Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,898
Reaction score
4,684
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.

Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.

Source: Reuters

Pia soma LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

Screenshot_20260301_084743_Instagram.jpg

Ubalozi wa Iran nchini ulivyopost kuhusu hilo.

1000357089.jpg

 
Sisi huku Marekani hana interest nako. Wangeamua kumuua Samia ni sekunde chache sana
Huyo Samia hata akienda kunya chooni jamaa wanajua.

Na JWTZ ni F-15 moja tu inalichakaza jeshi zima ndani ya dakika 15 tu.

Lakini pia, kwa hizi nchi zetu za Kiafrika, hasa kusini mwa Sahara, wakizishambulia wataitwa wabaguzi.

Wataambiwa wanazishambulia kwa sababu hawawapendi watu weusi.

Tuna ujinga na upumbavu mwingi sana sisi.
 
Back
Top Bottom