Iran kununua ndege 114 za Airbus

Iran kununua ndege 114 za Airbus

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Waziri wa uchukuzi nchini Iran anasema kuwa nchi hiyo itatia sahihi kandarasi ya kununia ndege 114 aina ya Airbus.

Abbas Akhundi alinukuliwa na vyombo vya habari nchini Iran akisema kuwa kandarasi hiyo itatiwa sahihi wakati rais Hassan Rouhani atafanya ziara nchini Ufaransa siku ya Jumatano.

Hii ni baada ya kuondolewa kwa vikwazo vya kimataifa kufuatia mpango wa nuklia wa Iran.

Chanzo: BBC
 
Nina mashaka na iran, inaweza kua imekubali masharti ya wakubwa ili kuzuga ili iondolewe vikwazo inunue vipuli na vyombo vipya vingine baada ya hapo iseme itatengeneza silaha za nyuklia kama kawaida.

Maana kwa sasa ndio nchi yenye fleets za ndege za kizamani sana na nzee kwa ajili ya vikwazo. Magaribi wameanza kua na mashaka baada ya iran kuondolewa vikwazo imeobgeza ushirikiano na china kuliko kawaida.
 
Katika dunia ya leo nchi kama Irani itakuwa Inafanya mambo kwa akili sana! Kwa kuwa kila inachifanya nchi zamangaribi zinamtupia hicho.....naona Iran inaelekea kuwa kama Korea Kaskazini
 
Wazungu wanajua kukaba aisee.

Iran ya ahmednejad ilivyo na msimamo na hii ya Hassan
 
hii itacjochea sana Iran kujiimarisha kijeshi hasa kwa nyuklia ila itakuwa mpango wa siri sana
 
Hizo silaha inazojilimbikizia iran itakuja kuzitumia kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hili liwekeni kwenye akili zenu. Tuliona kwa libya,syria nayo ikinunua silaha kali ikitaka kuzitumia dhidi ya israel na sasa inazitumia dhidi ya wananchi wake wenyewe. Hii iran ndo ilisaidiwa na marekani saddam asiibaize vibaya katika vita vya ghuba. Wengine pengine hawafaham kutokana na udogo wa umri wao.Iran itaendelea kununua silaha ambazo Kuna siku itazitumia dhidi yao wenyewe.

Mkuu tusaidie ,Iran ilisaidiwa na Marekani katika vita vya Ghuba,unajua vita ya ghuba ilikua kati ya nchi gani na nchi gani?
 
Hapa linaongelewa suala la Iran kununua ndege sio silaha acha kuflip mambo
 
Nina mashaka na iran, inaweza kua imekubali masharti ya wakubwa ili kuzuga ili iondolewe vikwazo inunue vipuli na vyombo vipya vingine baada ya hapo iseme itatengeneza silaha za nyuklia kama kawaida.

Maana kwa sasa ndio nchi yenye fleets za ndege za kizamani sana na nzee kwa ajili ya vikwazo. Magaribi wameanza kua na mashaka baada ya iran kuondolewa vikwazo imeobgeza ushirikiano na china kuliko kawaida.
Wewe utakua myahudi either by birth au naturalisation.
 
Kuna sms wanatuma US. Wameamua nao kuwawekea "vikwazo" baridi kwa kuachana na bidhaa zao including Boeing.
 
Habari Kama hizi zinatutia simanzi sana sisi watanzania tukiangalia ATC yetu.
 
Boeing hawawezi kuhiuzia Iran, kwa kuwa vikwazo vya biashara kutoka Marekani bado vipo.Mkurugenzi wa Boeing kasema kuizia Iran hizo ndege inaitaj process iitwayo WAIVER, maana yake kuiomba Marekani iruhusu kipengele kimojawapo cha vikwazo vya biashara kiondolewe,then wakishawauzia kirudishwe!. Iran imechoka kimitambo, ndege, na vipuri!, wanaitaji wazipate mpaka March, ata kwa kuiomba Marekani! Boeing hutengenezwa jiji la SEATTLE Marekani wakati Airbus utengenezwa Ulaya.
 
Mkuu tusaidie ,Iran ilisaidiwa na Marekani katika vita vya Ghuba,unajua vita ya ghuba ilikua kati ya nchi gani na nchi gani?
msamee huyo karopoka tu maana hata kichwa cha habari hajasoma ndege za kubebea abiria na vita wapi na wapi ila mkumbushe kuwa iran hanunui silaha ananunua ndege aina ya air bus 114 kutoka france na akimalizana na france anaingia usa ku order ndege zingine 100 aina ya boeing
 
Back
Top Bottom