Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,470
- 7,868
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.
"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.
Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.