Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

Status
Not open for further replies.

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Mkuu wa kuainisha maslahi ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Iran itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia na hilo halina kipingamizi. Ameongeza pia kuwa Israel si taifa na hivyo linapaswa kuondolewa. Amesema kwamba Israel imefanya njama ya kuzuia mazungumzo ya nyuklia yasifikiwe lakini mazungumzo yamepata mafanikio makubwa.

Mazungumzo ya nyuklia yanatarajiwa kufikiwa leo ambapo Iran itaendelea kuzalisha nyuklia kama kawa na vikwazo vyote kuondolewa. Israel imetishia kuishambulia Iran kijeshi endapo mazungumzo yatafanikiwa.

Pia Rafsanjani amewataka watu duniani kote kujitokeza siku ya kimataifa ya quds ambayo ilianzishwa na Iran kwa lengo la kutetea Palestina.

Source: Radio Tehran
 
Hata Sadam Hussein alisema ataifuta Marekani kwenye uso wa dunia, matokeo yake walienda kumwokota kwenye mtaro ktk siku 21 tu. only twenty one days ameshamalizwa na amejificha kwenye mtaro. Saddam alikuwa na uwezo wa kusavaivu muda mrefu kwasababu alikuwa Sunni, ambaye angeungwa mkono na waarabu walio wengi hata Saudia.

Ukija kwa Iran, imezungukwa na maadui wa Kiarabu kuanzia Saudia yenyewe inatamani Iran ifutwe leo kwasababu Iran ina mpango kuiteka Saudia na maeneo matakatifu yawe chini ya Washia in the future, ndio maana Saudia siku zote ananunua madege kwaajili ya kujilinda na Iran.

Hakuna nchi hata moja ya kuisaidia Iran isipokuwa Hezbolah na Hamas. Hata Urusi hana uwezo wa kuisaidia, hawezi kutia mguu pale, Russia, Syria alijifanya kuwasapoti lakini ona aina ya sapoti ya Russia kwa rafiki zake, hadi leo Syria is no more, ndivyo itakavyokuwa Iran.

Israel peke yake wanao uwezo mkubwa sana kuimaliza Iran. Saudia ilishatoa maeneo ya kuipatia Israel itue ndege zake kama inataka kuishambulia Iran, ndio utaona mgawanyiko wa Waarabu, mwisho wa siku sisi tunawashinda kama wamesimama vile.
 
Teh teh teh teh teh, Walijaribu wengi kufuta uzao wa Israel akiwemo Farao na vibaraka wengine machotara lakini mwisho wao ulikua mbaya kuliko mwanzo wao,ndoto hiyo alikua nayo Gadafi matokeo yake akafutwa yeye,Sadam and the like Osama na vicheche wengine nao wakajikuta wanafutwa!

Akaja Ahmed Nejadi,Rais aliyepita wa Iran akautangazia ulimwengu kuwa atalifuta taifa hilo na ameondoka akaliacha,maandalizi ya kujichimbia kaburi Wairan yanaendelea na natamani sana wajaribu mpango wao ili rasilimali zao na mafuta yao yachukuliwe vizuri maana itageuka kuwa shamba la bibi kama ilivyo Libya,

Hakuna kamanda aliyekuwa na nguvu kama Gadafi lakini aliuawa na mateja chini ya daraja!
 
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.
 
Last edited by a moderator:
Wew hute,Saddam Hussein alikosea aliporuhusu wachunguzi waje kumchunguza ila Iran wamekataa kuingiza wachunguzi nchini kwake kwahyo IRAN wamefaulu kwa hujuma hzo
 
Micheweni Pemba

Acha uongo wewe, Ahmed Najad ndio nani? Na hayo mabomu ni mabomu gani? Acheni stori za vijiwe vya kahawa. Hivi unafikiri Israel atakuwa amekaa tu wakati eti kuna makombora yameelekezwa kwake? Unawajua wale watu au unawasikia?
 
Last edited by a moderator:
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.

Unaonekana unaongea kwa hisia sana, Bora umejua wewe hao Israel walichukuliwa kwenda utumwani Misri!! Sasa niambie walichukuliwa kutoka angani au wapi? Nenda tena kajifunze walichukuliwa utumwani miaka mingapi? Na nini kilitokea baada ya wao kuacha maeneo yao wakiwa utumwani?

Iran wanafanya comedy tu kama alizokuwa anafanya Sadam Hussein na Kibaraka wake Gaddafi, hiyo redio Tehran nimeshaizoea ni Propagandist tu, tena usishangae kila lead story yao ni Israel, wanaweweseka kila kukicha wanaposikia mkwara wa Tel Aviv,
 
hahahaha haya bwana mi nasoma tu....ISRAEL TAIFA LA MUNGU unabii uko palepele
 
Hata Sadam Hussein alisema ataifuta Marekani kwenye uso wa dunia, matokeo yake walienda kumwokota kwenye mtaro ktk siku 21 tu. only twenty one days ameshamalizwa na amejificha kwenye mtaro. Saddam alikuwa na uwezo wa kusavaivu muda mrefu kwasababu alikuwa Sunni, ambaye angeungwa mkono na waarabu walio wengi hata Saudia.

Ukija kwa Iran, imezungukwa na maadui wa Kiarabu kuanzia Saudia yenyewe inatamani Iran ifutwe leo kwasababu Iran ina mpango kuiteka Saudia na maeneo matakatifu yawe chini ya Washia in the future, ndio maana Saudia siku zote ananunua madege kwaajili ya kujilinda na Iran.

Hakuna nchi hata moja ya kuisaidia Iran isipokuwa Hezbolah na Hamas. Hata Urusi hana uwezo wa kuisaidia, hawezi kutia mguu pale, Russia, Syria alijifanya kuwasapoti lakini ona aina ya sapoti ya Russia kwa rafiki zake, hadi leo Syria is no more, ndivyo itakavyokuwa Iran.

Israel peke yake wanao uwezo mkubwa sana kuimaliza Iran. Saudia ilishatoa maeneo ya kuipatia Israel itue ndege zake kama inataka kuishambulia Iran, ndio utaona mgawanyiko wa Waarabu, mwisho wa siku sisi tunawashinda kama wamesimama vile.

Sadam kapigwa na nchi Zaidi 42, US haijenda peke yake. Hata USA amekiri aliwahonga wanajeshi wa Iraqi ili wapate njia za kumshinda Sadam.

Sadam alishikwa sio kwenye mtaro kama wanavyo dai USA alishikwa kwenye palace pale walimpeleka ili wamuabishe sababu alifanya USA kwa mara ya kwanza kuwatanguliza majeshi ya kiarabu mbele. Chezea Sadam we. Na weka akilini Sadam alipigigwa na majeshi ya warabu na sio USA pekee yake.
 
Sadam ni kidume. Hata ni taifa pekee ambalo alisimama kupigana na zote za magharibi zenye nguvu duniani ukiondoa ufaransa.
Usa
Canada
Spain
Uk
Japan
Germany
Saudi
Syria
Israel
Uganda
Italy
Nk nk
Nchi zote hizo zilijumuika pamoja kumpiga sad mmoja.
Na Kamanda Sadam alihimili vishindo....
Akawekewa vikwazo ..
Ni kidume hakika. Ukiangalia juu juu utaona ohh sadam mbona kapagwa kwenye shimo...ukweli ni shujaa wa karne hii.
Hio israel ichangiwe kiasi kile kama taifa ni masaa 10 tu haipo tena..
 
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.

SOMA Bible, Israel walikua watumwa Si kwa kutekwa na misri bali, walizaliana misri walipoenda enzi za yusufu, alipokua Waziri mkuu wa misri. Na mda wakuondoka ulipofika walienda kwenye Nchi waliyoahidiwa na Mungu
 
Last edited by a moderator:
SOMA Bible, Israel walikua watumwa Si kwa kutekwa na misri bali, walizaliana misri walipoenda enzi za yusufu, alipokua Waziri mkuu wa misri. Na mda wakuondoka ulipofika walienda kwenye Nchi waliyoahidiwa na Mungu

Israel is there to stay and no one will destroy Israelites !

Harming Israel is like harming God, Israel is even given power from biblical words....

When it was time for Israel to move from slavery in Egypt...they just moved...Pharaoh couldn't stop them...

As well as Iran can not stop them....

Nakusaport mkuu...japo sipendi Israel wavamie hawa jamaa
 
Kamwe waarabu hawataiweza Israel coz wananunulika, Israel wanajua every move they make wachukue hatua waone kama walijiunga wote wakamshindwa ndo kipindi hiki na mitambo yote walio nayo.
 
SIDANGANYIKI2015

Jee unajua.
Kipindi cha Pharaoh Waisrael walikuwa Watumwa Misri.hawakuwa na Nchi walipata mateso hadi wakachanganyikiwa.

Ahmed Najad aliutangazia ulimwengu kuwa ikiwa Israel itaishambulia Iran Kijeshi basi atawapiga mabomu ya ajabu hadi mifupa yao isionekane.na sio awapige Bila sbb kama usemavyo we we.

N.B
Iran ipo karibu sana na Israel.kuna mizinga isiopungua 380 yote imeelekezwa Israel.na pia ufahamu Technologia iliotengenezewa Mizinga hio hadi sasa Wayahudi hawajajua wataizuiaje maana ukiipangua kwa vyombo maalum haiwezi kudetect ila inaacha chemical za Nyuklia ukinusa harufu tu ngozi yote kwenye mwili inatoka.
Msaadizi wao USA akiingilia atasababisha vita ya tatu ya Dunia.maana kuna Russia na China zote ni watiifu kwa Iran.
Nani kakudanganya hakuna mzungu ana urafiki na mwarabu hata siku moja zaidi ya bishara. Russia atachekelea kuuza silaha tu hataingia ng'O nadhani unaona syria ynayojiri huko Wapi Russia wapi china
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom