Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

Status
Not open for further replies.
Wew hute,Saddam Hussein alikosea aliporuhusu wachunguzi waje kumchunguza ila Iran wamekataa kuingiza wachunguzi nchini kwake kwahyo IRAN wamefaulu kwa hujuma hzo
Mtazeeka mtakufa hakuna chochote Israel itakuwepo pale pale. waarabu watadanganywa kiraisi watapigana wenyewe kwa wenyewe. Iran asubirie repablican washinde marekani utaona
 
Micheweni Pemba

Acha uongo wewe, Ahmed Najad ndio nani? Na hayo mabomu ni mabomu gani? Acheni stori za vijiwe vya kahawa. Hivi unafikiri Israel atakuwa amekaa tu wakati eti kuna makombora yameelekezwa kwake? Unawajua wale watu au unawasikia?

hhahaha hawa watu wanadhani Israel ni kama tanzania. Huko Iran kwenye wamejaza ma spy vibaya mmno unadhani kuna nchi inawezwa zingirwa na maadui na still wanamnyooshea vidole tu wajaribu waone.
 
Mi nasubiri niuone huo ufutio ili nimege hapo kidogo nimpelekee mwanangu atumie mpaka amalize chuo kikuu
 
Hamuijuwi iran vzur nyie weng wenu nenden mkasome hivi israel ana nin cha kumtisha mwiran?
 
Israel is there to stay and no one will destroy Israelites !

Harming Israel is like harming God, Israel is even given power from biblical words....

When it was time for Israel to move from slavery in Egypt...they just moved...Pharaoh couldn't stop them...

As well as Iran can not stop them....

Nakusaport mkuu...japo sipendi Israel wavamie hawa jamaa

Those so called biblical world's 80% of it came frm a Conman by the name of Paul.
He made up stories as he goes on.
He was a liar and a Deceiver!

The very same bible tells us that Israelis killed Jesus.
Those Zionist are no longer deserve to be called Jews.
They will perish Soon. To a hell fire.

Way to Go Iranian!!
 
unaposema kipindi cha pharaoh waisraeli hawakua na nchi inamaana walizaliwa misri au walijikuta tu ni watumwa misri wenyewe hawakujua wametokea wapi? soma hostoria ujue walitokea wapi

SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.
 
Last edited by a moderator:
Sadam kapigwa na nchi Zaidi 42, US haijenda peke yake. Hata USA amekiri aliwahonga wanajeshi wa Iraqi ili wapate njia za kumshinda Sadam.

Sadam alishikwa sio kwenye mtaro kama wanavyo dai USA alishikwa kwenye palace pale walimpeleka ili wamuabishe sababu alifanya USA kwa mara ya kwanza kuwatanguliza majeshi ya kiarabu mbele. Chezea Sadam we. Na weka akilini Sadam alipigigwa na majeshi ya warabu na sio USA pekee yake.

unaingiza udin badala ya uhalisia

walimpeleka kwny mtaro na ww unaamin hivy je ulithibitsha???
kwann isiwe kwmb alipigwa akafia kwny mtaro km teja
sadam alikuwa wa kawaida ndo maan akafutwa kw harak kwny raman ya dunia
 
SOMA Bible, Israel walikua watumwa Si kwa kutekwa na misri bali, walizaliana misri walipoenda enzi za yusufu, alipokua Waziri mkuu wa misri. Na mda wakuondoka ulipofika walienda kwenye Nchi waliyoahidiwa na Mungu

walikuwa watumwa kutoka wap???
walienda enzi za yusuph wakitokea nchi gan???
kwhy israel wameshushwa??
 
Waarabu wanaponzwa na viongozi wao wanaolipuka ovyo ovyo na kujikuta wameishia chini ya mashimo na madaraja!
 
Hata Sadam Hussein alisema ataifuta Marekani kwenye uso wa dunia, matokeo yake walienda kumwokota kwenye mtaro ktk siku 21 tu. only twenty one days ameshamalizwa na amejificha kwenye mtaro. Saddam alikuwa na uwezo wa kusavaivu muda mrefu kwasababu alikuwa Sunni, ambaye angeungwa mkono na waarabu walio wengi hata Saudia.

Ukija kwa Iran, imezungukwa na maadui wa Kiarabu kuanzia Saudia yenyewe inatamani Iran ifutwe leo kwasababu Iran ina mpango kuiteka Saudia na maeneo matakatifu yawe chini ya Washia in the future, ndio maana Saudia siku zote ananunua madege kwaajili ya kujilinda na Iran.

Hakuna nchi hata moja ya kuisaidia Iran isipokuwa Hezbolah na Hamas. Hata Urusi hana uwezo wa kuisaidia, hawezi kutia mguu pale, Russia, Syria alijifanya kuwasapoti lakini ona aina ya sapoti ya Russia kwa rafiki zake, hadi leo Syria is no more, ndivyo itakavyokuwa Iran.

Israel peke yake wanao uwezo mkubwa sana kuimaliza Iran. Saudia ilishatoa maeneo ya kuipatia Israel itue ndege zake kama inataka kuishambulia Iran, ndio utaona mgawanyiko wa Waarabu, mwisho wa siku sisi tunawashinda kama wamesimama vile.

Mkuu heshima yako kwa uchambuzi makini.
 
Sadam ni kidume. Hata ni taifa pekee ambalo alisimama kupigana na zote za magharibi zenye nguvu duniani ukiondoa ufaransa.
Usa
Canada
Spain
Uk
Japan
Germany
Saudi
Syria
Israel
Uganda
Italy
Nk nk
Nchi zote hizo zilijumuika pamoja kumpiga sad mmoja.
Na Kamanda Sadam alihimili vishindo....
Akawekewa vikwazo ..
Ni kidume hakika. Ukiangalia juu juu utaona ohh sadam mbona kapagwa kwenye shimo...ukweli ni shujaa wa karne hii.
Hio israel ichangiwe kiasi kile kama taifa ni masaa 10 tu haipo tena..

Soma hapo vita ya siku sita tu Israeli ikipigana dhidi ya mataifa kadhaa ya kiarabu na yakadundwa vibaya...MIND YOU hiyo ni miaka zaidi ya 50 iliyopita...pia kasome jeshi la Israeli Lipo rank gani kwa uwezo wa kivita halafu fananisha na hayo mataifa unayoamini yanaiweza Israeli.
en.m.wikipedia.org/wiki/Six-Day_War
 
Nadhani ukweli hamjaujua Israel huwezi kumshambulia Iran hata siku moja hakuanza Leo kusema kua atamshambulia na ndio maana anaomba msaada kwa USA ila yeye hana uwezo huko hujui au hukuona alipo pigana na hizbullah mbona aliacha vita karibu vifaru mia tatu vilipingwa na alikuwamo mtoto wa Sharon alikua msiwe washabiki, hana lolote israel
 
Ni kweli unayosema, Marekani alihonga pesa nyingi ili Republican guard wasipigane? Mbona hakuna hata mmoja aliyekamatwa?
 
Usije ukarogwa hata siku moja kuamini kuwa kuna nchi itaifuta Israel kwenye uso wa dunia. watashangaa kuona wao ndio wanabaki magofu.

Jamani tujifunze kusoma between the lines na hii sio personal attack kwako mkuu Hute .

Israel ina mabomu ya nyuklia zaidi ya 300, wana jeshi kabambe (nadhani ni la tatu au la nne kwa uwezo duniani), wana wafadhili wenye nguvu sana kama Marekani, Uingereza watakaowasaidia kijeshi au kwenye security council ya umoja wa mataifa. Kwa hiyo Israeli haiwezi kufutwa kijeshi hata siku moja. Lakini Israel (kama a zionist nation) inaweza kufutika na nafikiri itafutika - na hiki nadhani ndicho wanachosema waIran.

Chukulia mfano mdogo wa hapa kwetu Afrika. Afrika ya kusini ilikuwa ni Apartheid Nation. Wale wenye nchi (weusi) na wale wenye mchanganyiko na weusi (colored) hawakufurukuta chini ya utawala wa makaburu. Lakini international pressure ilipopanda na kuisusia Afrika ya kusini, uchumi ukawa unayumba na weupe wakakubali kwamba weusi ni sawa na wao na wanaweza kupiga kura.

Well, democracy is a bi-tch. Kutokana na wingi wa weusi, uchaguzi huru wa kwanza Africa kusini was not even a contest. Mandela alibeba karibuni kura zote. Sasa hivi weusi wako madarakani. Wanaweza wakawa wanajikanyaga na utawala wao mbovu lakini SOUTH AFRICA IS NO LONGER AN APARTHEID REGIME controlled na makaburu kisiasa. Weusi wanatawala.

WaIsrael saa nyingine wanakuwa too clever by half. Babu yangu alikuwa anapenda sana msemo huu: AKILI NYINGI HUPUNGUZA MAARIFA. Yafuatayo ni maelezo yanayofafanua usemi wangu huu.

Kutokana na International Law ya leo (UN-resolutions) ile nchi iliyokuwa Palestina hadi 1948 itagawiwa sehemu mbili kufuatia mipaka ya 1967. Sehemu moja itakuwa taifa la Israel na nyingine itakujakuwa taifa la Palestina. Sasa kwa sababu waIsrael hawakuwa na nia ya kuwapa waPalestina hii sehemu yao basi wamejenga na wanaendelea kujenga makazi yao kwenye haya maeneo ya waPalestina kwa mabavu.

Sasa hivi eneo lililobaki ni dogo sana na limekatwa vipande vipande kiasi cha kutoweza ku-establish taifa (contiguous state) la waPalestina. Kwa hiyo sasa hivi ile suluhu ya nchi mbili - Palestina na Israel haiwezikani tena. The only viable solution ni kuwafanya waPelistina wote (Gaza na West Bank) kuwa raia wa Israel na kuwe na nchi moja tu (sijui itaitwaje). Hiki kikitokea mchezo umekwisha.

Kwa kuwa waPalestina ni wengi kuliko waIsrael, na kama bado watajiita democracy, basi uchaguzi ukitokea lazima mPalestina atashinda kama Prime minister wao. Hii itakuwa ukomo wa Israel kujiita a Jewish/Zionist state. Yale yale ya Afrika kusini. Lakini ili hiki kitokee ni lazima dunia iisusie Israel (kama walivyowasusia Afrika kusini chini ya makaburu). Nadhani hii ndio maana ya maneno "ISRAELI ITAFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA".

I may be wrong - I am just saying.
 
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.

Wewe ndio unajidanganya kweli kweli. Ukitaka kujua nguvu za Israel kawaulize wamisri, wanawajua vizuri sana. Na huyo Iran anataka kucheza ngoma ya kitoto ambayo haiwezi kukesha.

Tiba
 
Last edited by a moderator:
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.

Ahsante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kifyatu

Labda USA ifutike ndio muanze conversation ya kufutika Israel, hayo mengine ni hadithi tuu.
 
Last edited by a moderator:
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.

China usimtegemee kwenye kupigana vita hata siku moja,,, yeye anaangalia uchumi wake tu, ukiingia vitani anahamishia biashara zake nchi zenye amani,,,,,, atakacho kusaidia ni kukuuzia silaha.
 
Last edited by a moderator:
Lete source
Nadhani ukweli hamjaujua Israel huwezi kumshambulia Iran hata siku moja hakuanza Leo kusema kua atamshambulia na ndio maana anaomba msaada kwa USA ila yeye hana uwezo huko hujui au hukuona alipo pigana na hizbullah mbona aliacha vita karibu vifaru mia tatu vilipingwa na alikuwamo mtoto wa Sharon alikua msiwe washabiki wa mapenzi hana lolote israel
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom