Lakini wakiona mambo ya waislam roho haziwatulii.
Wakosaji siku zote ndio walivyo hata Bible zao zinakiri wazi kabisa kama sisi ndio tulio barikiwa na Mungu.

Mungu azidi kutubariki waislam wote, semeni Amiiiiiiin.

God now informs Abraham that his covenant shall be given through circumcision, so Abraham immediately circumcises himself and Ishmael, the father of the Arabs (Genesis 17:23), thus establishing God's covenant with Ishmael.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom