Kama ni kweli MOSAD amefanya yake, basi yajayo yanafurahisha zaidi kwani Israel iliapa kulipiza kisasi kwa ukali wa kiwango cha juu na kitakachoishangaza dunia. Hadi hapo ujue data nyeti kwenye maeneo yaliyoathirika zimeshachukuliwa na Mwamba. Kilichobaki wanasubiri kibali cha Neta "OK au Wait a bit "
Hakika Jews ni watu hatari na pengine kiwango cha ulipaji kisasi kilichokusudiwa kwa mujibu wa kiapo kilikuwa kikubwa mno kiasi kwamba ilibidi Marekani aingilie kati kupunguza makali yaliyokusudiwa. Don't ever mess-up with the Jews.They will kick or chop ur balls.