Mpendwa hizi zote ni mifano ya fikra zinazoitwa conspiracy theories.
Kwa jumla hizi zote zinadai kuwepo kwa jamii za kisiri zinazojaribu kutawala dunia.
Na kwa jumla nadharia hizo zote ni fuja na ujinga - pamoja na nadharia yako kuhusu Wayahudi.
Zote hazilingani na dunia halisi bali na haja ya kisaikolojia ya aina fulani ya watu.
Zote zimeshachunguliwa na kuonekana si kweli.
zote zinarudi kwa madai mapya na kupata watu wanaoziamini kwa sababu wanataka kuamini.
Hivyo nadharia hizi zinacheza kwenye uwanja wa aina ya "imani" na hazifikiwi kirahisi na akili.
Mfano bora ni link uliyoleta kuhusu ile "Microsoft empire". Ni takataka tupu. Hakuna ukweli hata kidogo ya kwamba mamake alikuwa Myahudi.
(Mimi sioni ubaya wowote kuwa na mama myahudi lakini si kweli kuhusu Gates!)
Ni rahisi sana kuchungulia dai hili na kupata habari juu ya wazazi wake na mababu.
Ila tu watu kama wewe wanataka "kuamini" na hawachungulii.
Au ulijaribu kutumia dakika 1 tu kuchungulia kama dai hili ni kweli?
Sidhani. Badala yake unaendelea kufuata links za hao vichaa na kusoma uwongo mwinmgi na baadaye unakuja hapa kutangaza "Ninavyojua..."
Sidhani ya kwamba unajua kitu kuhusu mambo haya.
Mpendwa ninashukuru sana ukisema nina uwezo wa ku-crush hoja hapa - lakini naogopa sina uwezo huu. Naweza kupinga hoja zinazoletwa (hasa kama ni rahisi kama viel kutuambia link isiyosema kile kinachodaiwa n.k.)Kipala!
Una-crush kila hoja inayotolewa na wachangiaji kwenye huu uzi bila kutoa suluhisho au wewe unavyofikiri,Mimi ninavyojua kila kitu kinachotokea hapa duniani kina mwanzo wake(kuna watu nyama kila jambo) na hao watu wana ajenda zao/yao kuanzia vita ya kwanza,ya pili,ushoga,vita za Iraq.iran,libya syria na instability yote kwenye jumuia za kiislam,etc.Mi sidhani hv vita vinatokea tu,kuna jambo hapa,Unajua kuwa jina EUROPE ni la kishetani na kwa ajili ya shetani?Unajua pia Vatican ndio engineer mkuu wa shetani, nambo yote yanayotokea duniani kwa sasa yamepangwa huko kabla hayajatokea?
unaelewa kinyume au unapotoshwa! Joka ni shetani na mnyama wa kwanza anayeongelewa ni Vatican, mnyama mwingine baada ya mnyama wa kwanza ni marekani! Soma zaidi! Au nitafute kwa msaada!
Bin go!!unasema mnyama wa kwanza ni vatican nadhani si sahihikwani vatican ilishapoteza nguvu zake siku nyingi na ilitakiwa iwe imeshasambaratishwa siku nyingi sana na uislamu pamoja na kumeguka kwake na kuzaa madhehebu mbalimbali na ndio mana hili neno la pigo la mauti lakin hakufa linaendana kabsa .ila sioni link ya vatican na amerika ,bali link ya uyahudi kusambazwa vatican kwa njia ya ukristo ingawa kwa upotoshaji mkubwa
Ndugu Sijali asante kwa mchango maana unajaribu kutofautisha badala ya kutupa kila kitu mahali pamoja.Napenda kupunguza kasi hapa na kuweka sawa baadhi ya point.
1- Siyo kila Myahudi yumo katika mtandao wa Uzayuni ila kila aliyemo ni Myahudi ( Einstein alipinga sana Uzayuni na alikataa kwenda kuishi Israel, pia soma Jack Bernstein My Farewell to Israel by Jack Bernstein)
2-Nilielezea hapa hapa kuwa tatizo la Israel si Wayahudi bali ni Wayahudi wa mtandao wa Uzayuni. Hawa kwa kweli hawana mizizi ya Palestina. Wengi wamekuja kutoka Ulaya lakini asili yao wengi ni Dola ya zamani ya Khazar iliyokuwa katika sehemu za Azerbaijan, Turkmenistan na sehemu za kusini ya Urusi ya leo. Mfalme wa nchi hiyo aliingia dini ya Uyahudi mnamo karne ya 9-10, na ndio hawa waliotapakaa Ulaya ya Mashariki kisha ya Magharibi na baadaye Marekani (wanaitwa Ashkenazi na ndio wanaotawala Israel hivi sasa). Ama Wayahudi wa asili (wa dini na kabila) wa Mashariki, hawa hata Wapalestina hawana tatizo nao.
3- Kwa hiyo, mapambano dhidi ya Uzayuni si mambambano dhidi ya Mayahudi wasio katika mfumo huo, kama hao hapo juu niliowataja na kama Jaji Goldstein wa Afrika Kusini. Hawa ni binadamu wa kawaida kama wengine. Hawaoni kama wao ni tofauti na binadamu wengine, kama waonavyo Wazayuni (soma matamshi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Israeli, Menachem Begin:' Watu wengine wasio Wayahudi ni kama ng'ombe na sisi ndio tumepewa jukumu la kuwaongoza. Ufalme wetu utakapokuja hawa watachungwa kama wanyama wafuate sheria zetu'
Kwa maelezo nani Wayahudi wasio Wazayuni, tembelea: True Torah Jews Against Zionism
Na pia ; Gilad Atzmon - Writings - Torah Jews meet President Ahmadinejad in*NYC
hawa waajemi(iran) zama zao zilishapita hawana chochote zaidi ya kukumbushia enzi tu soon wanaangukia pua.
Nikuulize maswali machache!their ultimate purpose: kuwa na siku moja ya kuabudu (sunday law): nieleweke vizuri, hapa hawatakulazimisha kuhama dini yako bali siku (jumapili), siku moja rasmi ya kuuza na kununua (jumamosi), sarafu moja ya dunia (sio lazima utembee na hela mfukoni, (ndo maana ya atm cards, visa nk.) n.k n.k nk.... Someni "new world economic order" na "sunday law". Kila kitu kipo humo.. Asanteni.
mkuu umeeleza vzr sana, ili kupambana na mfumo wa kiyahudi unaotawala dunia kwa sasa zinahitajika technic za hali ya juu na mashirikiano kutoka mataifa tofauti.
Against the nation of GOD?..........I DOUBT THIS........
Isaiah 13:11
I will punish the world for its evil, the wicked for their sins. I will put an end to the arrogance of the haughty and will humble the pride of the ruthless.
Who Wrote the Bible?
1:43:14 - 6 years ago
Who Wrote the Bible? Is the Bible the Word of God? Why is the Bible full of Contradictions? This documentary explores questions at the heart of the great Christian faith in a fair open-minded fashion. It is NOT meant to be inflamatory but informative. The truth one will see is the Bible is NOT what it is thought to be. So what is the Bible? Find out! Visit www.IslamicVideos.net for more videos like this! Now since we can see Christianity is not what we thought it was, we can try and learn about Islam, a religion that many equate with terrorism. Search and learn about Islam as it is thought even by the most educated people on Earth to be the ultimate way to truth and happiness, in the truest sense of the word.
to suppliment this you can watch this tooInnocence of muslims-
Mpendwa una mawazo ya ajabu kweli... kitu kinachonishangaza ni kuwa kila tunapojadili masuala ya Wayahudi lazima baadhi ya watu wataleta mambo ya Ukristo ba Biblia. Ni kweli Mitume wengi ni Wayahudi, lakini si kweli kuwa Uyahudi-kama dini- ina uhusiano wowote na Ukristo. Bali Uyahudi ni kinyume cha Ukristo. Mayahudi wengi wanaamini bw Yesu Kristo (Mungu apishilie mbali) hivi sasa yuko motoni ndani ya jungu la mavi yanayochemka akiadhibiwa! Eti kwa sababu amedai U-' Masiya wa uzushi' Infact, Uislamu uko karibu zaidi na Ukristo kuliko Uyahudi.
..
Karanja'z Place: THE REAL REASON THE US WILL NEVER INVADE IRANContrary to Tom Clancy type fiction writers,there is no defense,especially in the narrow Persian Gulf for such a threat where it narrows down to 56 km . The technological defense exists only in rigged open sea Aegis ship defense tests;the USN's primary air radar system-not in real life.
Looking at the obvious military and secret political reasons,to me the US will never invade.Just think,the most warlike US leader in decades,Bush the younger never went beyond rhetoric, sabre rattling ultimatums and outright threats-why? Not even a warning cruise missile attack or squadron of f-16s bombing a nuclear research facility like the Israelis did to the Iraqis in 1981;mind you this was before the Iranians had the S-300,the most advanced SAM system in the world,
to suppliment this you can watch this tooInnocence of muslims-
mbona hamna habari yoyote ya nani kaandika biblia au ndio unotorious umekuzidi kaka/dada