100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,717
- 38,407
Tulia usiruke ruke kama popcorn ipo kwenye kikaango... hapa ni Israel vs Iran, sijaongeza taifa lolote kuhusu LGBT.. jikite kwenye mada, naona umeanza kuzidiwa... πwe unasumbuka na nini, wameruhusu ushoga kwa katiba yao, na IRAN kuna mashoga zaidi hata ndani ya IRGC, na baadhi ya nchi za kiislamu zime legalize LGBTQ, hiyo haituhusu, kwa nini ujitese wakati we ni MMATUMBI uliye mnyonge kimaisha???
Several Islamic countries have legalized LGBTQ+ relationships, including Turkey, Bahrain, and parts of Iraq. Additionally, some countries have varying degrees of legal recognition or tolerance for LGBTQ+ individuals, like Lebanon and Kazakhstan.
kuhusu ISRAEL na Iran NIMEJIBU PARA YA KWANZA HAUJAELEWA? IDIOT& IMBECELTulia usiruke ruke kama popcorn ipo kwenye kikaango... hapa ni Israel vs Iran, sijaongeza taifa lolote kuhusu LGBT.. jikite kwenye mada, naona umeanza kuzidiwa... π
Nimekuuliza kitu kidogo sana, je Israel waziri wao mkuu kuwa shoga ni sawa? kwa katiba yao ni sahihi?
Sasa taifa la mungu linaongozwaje na kiongozi shoga?kuhusu ISRAEL na Iran NIMEJIBU PARA YA KWANZA HAUJAELEWA? IDIOT& IMBECEL
nimekwambia YES LGBTQ israel NI RUKSA, na IRAN ni death sentence, but kuna LGBTQ pia, flourishing underground and abroad
Watu wa dini banaππππ.Sasa taifa la mungu linaongozwaje na kiongozi shoga?
Hii hamuoni mnaibiwa? Mungu gani huyo anayesema ukibariki taifa linaloongozwa na shoga na wewe unabarikiwa, ukilaani na wewe unalaaniwa.. π π
Hivi huko mnapoenda kuabudu si ndio viongozi wenu huwaambia hivyo, muweke bendera ya taifa la Mungu kwenye gari, ofisini na hata nyumbani, bendera ya taifa linaloongozwa na shoga..πππ
Inasikitisha sana, hata ingekuwa mbuzi ingeshtuka huu ujinga na uongo ... hivi huwezi hata kujitafakari ukajua kwa akili za kuvukia barabara kwamba mnakuwa brainwashed?
Usizungumzie individuals, taifa lolote linapokea wageni na watu tofauti, tunachozungumzia ni serikali kuutambua ushoga...
Hapo wapi??Tulia usiruke ruke kama popcorn ipo kwenye kikaango... hapa ni Israel vs Iran, sijaongeza taifa lolote kuhusu LGBT.. jikite kwenye mada, naona umeanza kuzidiwa... π
Nimekuuliza kitu kidogo sana, je Israel waziri wao mkuu kuwa shoga ni sawa? kwa katiba yao ni sahihi?
Mataifa yote ni ya Mungu, hakuna taifa la shetani, kuhusu ushoga hata bibila inasema kuhusu Sodoma na Gomora (modern Jordan), homosexuality si jambo jipya , hata kabla ya Yesu kulikuwa na ufirauniSasa taifa la mungu linaongozwaje na kiongozi shoga?
Hii hamuoni mnaibiwa? Mungu gani huyo anayesema ukibariki taifa linaloongozwa na shoga na wewe unabarikiwa, ukilaani na wewe unalaaniwa.. π π
Hivi huko mnapoenda kuabudu si ndio viongozi wenu huwaambia hivyo, muweke bendera ya taifa la Mungu kwenye gari, ofisini na hata nyumbani, bendera ya taifa linaloongozwa na shoga..πππ
Inasikitisha sana, hata ingekuwa mbuzi ingeshtuka huu ujinga na uongo ... hivi huwezi hata kujitafakari ukajua kwa akili za kuvukia barabara kwamba mnakuwa brainwashed?
Usizungumzie individuals, taifa lolote linapokea wageni na watu tofauti, tunachozungumzia ni serikali kuutambua ushoga...
kuhusu ISRAEL na Iran NIMEJIBU PARA YA KWANZA HAUJAELEWA? IDIOT& IMBECEL
nimekwambia YES LGBTQ israel NI RUKSA, na IRAN ni death sentence, but kuna LGBTQ pia, flourishing underground and abroad.
then nikasema some Islamic countries zimeanza kuhalalisha, kwa sababu ni ngumu kuifuta,lazima itashamiri underground, kama ilivyo ni tatizo kwa Islamic countries zilizo criminalize, USHOGA UMETAMALAKI, hata diaspora walioka uarabuni wana hiyo testimonies,
so, usini dhibiti jinsi ya kujadili, kwa sababu I refuse to be NARROW MINDED IDOT kama wewe unavyoishi na narrative zako za kijinga
Mashoga wa Iran wanapambaniwa globally, we baking na hiyo idiot Conservative mindTulia usiruke ruke kama popcorn ipo kwenye kikaango... hapa ni Israel vs Iran, sijaongeza taifa lolote kuhusu LGBT.. jikite kwenye mada, naona umeanza kuzidiwa... π
Nimekuuliza kitu kidogo sana, je Israel waziri wao mkuu kuwa shoga ni sawa? kwa katiba yao ni sahihi?
Mzee unashindwa hata kutofautisha AI videos na real videos? π π πHapo wapi??
View attachment 3447220
Nimekuambia leta video, a real video ya LGBT wakipita kwa maandamano kama wapitavyo Tel Aviv, usiniletee video zimtengenezwa na AI...Mashoga wa Iran wanapambaniwa globally, we baking na hiyo idiot Conservative mind
View attachment 3447235
View attachment 3447237
Sasa kama biblia inakataza ushoga, yaani wewe ukikaa chini na akili zako kabisa unadhani kwamba ile ndio Israel? ambayo mliambiwa ukiibariki nawe utabarikiwa? Israel ambayo imeenda kinyume na maandiko ya kitabu cha biblia kwa kukubali ushoga kama taifa? ndio hio Israel mnanunua mabendera na kuyaweka nyumbani?Mataifa yote ni ya Mungu, hakuna taifa la shetani, kuhusu ushoga hata bibila inasema kuhusu Sodoma na Gomora (modern Jordan), homosexuality si jambo jipya , hata kabala ya Yesu kulikuwa na ufirauni
Whether it was homosexuality or another transgression, such as the act of inhospitable behavior towards visitors, the act of sexual assault, murder, theft, adultery, idolatry, power abuses, or prideful and mocking behavior, that was the principal reason for God's destruction of Sodom and Gomorrah.
The proverb "One man's meat is another man's poison" means that what is enjoyable or beneficial to one person may be unpleasant or harmful to anotherSasa kama biblia inakataza ushoga, yaani wewe ukikaa chini na akili zako kabisa unadhani kwamba ile ndio Israel? ambayo mliambiwa ukiibariki nawe utabarikiwa? Israel ambayo imeenda kinyume na maandiko ya kitabu cha biblia kwa kukubali ushoga kama taifa? ndio hio Israel mnanunua mabendera na kuyaweka nyumbani?
Yaani mmechezewa akili kipuuzi sana, katika watu wanajua kunata na biti basi ni hao wayahudi wa mchongo waliloanzisha hilo taifa hapo, huku sunday school mkidanganywa ukilibariki hilo taifa nawe unabarikiwa, ukilaani nawe unalaaniwa...
Huku wenzenu kama taifa wanafirana na kusagana... na serikali yao inawaruhusu... waziri mkuu kufirwa kwao ni sawa... stupid kabisa... uchafu.. ptuuu!! yani kiongozi wa taifa mnaloambiwa na ni la Mungu kiongozi wake ni ruksa kupelekewa moto... hivi nyinyi mna akili au matope?
Elimu na uelewa wako umeishia hapo, huna analytical skills, uko fixed kwa self conservative narrative.Nimekuambia leta video, a real video ya LGBT wakipita kwa maandamano kama wapitavyo Tel Aviv, usiniletee video zimtengenezwa na AI...
Kwanini unaweka AI video na unasema ni maandamano yalifanyika Tehran?Elimu na uelewa wako umeishia hapo, huna analytical skills, uko fixed kwa self conservative narrative.
I thank u 4 u'r company.and I submit my failure to convince u otherwise
Ok, nisamehe mkuu, nakubali kuwa Iran ni inchi takatifu ya kiislamu, na hakuna hata shoga mmoja alyewahi kuonekana Iran, na ninakiri kuwa picha mjongeo nilizo ziweka si halisia, ila AIMzee unashindwa hata kutofautisha AI videos na real videos? π π π
Yaani hao ******* wanalazimisha huo ushetani ufike Iran lakini Iran imejisimamia, hii video ni AI tupu.. ngoja nikuwekee AI video halafu ujitafakari akili zako...
View: https://www.youtube.com/shorts/3_c1killDME
View: https://www.youtube.com/shorts/VGa_A16QB0E
Punguza ujinga, na hio video uliyoweka model iliyotumika sio superior kama kwenye hizo videos nimeweka hapo...
Ooh , I am sorry sikujua ni AI, na nimepotoshwa kuwa Iran kuna ******* kumbe ni uzushi wa mitandao, nisamehe pls, Ayatollah asije jua hii, naomba tumayamalizeKwanini unaweka AI video na unasema ni maandamano yalifanyika Tehran?
Kinachoniuma ni jinsi ulivyo mjinga, yaani kakikundi ka wahuni wakiwa wanalewa pombe bar walikaa chini wakaona waende pale waanzishe taifa la mchongo kwa kurejea maandiko ya biblia na torati, taifa hilo waliite Israel...The proverb "One man's meat is another man's poison" means that what is enjoyable or beneficial to one person may be unpleasant or harmful to another
Usijihangaishe na kuumia kwa maisha ya furaha au haramu ya wengine , wakati na wewe kuna haramu mbaya unazozifanya
Wewe kubali umeweka AI, sio kujifanya kuomba msamaha wa kinafiki...Ok, nisamehe mkuu, nakubali kuwa Iran ni inchi takatifu ya kiislamu, na hakuna hata shoga mmoja alyewahi kuonekana Iran, na ninakiri kuwa picha mjongeo nilizo ziweka si halisia, ila AI
Naomba msamaha kwako mkuu, na sitorudia tena.
NAWAKILISHA
Basi taifa la Muddy...kibakaMungu gani anayeruhusu uhuni na unyama unaofanywa na akina Netanyahu? Hakuna taifa la Mungu pale. Ni wahuni tu kama wahuni wa CCM.
Kama muddy alivyowatia ujinga mnamuita mtume wakati alikuwa mwizi mbakaji wa watoto....nieleze mtume gani aliwahi kuoa watoto?Kinachoniuma ni jinsi ulivyo mjinga, yaani kakikundi ka wahuni wakiwa wanalewa pombe bar walikaa chini wakaona waende pale waanzishe taifa la mchongo kwa kurejea maandiko ya biblia na torati, taifa hilo waliite Israel...
Wamekitusi kitabu cha biblia na torati yao kwa kwenda kinyume na maandiko... eti mnaita wamebarikiwa...
Israel ipo pale kuiba mali za watu, kutambulisha ushoga na kuiba ardhi... wanatumia biblia na torati kama nyenzo za kisiasa....
Siku ukipata akili utakuja kunielewa...
Hakuna cha taifa la Mungu... ni matapeli.. na wamejua kucheza na akili zenu.. kipindi mkiwatukuza , wao wanaona ni wajinga na hamna akili...