Hapana hawa ma Administrator wa hi forum ni vichaa wao ndio wamebadilisha mada yangu. Yani nimeiona hii forum ni ya kitoto sana we unandika mambo mengine kabisa nawao wanabadilisha. Kama wanabisha nacho sema wachunguze nacho sema ni kweli au uwongo. Lazima yuko mmoja wao ni kichaa au wote ni vichaa.Mleta mada unaelewa kiingereza au umecopy na kupest sehemu?![]()
uongo punguza maana hata mfungo wako ni wakushindia njaa.ulichotaka kushabikia ujinga kuleta habari ya uongo wamekitafuta na kujua ni kipi,kila mtu hapa jf hakitaka kuzusha na kuruhusu tu kipost kama facebook au youtube.Hapana hawa ma Administrator wa hi forum ni vichaa wao ndio wamebadilisha mada yangu. Yani nimeiona hii forum ni ya kitoto sana we unandika mambo mengine kabisa nawao wanabadilisha. Kama wanabisha nacho sema wachunguze nacho sema ni kweli au uwongo. Lazima yuko mmoja wao ni kichaa au wote ni vichaa.
Huna akiliAisay naona thread yangu imebadilishwa imekuwa ya kizungu nani kaibadili?
Na video mmezifuta wacheni wafuasi wa Israel waone kipigo cha leo kitakatifu walicho pewa na Iran.
Wa Israel wanababaika hawajui waseme nini mara oh missile toka Syria mara oh sijui hivi na Iran anawacheka tu. Poleni
Hivi unajiona una akili timamu kweliHapana hawa ma Administrator wa hi forum ni vichaa wao ndio wamebadilisha mada yangu. Yani nimeiona hii forum ni ya kitoto sana we unandika mambo mengine kabisa nawao wanabadilisha. Kama wanabisha nacho sema wachunguze nacho sema ni kweli au uwongo. Lazima yuko mmoja wao ni kichaa au wote ni vichaa.




Kwa hio unakiri mlibadilisha maneno yangu sa simgeifuta tu thread kuliko kugeuza nilicho kisemauongo punguza maana hata mfungo wako ni wakushindia njaa.ulichotaka kushabikia ujinga kuleta habari ya uongo wamekitafuta na kujua ni kipi,kila mtu hapa jf hakitaka kuzusha na kuruhusu tu kipost kama facebook au youtube.
tutakuwa tunapoteza maana ya jf,ni mfatiliaji mzuri wa habari tena sio mambo ya wasanii,narudia acha kushadadia sijui imani yako sijui ni kipi mpaka ukaja kukurupuka
Inatosha wewe ndio una akili si ndio sababu unakesha humu😂Hivi unajiona una akili timamu kweli
Vita ya kunguru?A powerful explosion took place on Tuesday at a sensitive defense factory during a test in central Israel. There are so far no reports of casualties.
The explosion occurred during a 'routine test' by the Tomer factory for advanced weapons, which develops rocket engines, the Ofek satellite launchers and houses various types of missiles. Locals say they heard an explosion and saw a mushroom cloud, with some filming it.
Officials may have underestimated the collateral damage of the test, which led to the explosion.
In response to the blast, Tomer said "this was a controlled test with no exceptional circumstances."
Tomer's factory is located in central Israel, and in proximity to residential areas. The company manufactures missiles for use by the IDF and other Israeli defense systems. They are the manufacturers behind Israel's Arrow 4 missile interception system.
Senior defense officials are now investigating what went wrong, and whether guidelines were adhered to.
😅😅😅ulikua unadanganya ukiwa uchi, ili kukusiri na aibu imebidi wakuwekee kizungu ili usaidiwe tafsiriHapana hawa ma Administrator wa hi forum ni vichaa wao ndio wamebadilisha mada yangu. Yani nimeiona hii forum ni ya kitoto sana we unandika mambo mengine kabisa nawao wanabadilisha. Kama wanabisha nacho sema wachunguze nacho sema ni kweli au uwongo. Lazima yuko mmoja wao ni kichaa au wote ni vichaa.
Na itarudi kwa ndegeWapi wameandika "wameshambuliwa"???lugha imekuja na.meli hii
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
yaan heading na content ni mbalimbali
[/QU