Iran inder INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected

Iran inder INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected

Hv unaweza kutengeneza kinu cha nuclear kisijulikane?vinu vinajulikana vilipo Hila ukivishambulia direct missiles from tel Aviv hayo Majibu mtakayopewa mara elf 1 ya shambulio la October 1
vinu vyao wanasema wameviweka underground kuogopa kushambuliwa. hata misiles nyingi sana iran zipo kwenye mahandaki. nikama unaona kuna mji hapa juu ila chini ya ardhi wameweka mji wao. kama haujui, hata idea za underground tunnels za gaza na lebanon muasisi ni Iran.
 
Wakati najiunga Jf miaka kadhaa nyuma nilikuta watu akili zinachemka humu, kulikua na balaa ilifikia hatua hata darasa la saba aliyepo jf alipata masters yake humu humu ,..

Lakini hii jf ya sasa kwa jicho la tatu ila VICHWA MCHUNGA wengi saanaaa hivi mtu anaona kwa mfano ingawa sijajua ni kweli au laa " Israel yakudukua mifumo muhimu ya kiusalama Iran" kichwa mchunga anakuja mbio kukoment " yaani kudukua taarifa za siri ndo kulipa kishaaasi warushe mabomu waone " yani mtu anashindws kufikri kidogo tu kuwa mtu akishapata taarifa zako na mipango yako na kujua udhaifu na uimara wa kila sehemu umeshaisha wao wanakimbilia kombora
Mfano; katika moja ya taarifa iliyoibwa ikawa ni sehemu zote zenye makombora hatari je zikiwahiws hizo kuna jambo hapo?
Au ni ushabiki na udini unawapunguzia watu uwezo wa kufikiri
Na ww umejiona umeandika kitu cha maana sana ..kwa hiyo wakiahajua sehem nyeti za makombora ndo nin wew unafikiri hawafaham sehem hizo mhim .kupajua ni jambo moja na kuzifikia na kuweza kuziharabu ni jambo la pili
 
Uzuri Iran hana ahadi feki akikuahidi anatekeleza bila kuchelewa.

Hawa Mazayuni midomo mirefu lakini vitendo sifuri. Wametwangwa mara mbili bila majibu hadi leo wamebaki na propaganda za cyber attack kuwadanganya manyumbu waliyozoea kuyadanganya.
Maagizo ya Quran'...na hakika kila ahadi itaulizwa(ikiwa ilitekelezwa)'
 
Na ww umejiona umeandika kitu cha maana sana ..kwa hiyo wakiahajua sehem nyeti za makombora ndo nin wew unafikiri hawafaham sehem hizo mhim .kupajua ni jambo moja na kuzifikia na kuweza kuziharabu ni jambo la pili
🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
 
Nyie ndo wale wale niliokua nawatolea mfano hebu kaongelee mambo ya Simba na Yanga ndio unachokiweza hiko
 
Wahusika ni Unit 8200 na si Mossad
IMG_3104.jpeg
 
Acha kupanic kwa vitu vidogo hivyo jibu ulichoulizwa kama huna kaa kwa kutulia
Unadandia dandia tu kujibu watu bila adabu na wewe uonekane upo humu we kama haikukufaa ungetuliza mafuta hayo wewe kama ni mwanaume jitafakari sana sana sio dalili nzuri hii
 
yap, wanachofanya wanaingia, wakitoka washajua hadi location ya vinu vyako, locations za bunker ulipojificha wewe ayatola na kila kitu. kitakachofuata ni kukupiga ganzi ili wanaporuka hewani ushindwe kuwadungua kirahisi.
Mpaka hapo myahudi kaishapararaiz nyuklia za Iran, wameishajam kila kitu.
Tena wataalam wanavoangaika kuweka sawa mifumo ukute sasa wanadownload vilipuzi tu.

Yajayo ni makubwa
 
Back
Top Bottom