Iran kununua ndege 114 za Airbus

Iran kununua ndege 114 za Airbus

114 kwa elimu ya Tawasul ni sawasawa na idadi ya Sura ndani ya Al-karim.
 
Mkuu vipi? Hivi hujui kwamba ndege zinazohundwa na Ushirika wa Mataifa ya Ulaya i.e Airbus ziko technically advanced kuliko ndege za Boeing save Dreamliner!!

Si hilo tu hata linapokuja saula la mauzo ya idadi ya ndege za abiria Airbus na Boeing mauzo yao yana run almost neck to neck - actually kuna miaka fulani Airbus ilifanikiwa kuhuza ndege nyingi Duniani kuliko Boeing.

Kitu kingine sio kweli kusema ndege zote za Boeing zinawekewa mitambo ya kujikinga dhidi ya makombola - ni ndege za Marais ndio zinakuwa retrofitted na mitambo hiyo kwa kuombwa na Serikali husika, ni Israel tu ambayo ndege zake zote za abiria zimewekewa mitambo kama hiyo.

Nimeona unamsema mwenzako kwamba taarifa zake labda amezitoa msikitini! Cha ajabu tukipitia thread yako imekaa kaa kama a US Govt handout kwako the World is America!!
Watu wengine wapuuzi kweli hivi hata hawajui how big is Airbus! On successful oversize commercial passenger/cargo aircraft Boeing hampati Airbus! BTW hata jet engine technology ilitoka Europe UK ikauzwa kwa US kipindi cha World War II in exchange of support of the US to the UK against Germany.

2f6c00badb4bb4acca5901172e701c5e.png

Blue Airbus orders
Pale Blue Airbus deliveries
Red Boeing orders
Pale Red Boeing deliveries
Annual net orders and aircraft deliveries by Airbus and Boeing Commercial Airplanes, respectively, since 1991.
 
Hizo silaha inazojilimbikizia iran itakuja kuzitumia kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hili liwekeni kwenye akili zenu. Tuliona kwa libya,syria nayo ikinunua silaha kali ikitaka kuzitumia dhidi ya israel na sasa inazitumia dhidi ya wananchi wake wenyewe. Hii iran ndo ilisaidiwa na marekani saddam asiibaize vibaya katika vita vya ghuba. Wengine pengine hawafaham kutokana na udogo wa umri wao.Iran itaendelea kununua silaha ambazo Kuna siku itazitumia dhidi yao wenyewe.

we
Vita ya ghuba marekani walikua wanaikomboa Kuwait au na wewe ulikua bado unanyonya mkuu?
 
Hizo silaha inazojilimbikizia iran itakuja kuzitumia kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hili liwekeni kwenye akili zenu. Tuliona kwa libya,syria nayo ikinunua silaha kali ikitaka kuzitumia dhidi ya israel na sasa inazitumia dhidi ya wananchi wake wenyewe. Hii iran ndo ilisaidiwa na marekani saddam asiibaize vibaya katika vita vya ghuba. Wengine pengine hawafaham kutokana na udogo wa umri wao.Iran itaendelea kununua silaha ambazo Kuna siku itazitumia dhidi yao wenyewe.
Duh! We jamaa una vituko! Habari inasema Airbus wewe umekomaa na silaha za kivita! By the way, hiyo historia ya US kuisaidia Iran kwenye vita vya Ghuba dhidi ya Iraq umeisomea wapi? Vita vya Ghuba gani ambazo Iran ilipigana? Hivi una habari vita ambavyo Iran na Iraq walipigana ni ile ya 1980-1988? Hivi una habari 1980 ilikuwa ni mwaka mmoja tangu kutokea Mapinduzi ya Iran ambayo yalimuondoa Mfalme Shah ambae alikuwa kibaraka kindakindaki wa US na huo ndio kuwa mwanzo wa uhasama kati ya Iran na US na tangu hapo hawakuwahi kuongea lugha moja hadi alipoingia miaka 2.5 iliyopita?

FYI, pamoja na umri mkubwa ulionao lakini bado historia unayoifahamu imejaa sumu! Hata kwenye Vita vya Iran - Iraq vya 1980-1988 (sio vya Ghuba) Marekani walikuwa wanam-support Sadam Hussein wa Iraq na sio Iran!! Marekani walipoivamia Iraq 2003; US walitarajia bifu la Iran na Iraq lingewafanya Iran wairuhusu US kutumia anga yake (ya Iran) kuishambulia Iraq lakini Iran wakawatolea nje US! Hii nayo inaonesha Iran haijapata kuwa na uhusiano wa aina hiyo na US tangu kuondolewa kwa Mohamed Shah 1979.
 
View attachment 319881
Marekani haikwepeki
Acha Ujinga Boeing Haikwepeki... fuatilieni habari vizuri msiwe na akili kama za kunguru akisikia sauti tu anakimbia... Iran ndege anazotaka nyingi ni aina ya Boeing deal bado hajakubaliwa tayari ndio kaanza na hizo kwa shingo upande tu lakini Boeing ndio ndege zake Safe na ndio zilizompa rank ya kuwa na Ndege Salama kabla ya Ban... Iran wanamuamini Mmarekani tu kwa Vifaa na ndio anamuiga sana kasomesha watu wake marekani
Duh! We jamaa kila post yako ninayoiona umeng'ang'ania kwamba Boeing haikwepeki-- sijui amekudanganya wakati lots of major airlines siku hizi zinanunua Airbus! Sasa ikatae na taarifa ya Airbus ambayo wameitoa saa chache tu zilizopita:

Agreements for 118 new aircraft, pilot training, airport operations and ATM support

28 JANUARY 2016 PRESS RELEASE

Source: AIRBUS

Iran officials have signed two agreements with Airbus covering new aircraft orders and a comprehensive civil aviation co-operation package. The agreements were signed at the Élysée Palace, Paris, during Iranian President Hassan Rouhani’s official visit to France with French President François Hollande.

Iran Air has signed an agreement with Airbus for the acquisition of the full range of new Airbus airliners (73 widebodies and 45 single aisle). This includes pilot and maintenance training and support services to help the entry into service and efficient operations of these new aircraft.

In parallel the Minister of Roads and Urban Development, Dr. Abbas Ahmad Akhoundi, has signed a comprehensive co-operation agreement as part of the country’s modernisation of its civil aviation sector, to support the development of air navigation services (ATM), airport and aircraft operations, regulatory harmonization, technical and academic training, maintenance, repair and industrial cooperation.

These two agreements took place as part of the implementation of the JCPOA (Joint Comprehensive Plan Of Action) on January 16th 2016, and its associated rules and guidance.

The agreement for 118 new aircraft signed by Mr Farhad Parvaresh, Iran Air Chairman and CEO, includes 21 A320ceo family, 24 A320neo family, 27 A330ceo family, 18 A330neo (-900), 16 A350-1000 and 12 A380.

Airbus.jpg

"Today’s announcement is the start of re-establishing our civil aviation sector into the envy of the region and along with partners like Airbus we’ll ensure the highest world standards,” said Mr Farhad Parvaresh, Iran Air Chairman and CEO.

“The skies have cleared for Iran’s flying public and Airbus is proud to welcome Iran’s commercial aviation back into the international civil aviation community. Today is a significant step in the overhaul and modernisation of Iran’s commercial aviation sector and Airbus stands ready to play its role in supporting it,” said Fabrice Brégier, Airbus President and CEO.

Airbus is the world’s leading aircraft manufacturer of passenger airliners, ranging in capacity from 100 to more than 500 seats. Airbus has design and manufacturing facilities in France, Germany, the UK, and Spain, and subsidiaries in the US, China, India, Japan and in the Middle East. In addition, it provides the highest standard of customer support and training through an expanding international network.
 
Record za Iran na vidhibiti huwa haaminiki na ni Mfadhili mkuu wa Ugaidi na elewa Mashia huwa ni watu wa Visasi wapo kama Wameru vile.. Mfano Nassar na Lem Arusha huko....

Iran ana makombora anawapa vikundi vya kigaidi je akiwa na nuclear si balaa hilo na Magaidi hawachagui sehemu iwe na mtoto au wazee uwe umefanya kosa au la ndio maana nchi zote jirani na za mbali zinapinga... pia ile kauli au kauli zake za kusema ataifuta kwenye ramani nchi ya Israel imechangia sana.. Ki ujumla Iran si Sawa kuwa na Silaha hizo..
Hebu toa mfano wa vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na Iran manake kila anayefuatilia masuala ya Mashariki ya Kati anafahamu kwamba Shiha ni wahanga wa Sunni extremists kwahiyo kusema eti Iran ni mfadhili mkuu wa ugaidi kupitia Washiha, basi ni hii ni intel ambayo wengi wetu tungependa kuifahamu unless kama unaongea lugha inayofanana na Israel pamoja na US ambao kwenye posts zako nyingi umejitahidi kuwaonesha kama ni exceptional fulani! Haya tujuze; brand ya ufadhili mkuu wa ugaidi wa Iran unatokana na kuiunga mkono Hamas? Kama ndivyo, am sorry kukuueleza kwamba Hamas ni Sunni! Ni US, Israel na wapambe wao ndio wanaichukulia Hamas terrorist group lakini kuna nchi nyingi duniani including za Ulaya ambazo kwao Hamas isn't a terrorist group coz' tangu kuanzishwa kwake, Hamas wamekuwa waki-deal na Israel tena ndani ya mipaka ya Israel/Palestine kwa sababu zilizo wazi kabisa!

Kama sio Hamas, ni kundi gani basi la kigaidi ambalo linafadhiliwa na Iran?! Au unazungumzia Hezbollah ambao nao kama ilivyo kwa Hamas, wanakuwa classified as terrorist group na US, Israel pamoja na washirika wao wakati kuna nchi kibao hawaioni Hezbollah as terrorist group including EU! Na hata mwanzo wa kuundwa Hezbollah ulitokana pale Israel ilipoivamia Lebanon na kuikalia kimabavu na ndipo Hezbollah ilipozaliwa na kuta-confront majeshi ya Israel!

Je, unaweza kutaja kutaja hivyo vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na Iran?
 
Hii itakua janja ya Iran kumgawa USA na France kimtazamo...kuhusu Sera ZA nuclear kimataifa. Hatoweza anyway...
 
Boeing wanauza zaidi ya Airbus worldwide.. Na Boeing. Ndio ndege bora
Last year china ilienda kununua ndege zA boing kama 200.
 
Mimi nilibaki mdomo wazi nilipoona Gari ya Rais wa Iran ni kutoka Marekani,yaani jamaa wanapiga mdomo lakini hapo hapo wanatumia bidhaa za Marekani.
Nchi zinategemeana sio kwamba kila kitu lazima kitoke Marekani, pia hata hap America wana demand zao kwa Iran moja ni oil ukija Russia gas kwa European countries
 
... Airbus ni Nyanya na pia Boeing zipo safe na full of technology ya Mmarekani na Muisrael Ndege za Boeing za abiria zinakwepa hadi makombora thanks to Israel Technology ......
Acha kudanganya ... data zinakuumbua. Kwanza, ile MH 17 (Boeing 777) kule Ukraine ilishindwaje kukwepa kombora? Halafu iweje Airbus ni nyanya & unsafe wakati ndege za Boeing ndizo zinaongoza kwa ajali (jumla ya ajali 223 dhidi ya 76 za Airbus)?
 
ngoja nikupe darasa kidogo. gulf war hii ya iran na iraq ilikuwa mwaka 1980 mpaka 1989 na ni iraq waliivamia iran kutokana na mzozo wa mipaka na hii vita ilichukua miaka kama nane tisa hivi mpaka kuisha. sasa ukitaka zaidi habari hizi naweza kufungua uzi kukupatia mana najua wewe ulifikiria ile vita moja tu ya ghuba ya saddam kuivamia kuwait. saddam alishwah wagonga sana wairaq na kuwa ua kwa weapon of mass destruction miaka hiyo akitaka kuchukua sehemu zairag enzi za hayatolla khomein. una swali lingine ndugu yangu? kwa habri ya vita niulize tu maana nina historia nzima ya vita vyote ulivyowah sikia duniani. sasa turudi kwenye masuala ya iran kununua ndege . kuna mdau mmoja kaelezea vizuri sana na nimempa credit zake. ulimwengu wa kiarabu hauwezi kuishi pasipo ulimwengu wa kizungu. hiyo piga ua. waarabu hawana akili sana ukilinganisha na wazungu. wazungu wana akili sisi na waarabu tunapishana kidogo tu tofaut yetu ni kuwa sisi weusi wao wana kauwepo kiasi. labda na ukatili pia ni wakatili sana. na pia iran walipata dhana kuwa iraq wanasaidiwa na marekani katika hivyo vita ingawa haikuwa hivyo. so si kuwa iran ilisaidiwa na usa kwa hapo nliandikwa vibaya.

Mkuu tusaidie ,Iran ilisaidiwa na Marekani katika vita vya Ghuba,unajua vita ya ghuba ilikua kati ya nchi gani na nchi gani?
vi
 
Boeing wanauza zaidi ya Airbus worldwide.. Na Boeing. Ndio ndege bora
Last year china ilienda kununua ndege zA boing kama 200.
wanalingana na Airbus muwe mna-back up claims zenu na si kuongea kishabiki! BTW dreamliner 787-8 nyingi zilirudishwa kiwandani kufanyiwa marekebisho umeme! Sasa huo ubora unaoongelea ni upi?

FAA finds Boeing Dreamliner could lose all power, issues maintenance mandate
By Greg Botelho, CNN

Updated 1159 GMT (1859 HKT) May 5, 2015

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
Logistical challenge – Once the fix was approved by the FAA, Boeing began to prepare then ship the battery containment kit for shipping to its 787 customers. "The parts easily go into a lower cargo hold but the tools and logistics to do the work probably are more suitable for a freighter," managing director of AOG James Testin says. "The equipment weighs close to 28,000 to 30,000 lbs (12.7 to 13.6 tons)."
Hide Caption
4 of 7

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
Boeing's Dreamliner battery fix – A battery compartment vent on the belly of a United Airlines Dreamliner 787.
Hide Caption
5 of 7

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
Implementation – A Boeing technician checks an ANA Dreamliner after a test flight. Implementing the battery fix worldwide involved 10 teams and around 300 people, Boeing says.
Hide Caption
6 of 7

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
Return to service – This Ethiopian Airlines Dreamliner was the first to resume commercial services on April 27, 2013, after the global grounding of the 787.
Hide Caption
7 of 7
130506115505-dreamliner-fix-1-horizontal-large-gallery.jpg

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
The battery fix – A January 2013 battery fire prompted the worldwide grounding of all Boeing 787 Dreamliners -- one of the most advanced, sophisticated airliners in the sky. Members of Boeing's Aircraft On Ground (AOG) team display components of the new Dreamliner battery system after an ANA 787 test flight. To implement the fix, Boeing moved a small army of technicians to 13 international locations. Click through the photos to see how Boeing re-engineered the battery to make it safer.
Hide Caption
1 of 7

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
Testing at HQ – Before Boeing could implement the battery fix for Dreamliner customers, it constructed mockups and carried out tests on aircraft at headquarters. Here, 787 flight line mechanic Steve Foster slots a new battery containment box into position in a 787 electronic equipment bay.
Hide Caption
2 of 7

7 photos: Boeing's Dreamliner battery fix
Certification – The battery is secured inside its stainless steel containment box in the bay. The modification was performed on an airplane in Everett, Washington, as part of the certification process.
Hide Caption
3 of 7

(CNN)The headaches for Boeing over its 787 Dreamlinercontinue.

The Federal Aviation Administration on Friday issued a directive mandating "a repetitive maintenance task" for that model of airliner due to issues with its power supply. Specifically, the FAA explained testing revealed that 787s could lose all AC electrical power after being continuously powered for 248 days, a problem that, if left unchecked, would leave an aircrew unable to control the plane.

The order took effect immediately, with the federal agency finding that there's no good reason to delay the decision.

"The FAA has found that the risk to the flying public justifies waiving notice and comment," the agency said.

The maintenance mandate was characterized as temporary, until software is developed to resolve the problem.

A Boeing spokesman said its customers learned about this issue and what they need to do to fix it about two weeks before the FAA's announcement. In fact, "all operators have already completed the off-cycle on fix," said spokesman Doug Alder Jr.

"All of the airlines have completed the steps they need to take at the moment," Alder added, "and they have a go-forward plan."

This marks the latest setback for Boeing over its 787, which debuted in 2011 in Asia and a year later in the United States amid much fanfare. The American manufacturer has boasted that the Dreamlinerwould save airlines money on fuel because its body consists of lightweight composite materials. Besides its larger size, the new aircraft also featured passenger comforts such as bigger windows, larger overhead bins and better ventilation.

Yet the Dreamliner's development was marred by production delays and other problems. And there were more issues once the fleet rolled out, including two instances of overheating batteries on a Japan Airlines plane in Boston and an All Nippon Airways jet in Japan.

Dreamliner returns to the sky – Lithium-ion batteries that overheated on two Dreamliners in January prompted authorities to ground all 50 of the 787s worldwide, but a redesigned battery system has cleared the way for the plane's return.
Hide Caption

130520103021-08-drealiner-0520-horizontal-large-gallery.jpg

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – No longer grounded for safety concerns, United Flight 1 flew from Houston's George Bush Intercontinental Airport to Chicago's O'Hare International Airport on May 20, 2013.
Hide Caption
1 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – A passenger on United Airlines Flight 1 looks out one of the Dreamliner's oversized windows. The use of composite materials to build the airplane made larger window cutouts possible.
Hide Caption
2 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – A United Airlines 787 Dreamliner sits on the runway in Houston on Monday as crews prepare for its first commercial flight since the fleet was grounded earlier this year. The Boeing 787 was the first entire airline model to be grounded by the Federal Aviation Administration in more than 30 years.
Hide Caption
3 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – Michael Reynolds of St. Louis, Missouri, reclines during the flight to Chicago.
Hide Caption
4 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – The Dreamliner has larger overhead bins than similar airliners.
Hide Caption
5 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – The aircraft's lightweight design allows it to fly long distances more efficiently.
Hide Caption
6 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – Alex Gilbert and Rebecca Davila watch a film during a flight on a Boeing 787Dreamliner.
Hide Caption
7 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – Lithium-ion batteries that overheated on two Dreamliners in January prompted authorities to ground all 50 of the 787s worldwide, but a redesigned battery system has cleared the way for the plane's return.
Hide Caption
8 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – A United Airlines maintenance worker examines a hydraulic line.
Hide Caption
9 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – The plane is designed to be lightweight so that it can fly farther with the same amount of fuel as heavier airliners. It can carry 200-plus passengers a third of the way around the globe.
Hide Caption
10 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – Composite materials have replaced aluminum as the predominant material in the 787. The 777 is made up of 50% aluminum and 12% composites, compared with the Dreamliner's nearly 50% makeup of composites and just 20% aluminum.
Hide Caption
11 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – United Airlines Capts. Neils Olufsen and Bill Blocker piloted the Dreamliner's domestic return to flight on Monday.
Hide Caption
12 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – United Airlines maintenance workers prepare the plane for flight.
Hide Caption
13 of 14

14 photos: Dreamliner returns to the sky
Dreamliner returns to the sky – Boeing's Dreamliner design reflects the airlines' demand for efficiency. That desire has triggered a trend toward fuel-sipping, lightweight, long-range airliners.
Hide Caption
14 of 14
130520103021-08-drealiner-0520-horizontal-large-gallery.jpg

Those cases prompted the grounding of Boeing's global 787 fleet, with the FAA announcing in January 2013 that "before further flight, operators ... must demonstrate ... that the batteries are safe and in compliance."

By April of that year, the FAA cleared Boeing to make fixes to its battery system, paving the way for the aircraft to resume flying.

Still, problems persisted. This includes reports in January 2014 of smoke on a Dreamliner at Tokyo's Narita International Airport -- an incident Boeing said then "appears to have involved the venting of a single battery cell."

The National Transportation Safety Board issued a report 11 months later blaming the battery problem on the overheating from an electrical short circuit that may have been caused by manufacturing defects and allegedly unsatisfactory oversight of the manufacturing process by both the FAA and Boeing.

6 photos: 2013 Dreamliner fire
The Japanese incident – Tokyo's Haneda airport on January 16, 2013 after an ANA Dreamliner made an emergency landing. Smoke had been reported in the cockpit, which later turned out to be from an overheated battery. The Japanese incident and the Boston fire prompted a worldwide grounding of the entire Dreamliner fleet -- which numbered 50 aircraft at the time.
Hide Caption
4 of 6

6 photos: 2013 Dreamliner fire
Back in the sky – Workers inspect the cockpit of a United Airlines Boeing 787 Dreamliner at Chicago's O'Hare International Airport on May 20, 2013, after it arrived from Houston. It was the first domestic U.S. passenger flight for the Boeing Dreamliner since it was grounded for electrical problems in January.
Hide Caption
5 of 6
141210104234-787-9-dreamliner-new-zealand-horizontal-large-gallery.jpg

6 photos: 2013 Dreamliner fire
Next generation – A next-generation Air New Zealand 787-9 Dreamliner sits in its stall at the Boeing Delivery Center, July 9, 2014 in Everett, Washington. It was the first delivery of the long-haul version of the 787. The aircraft features a fuselage 20 feet longer than the 787-8.
Hide Caption
6 of 6
130108090016-787-dreamliner-fire-horizontal-large-gallery.jpg

6 photos: 2013 Dreamliner fire
2013 Boston Dreamliner fire – A fire aboard an empty Japan Airlines 787 Dreamliner prompted a response by firefighters at Boston Logan International Airport on January 7, 2013.
Hide Caption
1 of 6

6 photos: 2013 Dreamliner fire
2013 Boston Dreamliner fire – This is the lithium-ion battery that was involved in a fire aboard the Japan Airlines Boeing 787 in Boston.
Hide Caption
2 of 6

6 photos: 2013 Dreamliner fire
2013 Dreamliner fire – NTSB investigators examine battery parts from the damaged Japan Airlines 787.
Hide Caption
3 of 6

FAA: Dreamliner battery could lose all power - CNN.com
 
Iran to buy 118 Airbus aircraft worth $25 billion
January 29, 2016 - 12:00:00 am
Iran_European%20planes_Airbus(1).jpg

Paris: Iran agreed Wednesday to buy 118 Airbus aircraft worth about $25 billion (22 billion euros), according to a memorandum of understanding signed during a visit to France by Iranian President Hassan Rouhani.

The deal to purchase the medium- and long-haul planes, to be finalised once international sanctions against Iran are fully lifted, was announced at a ceremony attended by Rouhani and French President Francois Hollande.

AFP

Iran to buy 118 Airbus aircraft worth $25 billion
 
Hahahaaa Mkuu hako ka terminology ka kufilp kamenikumbusha chuo (flip flop) lecture akasema unageuza kichwa chini miguu juu.
Lecture au lecturer,we utakua ulikua unameza tu madensa.,unamalizaje chuo bila kujua tofauti ya lecture na lecturer,sitaki hata kujua umesoma chuo gani,jirekebishe basi kwa kupiga hata English course itakusaidia maana inaonekana LG haijafua dafu kwako.
 
Acha kudanganya ... data zinakuumbua. Kwanza, ile MH 17 (Boeing 777) kule Ukraine ilishindwaje kukwepa kombora? Halafu iweje Airbus ni nyanya & unsafe wakati ndege za Boeing ndizo zinaongoza kwa ajali (jumla ya ajali 223 dhidi ya 76 za Airbus)?
Acha Undezi kama ukiwa mtu mwerevu utaishi vizuri na watu ila ukiwa mjinga mjinga basi ndio nitolee tena na umri unaenda utaitwa Kubwa Jinga... Sasa kama wasoma vizuri nimekuambia New Tech za waisrael zinafungwa kwenye Ndege za Boeing na niliandika ukiwa mteja wa Boeing anakuhudumia hadi mwisho wako so hayo mambo ya upgaded unafahamishwa kila yanapogunduliwa na hata ukiwa mbahili utalimika tu for your safe and kuprotect jina la Company... wabishi wapo ndio kama hao wanaosabababisha ajali zisizo na ulazima... Tanzania yenyewe ilishindwa ikafa kibudu... na kitakwimu huwezi kufananisha umri wa Boeing an Airbus.. Ni Sawa kumpambanisha Mike Tyson na Rashid Matumla
 
nonesense
 
Hebu toa mfano wa vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na Iran manake kila anayefuatilia masuala ya Mashariki ya Kati anafahamu kwamba Shiha ni wahanga wa Sunni extremists kwahiyo kusema eti Iran ni mfadhili mkuu wa ugaidi kupitia Washiha, basi ni hii ni intel ambayo wengi wetu tungependa kuifahamu unless kama unaongea lugha inayofanana na Israel pamoja na US ambao kwenye posts zako nyingi umejitahidi kuwaonesha kama ni exceptional fulani! Haya tujuze; brand ya ufadhili mkuu wa ugaidi wa Iran unatokana na kuiunga mkono Hamas? Kama ndivyo, am sorry kukuueleza kwamba Hamas ni Sunni! Ni US, Israel na wapambe wao ndio wanaichukulia Hamas terrorist group lakini kuna nchi nyingi duniani including za Ulaya ambazo kwao Hamas isn't a terrorist group coz' tangu kuanzishwa kwake, Hamas wamekuwa waki-deal na Israel tena ndani ya mipaka ya Israel/Palestine kwa sababu zilizo wazi kabisa!

Kama sio Hamas, ni kundi gani basi la kigaidi ambalo linafadhiliwa na Iran?! Au unazungumzia Hezbollah ambao nao kama ilivyo kwa Hamas, wanakuwa classified as terrorist group na US, Israel pamoja na washirika wao wakati kuna nchi kibao hawaioni Hezbollah as terrorist group including EU! Na hata mwanzo wa kuundwa Hezbollah ulitokana pale Israel ilipoivamia Lebanon na kuikalia kimabavu na ndipo Hezbollah ilipozaliwa na kuta-confront majeshi ya Israel!

Je, unaweza kutaja kutaja hivyo vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na Iran?
Sasa serikali yenyewe ya Iran kuingia hapo MAdarakani kilikuwa ni kikundi cha Kigaidi and then kikawa militia au huelewi lolote kuhusu Iran? Iran ya sasa madaraka imepata kimapinduzi... Sio Hezbollar na Hamas tu inafadhiliwa na Iran vipo vikundi vidogo vidogo vingi sana na usiseme hukiamini anachosema Marekani na Israel ati ni uongo sababu huzipendi hizo nchi... Hao Hamas unaowaona ni Sunni wanafadhiliwa zaidi na Iran kuliko Qatar hata baadhi ya viongozi wanaishi Iran...Wakati Mwingine mumwe mnabisha vitu ambavyo mna uhakika navyo kabisa na sio kuleta malumbano yasiyo na Mashiko... Iran wenyewe wameaapa kuwa watashirikiana kwa kuwapa misaada ya aina yote Hebzollar na Hamas wewe unasema ni Propaganda za Marekani...

Iran Ashatuma magaidi Huko Argentina wakalipua na sehemu nyingi tu Mbona..

Nyerere alisaidia vikundi vingi vya kigaidi huku vikiitwa vya wapigania uhuru wanajipoza...
 
Sasa serikali yenyewe ya Iran kuingia hapo MAdarakani kilikuwa ni kikundi cha Kigaidi and then kikawa militia au huelewi lolote kuhusu Iran?
Yaani we jamaa sijui kama huwa unafanya utafiti kabla ya kuandika! Kikundi gani ambacho kilifanya hayo mapinduzi ya kigaidi? Nimeonelea nikuwekee source ya wale ambao unawaamini:
Iran's revolution began with a popular democracy movement and ended with the establishment of the world's first Islamic state. The revolution turned Iranian society upside down and became one of the defining moments of the 20th Century.

Before the revolution Iran was ruled by Shah Reza Pahlavi. Power was clustered among a close network of the Shah's relations and friends.

During the 1970s the gap between Iran's rich and poor grew. Distrust of the Shah's economic policy and resentment of his autocratic style fuelled dissent against his regime. Opposition voices rallied round Ayatollah Ruhollah Khomeini, a shia cleric living in exile in Paris. Promising social and economic reform, the ayatollah prescribed a return to traditional religious values, which struck a chord with many Iranians.Gathering storm. As the 1970s drew to a close, a series of large-scale, increasingly violent anti-Shah protests swept Iran. From BBC
Wengine hawa hapa
In January 1978, incensed by what they considered to be slanderous remarks made against Khomeini in Eṭṭelāʿāt, a Tehrān newspaper, thousands of young madrassa (religious school) students took to the streets. They were followed by thousands more Iranian youth—mostly unemployed recent immigrants from the countryside—who began protesting the regime’s excesses. The shah, weakened by cancer and stunned by the sudden outpouring of hostility against him, vacillated between concession and repression, assuming the protests to be part of an international conspiracy against him. Many people were killed by government forces in anti-regime protests, serving only to fuel the violence in a Shīʿite country where martyrdom played a fundamental role in religious expression. From Britannica
Kama hao jamaa waliofanya mapinduzi walikuwa ni magaidi basi ni magaidi wazuri manake kiongozi wa nchi huwezi kuifanya nchi kama ya familia yenu kama alivyokuwa anafanya Mohammed Shah! Lakini ili usije ukaongea vitu usivyovijua mbele za watu, yapasa ufahamu tu kwamba Mohamed Shah aliondolewa kwa nguvu ya umma kama ambavyo aliondolewa Hosni Mubarak au yule Rais wa Tunisia!
Iran ya sasa madaraka imepata kimapinduzi...
Ndiyo; kwani kuna tatizo katika hilo? Duniani popote penye utawala dhalimu mapinduzi yanaruhusiwa! Hata Laurent Kabila alipompindua Mabotu Sessekou aliungwa mkono duniani manake alipindua utawala dhalimu! Hata Zanzibar ilipopindua utawala wa Kisultani Zanzibar aliungwa mkono-- unataka kuniambia Zanzibar nayo ni serikali ya kigaidi?! Nakukumbusha manake usije ukaongea mbele za watu: Mohammed Shah aliondolewa kwa maandamano ya wananchi! Sasa ikiwa magaidi huwa wanafanya maandamano, basi maelezo yako yana hadhi ya kuwamo kwenye Guinness Book of Records 2016.
Sio Hezbollar na Hamas tu inafadhiliwa na Iran vipo vikundi vidogo vidogo vingi sana na usiseme hukiamini anachosema Marekani na Israel ati ni uongo sababu huzipendi hizo nchi...
Mawazo ya hovyo kabisa haya! Kwahiyo unapoambiwa sio kweli kwamba Iran wanataka kununua Boeing na badala yake wanataka kununua Airbus kwako wewe unaona watu hawaipendi Marekani? Kwahiyo kuipenda nchi ni uongee uongo wa kui-favor? Inaelekea wewe huongei kwa kuangalia facts bali kwa kusukumwa na mahaba na ndio maana unafikia kuukataa hata ukweli wa dhahili! By the way, ina maana wote wasioichukulia Hezbollah na Hamas kama vikundi vya kigaidi nao hawaipendi Israel ingawaje wao wana tie kubwa na US na Israel kuliko wewe Mmatumbi mwenzangu? Serikali ya Uingereza walikuwa wanaichukulia Hezbollah kama military wing; hawa hapa:
Hizballah Military Wing – Hizballah’s External Security Organisation was proscribed March
2001and in 2008 the proscription was extended to Hizballah’s Military apparatus including the
Jihad Council.
Hizballah is committed to armed resistance to the state of Israel, and aims to seize all
Palestinian territories and Jerusalem from Israel. From UK Government Website
Je, unataka kusema UK hawaipendi US na Israel? Zipo nchi kadhaa ambazo hivi sasa wanaichukulia Hezbollah kama terrorist group; and why? Reuters hawa hapa:
Until now, many EU capitals had resisted lobbying from Washington and Israel to blacklist the group, warning such a move could fuel instability in Lebanon and in the Middle East.

Hezbollah, which functions as a political party that is part of the Lebanese government and as a militia with thousands of guerrillas under arms, rejected the EU's "aggressive and unjust decision which is not based on any proof or evidence"REUTERS.
]
The question is: WHY LOBBYING? Do you need to lobby kuwaambia watu kwamba ISIS, Al Qaeda, Boko Haram, Al Shabab ni terrorist groups? Why lobbing for Hezbollah and/or Hamas?! The answer is simple: Kwa sababu hata wenyewe wana mitazamo tofauti! Na kashikashi hizi za kuitaka EU wai-blacklist Hezbollah zimekuja mwaka 2013; takribani miaka 28 tangu kanzishwa kwa Hezbollah mwaka 1985! Miaka yote walikuwa wapi? The answer is simple-- Bashir Asad amewagomea na wanafahamu kwamba Bashir Asad na Hezbollah ni washirika!
]
Hao Hamas unaowaona ni Sunni wanafadhiliwa zaidi na Iran kuliko Qatar hata baadhi ya viongozi wanaishi Iran...Wakati Mwingine mumwe mnabisha vitu ambavyo mna uhakika navyo kabisa na sio kuleta malumbano yasiyo na Mashiko... Iran wenyewe wameaapa kuwa watashirikiana kwa kuwapa misaada ya aina yote Hebzollar na Hamas wewe unasema ni Propaganda za Marekani...
Hee! We jamaa vipi? Hiki ndicho ulisema:
Record za Iran na vidhibiti huwa haaminiki na ni Mfadhili mkuu wa Ugaidi na elewa Mashia huwa ni watu wa Visasi wapo kama Wameru vile.. Mfano Nassar na Lem Arusha huko....
Nikakuhoji:
Haya tujuze; brand ya ufadhili mkuu wa ugaidi wa Iran unatokana na kuiunga mkono Hamas? Kama ndivyo, am sorry kukuueleza kwamba Hamas ni Sunni!
Kwanza hakuna nilipoitaja Qatar, sasa unadhani hiyo hoja yako kusema eti Iran ndo inaifadhili sana Hamas kuliko Qatar hapo ni mahala pake? Nimekutajia Hamas coz' ulisema Iran anafadhili vikundi vya kigaidi na kwamba Shiha ni watu wa visasi ndipo nami nikakueleza, mosi, Shiha ni wahanga wa Sunni.... mashambulizi mengi ya kigaidi ni ya Wasunni dhidi ya Washiha! Aidha nikakujuza kama issue ni Iran kufadhili vikundi vya wenye visasi ambao ni Shiha; nikakuambia Hamas sio Shiha bali ni Sunni! Sasa ni nani hapo asiye na uhakika na anachongea kati yangu na wewe? Unanitajia tena suala la Hamas na Hezbollah wakati mimi ndo nimelileta baada ya wewe kama kawaida yako hata ukiambiwa:
Je, unaweza kutaja kutaja hivyo vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na Iran?
Unaishia kusema:
Sio Hezbollar na Hamas tu inafadhiliwa na Iran vipo vikundi vidogo vidogo vingi
Hivyo vikundi havina majina? And you know what? Kumbe nilikuwa napoteza muda manake hoja yako hii nilikuwa sijaona kwamba
Nyerere alisaidia vikundi vingi vya kigaidi huku vikiitwa vya wapigania uhuru wanajipoza...
Ikiwa hadi leo unashindwa kutofautisha kati ya Freedom Fighters na Terrorist Groups then you've a long way to go! And probably according to you, the worst terrorists ever happened in African History is Nelson Mandela and Mwalimu Nyerere!!
 
Waziri wa uchukuzi nchini Iran anasema kuwa nchi hiyo itatia sahihi kandarasi ya kununia ndege 114 aina ya Airbus.

Abbas Akhundi alinukuliwa na vyombo vya habari nchini Iran akisema kuwa kandarasi hiyo itatiwa sahihi wakati rais Hassan Rouhani atafanya ziara nchini Ufaransa siku ya Jumatano.

Hii ni baada ya kuondolewa kwa vikwazo vya kimataifa kufuatia mpango wa nuklia wa Iran.

Chanzo: BBC
Pigo kubwa kwa kampuni za kimarekani kama Boeing.
Msimamo wa Marekani umeisbabisha kukosa tenda hiyo.
 
Back
Top Bottom