Iran ijiandae kwa kipongo cha Mbwa-koko!!

Iran ijiandae kwa kipongo cha Mbwa-koko!!

Wangekuwa na IRGC wasingeandamana wakauwawa maelfu, internet isingekatwa. Wa Iran walioweingi hawautaki huo utawala Wala uislam. Ni kama Tanzania jinsia watu walivoichoka CCM ila ndio inatumia nguvu kubaki madarakani.
Wale waliofyekwa ni walikua magaidi walofadhiliwa nama lgbtq+ ndio maana wakafyekwa
Muandamanaji anaandamana na Ak47 lazima afyekwe
Unaona kwasasa nchi imetulia maisha yanaendelea
Mukipeleka tena vibaraka wenu pia wanafyekwa tena
Na kule tanzania maandamano yaoikua ya amani ila mlipoanza kuleta uhuni mukaoneshwa uhuni wa 6G+
Maana kisheria dawa ya uhuni ama muhuni nikumfanyia uhuni zaidi yake
 
Nenda mfereji wa Hormuz ukaokote Iphone na pafume akili yako inaweza ikachangamka kidogo
Ujinga mtupu unawasumbua **Wafuga Midevu na Majini hiyo ni AI
Itamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.

Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!! Wafuga Midevu na Majini Lazima wapigwe tu mabomu maana hakuna namna nyingine ya Israel kuafikiana na Magaidi
 
Itamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.

Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
Huyo Gadi usimvike huo wema, nasemaje huyo jamaa huo wema hana, juzi kasema akipata hiyo nafasi Gaza itasahaulika
 
Ujinga mtupu unawasumbua **Wafuga Midevu na Majini hiyo ni AI

Ndoto za Mwendawazimu hizo!!! Wafuga Midevu na Majini Lazima wapigwe tu mabomu maana hakuna namna nyingine ya Israel kuafikiana na Magaidi
Trump na Netanyau ndio wamekuambia hizi ni picha za AI?
Kweli wewe ni msukule wao
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-181116.jpg
    Screenshot_20261025-181116.jpg
    44.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-181032.jpg
    Screenshot_20261025-181032.jpg
    70.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-181009.jpg
    Screenshot_20261025-181009.jpg
    49 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-180515.jpg
    Screenshot_20261025-180515.jpg
    97.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-180245.jpg
    Screenshot_20261025-180245.jpg
    94.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-175915.jpg
    Screenshot_20261025-175915.jpg
    105.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-175758.jpg
    Screenshot_20261025-175758.jpg
    99.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20261025-175619.jpg
    Screenshot_20261025-175619.jpg
    49.8 KB · Views: 1
Wangekuwa na IRGC wasingeandamana wakauwawa maelfu, internet isingekatwa. Wa Iran walioweingi hawautaki huo utawala Wala uislam. Ni kama Tanzania jinsia watu walivoichoka CCM ila ndio inatumia nguvu kubaki madarakani.
Walio wengi wangapi?
Utafiti umefanya wapi?
Kama haujafanya utafiti tupe chanzo cha taarifa yako!
Au ndio Trump kasema!?
 
IMG_7503.png

An “unprecedented confrontation” is unfolding between Prime Minister Benjamin Netanyahu and IDF Chief of Staff Eyal Zamir regarding an effort by Israel’s political leadership to order some kind of military action relating to Iran just before Tuesday’s election, Channel 12 reports.

Zamir is reportedly resisting carrying out the unspecified military action, and has reportedly sought signed documentation from Netanyahu regarding legal authorization for it.

The issue has come to a head in the past 24 hours, the network says, noting that its report is being broadcast within the limitations of Israel’s military censorship regulations.




Unnamed political sources deny the report, Channel 12 says.

The context is the “Iranian issue” and “the concern of Zamir and the military echelon that the political echelon could lead Israel into a scenario of miscalculation facing Iran just before the elections,” the report says.

It quotes a military source saying, “This relates to an action that could lead to a flare-up with Iran, at a sensitive and dramatic moment, creating this [potential] miscalculation.”

The report further quotes unnamed sources familiar with the issue, who say there is a concern among military leaders regarding an effort by the political leadership “to utilize the Iranian issue for political benefit.”

It quotes unnamed political sources denying this as “a complete lie.”

It adds that the hostility and the poor relations between Netanyahu and Zamir were evident at a discussion today at Palmahim Airbase, where the atmosphere in the room was “extremely sour.”

In recent days, the report elaborates, Zamir received an unspecified “instruction” from the political echelon. This prompted Zamir to request a serious discussion before carrying out the instructed step. He further requested “legal, signed documentation” from Netanyahu regarding this move.

The report quotes a senior security source saying, “History will not forget the role that Zamir has played in recent days.”
 
Udhaifu upi wakati Iran inachechemea hawauzi mafuta, pesa zimekuwa frozen, mnaotaga sana.
Wiki iliyopita Rais wa Iran alikiri nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi. Watu wanahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kutokana na njaa, wanaenda sehemu zingine ili kupata vyakula.
 
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.

"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.

Wewe bado unaamini maneno ya Trump ambaye kila kukicha yanabadilika. Ameshinda vita vya Iran mara 8 na kuteketeza jeshi lao akasema halina tena nguvu kabisa. Sasa sijui anakwenda kupigana na nani wakati vita alishaishunda mara nane.
Anasema haongei na Iran wakati juzi juzi akiwa anahutubia alisema mambo mabaya hata hawajui waongee na nani maana hawajui nani yuko in control, ikiisharia kwamba walitaka mazungumzo ila hawajui wazungumze na nani.
Any way it seems mashambulizi soon yanarudi. Cuba aombe vita iendelee huko maana huyo kichaa akimalizana na Iran anaenda Cuba nayo aichukue kama alivyochukua venezuela.
Haya yangefanywa na China au Urusi, vyombo vya habari na nchi za Ulaya zingepiga kelele hatari
 
Back
Top Bottom