Iran ijiandae kwa kipongo cha Mbwa-koko!!

Netanyahu sio katili chief jinsi alivyo ndivyo unatakiwa uishi na waarabu. ni mashetan pasee. nenda nao kwa. stahili hiyo utafika.
Waarabi wametawala Palestine kwa mamia ya miaka, hapakua na kuuana wala kukwaruzana
Wakaja hao wateule feki
 
Iran hawaiwezi bana ni vile trump ana ujinga wa kujimwambafy yaan vita haiyakoma na tunaoathirika ni sie masikini, imagine vita ya Iran na 🇺🇸 vituathiri na bado nchi tunayoishi haieleweki😢
 
Waarabi wametawala Palestine kwa mamia ya miaka, hapakua na kuuana wala kukwaruzana
Wakaja hao wateule feki
una uhakika mzee hakukuwa na mauaji. au hujasoma historia ya hilo eneo. hilo eneo hakuna enzi limekaa bila vita miaka yote. hata uislam ulilitwaa hilo eneo kwa vita
 
Hayo ni mawazo yako Mgando!! Hivi Wafuga midevu na Majini mna matatizo gani?

Magaidi wa Hamas walipovamia Israel na kuua watu huko mlishangilia sana na juwaramba Makalio magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth lakini israel ilipoanza kujibu mapigo wote sasa hivi mnalialia tu.

Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Iran lazima waisome namba kipondo kiko palepale tu
Labda munaolia ni lgbtq+ ila ikitokea umepata fursa ya kuua wazayuni unatakiwa usiiache ikakupita bure bure
Wale jamaa ni kheri ukaishi na nguruwe na mbwa chumba kimoja ila sio wale washenzi
 
Hayo ni mawazo yako Mgando!! Hivi Wafuga midevu na Majini mna matatizo gani?

Magaidi wa Hamas walipovamia Israel na kuua watu huko mlishangilia sana na juwaramba Makalio magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth lakini israel ilipoanza kujibu mapigo wote sasa hivi mnalialia tu.

Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Iran lazima waisome namba kipondo kiko palepale tu

Hivi ni vita ya kibiashara na siyo ya kigaidi
 
Marekani anahamisha vifaa vyake toka GCC na wafanyakazi kwenye balozi zake,vipi hawezi kujilinda?

Umeona ripoti ya kichapo toka Iran kikivyofichwa,ikielezewa na wanajeshi wa marekani?
Iran siyo Venezuela,jiandae na kukosa internet
Iran bado kipigo kinarudi wewe unafikiri mchezo umeisha, lala hapo.
 
mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.
Waambie imeishakula kwao.
====
The two unnamed suspects were arrested following an intelligence operation carried out by the IRGC Najaf-e-Ashraf Strategic Headquarters, which oversees the western Iranian provinces of Kermanshah, Hamedan and Ilam, and the Ansar al-Rasoul Special Brigade.

During the operation, ten Starlink satellite internet terminals, ten Kalashnikov rifles, and 5,200 bullets for pistols and Heckler & Koch G3 battle rifles were discovered and confiscated.
====
 
Udhaifu upi wakati Iran inachechemea hawauzi mafuta
Iran will never allow US military vessels to enter the Persian Gulf, the country’s top military commander has warned, saying US naval forces are no longer capable of approaching the waters surrounding the strategic waterway.

Major General Ali Abdollahi, Chief of the General Staff of Iran’s Armed Forces, made the remarks while pointing to successive US military defeats in West Asia.

He said Iran’s Armed Forces have rendered the US Navy ineffective, despite Washington’s portrayal of the force as a symbol of American power and its use to threaten countries in the region and beyond.

“The US president must only dream of their military and army entering the Persian Gulf again. They will take this wish to their graves,” Abdollahi said.

“We will under no circumstances and at no time allow rusty US military vessels to enter the Persian Gulf,” he added.
 
Uzuri za kwao ndio kabisaa hazipiti. Wenzao wanapitisha angalu 10 Hadi 16 kwa siku, japo sio kiwango kikubwa ila zinapita.
 
Hayo ni mawazo yako Mgando!! Hivi Wafuga midevu na Majini mna matatizo gani?

Magaidi wa Hamas walipovamia Israel na kuua watu huko mlishangilia sana na juwaramba Makalio magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth lakini israel ilipoanza kujibu mapigo wote sasa hivi mnalialia tu.

Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Iran lazima waisome namba kipondo kiko palepale tu
punga wewe kumbe hao ndio vyanzo vyako vya taarifa, kweli bichwa limejaa mavi
 
Wapo smart ndio maana wapo na IRGC
Wangekuwa na IRGC wasingeandamana wakauwawa maelfu, internet isingekatwa. Wa Iran walioweingi hawautaki huo utawala Wala uislam. Ni kama Tanzania jinsia watu walivoichoka CCM ila ndio inatumia nguvu kubaki madarakani.
 
Back
Top Bottom