Nyundo Kipozeo hizo ni sera za waarabu dhidi ya Israel ili kuwafanya watu wenye utindio wa ubongo kama wewe wawasaidie kueneza chuki hizo,mara nyingi sana nchi hizo zimekuwa ziki-laani nchi za ulaya na marekani wakisema kuwa ni za kishetani leo hii angalia kwenye TV utaona watu wengi sana kutoka maifa ya waarabu wanaangamia kwa maelfu kwenye maji ya bahari wakikimbilia nchi za ulaya na marekani mpaka sasa hivi ninapoandika waarabu wengi sana wamefia baharini katika harakati za kuingia ulaya ambako kwa wenye ugonjwa wa Utindio wa ubongo kama Nyundo Kipozeo wanawaita shetani.Haikuishia hapo leo hii nchi za kiarabu hakuna Amani Iraq Syria Libya Yemen Tunisia kote huko pamechimbika na watu wa nchi hizo wanatafuta hifadhi kwenye nchi ambazo kwao wanaziita kwa majina mabaya mabaya Nyundo Kipozeo unapouliza rafiki wa Israel harafu unajijibu mwenyewe kwa kutoa jibu inaonyesha wazi kuwa waarabu wamekulainisha sana kama ni mti basi umebakizwa KUKATWA tu.kuhusu kusaidiwa Bajeti hata sisi Tanzania kwenye Bajeti yetu tunasaidiwa kila mwaka sijui hapo utatuambia nini,wewe unamsahau Shetani anayewamaliza waarabu huko mashariki ya kati?????waarabu wanachinjana wao kwa wao miji yao imeachwa magofu hayo huwezi kuyaona maana wanauana waarabu kwa waarabu.Hivyo ni ndoto za mchana Kuifuta Israel katika ulimwengu huu na hata ujao,Hitler alibahatisha lakini kwa sasa hakuna atakaye weza pamoja na kubwabwaja kwenu kote.
Umeandika vyema kabisa mkuu na inaonesha wazi kuwa kichwani upo vizuri. Big up bro
Last edited by a moderator: