KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 255
hivi kwa nn watu weusi tunajidharau sana na tunapenda kusifia vitu wenzetu? Ulivyoanza naona unazisifia USA na Israel ndiyo wana technology kubwa lakini black people we need to change tumezidi kushadadia yasiyo tuhusuAcha Uongo Mkuu hizo habari nadhani umepata Msikitini tu hakuan Shaka kwa Hilo na wewe utakuwa ni Msunni tu... Iran Anataka kununua Ndege 500 za Abiria na kati ya ndege hizo nyingi zitakuwa za Kimarekani kwa kampuni ya Boeing nadhani huelewi why Boeing ni kampuni gani ni ndege imara haziwezi fananishwa na kampuni yeyote ile Duniani Airbus ni Nyanya na pia Boeing zipo safe na full of technology ya Mmarekani na Muisrael Ndege za Boeing za abiria zinakwepa hadi makombora thanks to Israel Technology Airbus pia zinatechnology za Israel pia Iran ana urafiki na Russia lakini hawazii ndege zao kwani zimepoteza maisha ya Raia wengi wa Iran kwa Ajari na pia Iran Ndege zilizo kwenye List ya Iran ni kutoka Canada na Brazil na lengo kuu la Iran wanataka kuwa na Tech yao wenyewe Ila Ndege ni Shidaaaaa kutengeneza ghafla ghafla wana long time plan.
Marekani hakomoleki utatapa tapa tu mwisho maji yakikuishia utaomba tu.... Sasa Iran aseme amchunie Mmarekani hawezi kwani amejaribu kwa muda mrefu na alichokuwa anafanya anatumia third party country na wezi wa kimataifa kuwa na bidhaa zote za kimarekani na kuzipa majina yake tu yaani ni vituko so wameona ni ujinga bora wafanye biashara wazi wazi... kwani kila kitu watapata from Marekani na Israel japo kwa kisiri na Israel kama ilivyokuwa Desturi yao...