Iran inder INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected

Iran inder INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected

waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.

Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
Na kweli Mwamba alisema ataishangaza dunia. Kobaz et al walitegemea kurushiwa vimondo vitakavyotua Tehran kumbe Mwamba kaja kivingine. Tusubiri yajayo kwani mpaka sasa dunia haijashangaa bado.
 


Mkuu hizi ni tetesi tu hakuna ukweli kwasasa ndio maana ukisoma humo ndani , utaona hakuna aliethibitisha habari hiyo sio Iran wala Israel
 
waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.

Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
Vimondo wameachiwa akina ayotollah warushe mia tatu madhara 0.01
Huku hasara ya mabillion

Waisrael wanafikiria mbele km maelfu
Wanaweza kujam hiyo Mifumo ya vimondo na nuclear ijilipukie tu huko Iran
 
This is undoubtedly the work of MOSAD, these guys are not afraid of anything? what kind of people are these? does it mean they are determined to attack Iran? In this way, all units that receive cyber attacks, become the number one target for the IDF

Time will tell

JEWS ni watu hatari na hawana hofu yoyote

MOSAD + CIA + M16 +BND + na nyingine..... Iran hawezi kujimwambafai akabaki salama. Wanaotoa silaha huwa hawatoi silaha tu.....wacha apambane na hali yake na makobazi yake.
 
Mnatamani sana hilo litokee kuna Mrusi pale hizo minor issues ana solve within minutes tu
Urusi kwa teknolojia ni underdog tu kwa wayhudi, yeye labda ni kwa wingi wa vifaru chakavu tu.
 
Nimeangalia vyanzo lakini sio Israel wala Iran aliethibitisha juu ya hili, inabaki kuwa tetesi kwasasa
Usisubiri Israel athibitishe hili
Na pengine wanaweza kukuna pia
Huku akiwaacha mkiugulia maumivu

Haya mambo ya kujitangaza Ayatollah ndo anafanya
Yule Raisi wao walificha ficha MWISHO wakakiri wenyewe Mosaad ilihusika Ila hawakuacha ushahidi wowote
 
Usisubiri Israel athibitishe hili
Na pengine wanaweza kukuna pia
Huku akiwaacha mkiugulia maumivu

Haya mambo ya kujitangaza Ayatollah ndo anafanya
Yule Raisi wao walificha ficha MWISHO wakakiri wenyewe Mosaad ilihusika Ila hawakuacha ushahidi wowote
sasa unataka tuamini habari za wahindi hizo bila uthibitisho ?dunia ya sasa kuna uzushi mwingi kuwa makini
 
MAJINI HUWA HAYA SAIDII MKIWA VITANI?

Wanatukuza mapepo, lakini sijui huwa yanawasaidiaje kuwalinda kwenye majanga kama haya.

Vaeni vipedo na kobaz twende vitani.
 
waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.

Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
Hi ndio habari walikusudia kumbe ku attack Iran 😄 nilidhani watapeleka F35 au F15 na F16 jana nimekesha pale katavi mpaa mikasikia simba kwa mbali wanaunguruma. Nikajua leo nyau atatuonyesha ubabe wake kwa iran, sababu natake akosee step akaguse iran ili tuone Israel inavyo potezwa pale Middle East.
 
Back
Top Bottom