Iran ijiandae kwa kipongo cha Mbwa-koko!!

bora Netanyahu arud kuna jamaa mmoja akipata hiyo kitu ni nouma
Itamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.

Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
 
Hata mimi nataka Benjamin Netanyahu asirudi aje kiboko yenu Waziri wa Usalama Gvir ili muisome namba vizuri.

Netanyahu wakati mwingine huwa ana utu na anasikiliza vilio vya watu!! Uzuri wa Gvir ni mbele daima nyuma mwiko mpaka magaidi waishe!!
Hao wavaa pampers hata wewe mwenzao ukienda kuwasaidia mutapakatwa tu yaani
 
ukijua sodoma ilikuwa wap na ni.kizazi gan kilifanya huo uchafu hupati shida ninan hasa mashoga. au ukipata muda nenda kwenye ngoma za kiasili za kiarabu hapo uarabuni uone wanaume wanavyokata mauno.
Ila usisahau kwenda na Vatican na teli avivu uone parade lenu
 
Itamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.

Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
baba humjui huyo jamaa. ni Eriol Sharon aliyechangamka
 
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.

"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.

Iran ilijiandaa na hii vita miaka 40 iliyopita na udhaifu wa USA umeshaonekana
 
Hayo ni mawazo yako Mgando!! Hivi Wafuga midevu na Majini mna matatizo gani?

Magaidi wa Hamas walipovamia Israel na kuua watu huko mlishangilia sana na juwaramba Makalio magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth lakini israel ilipoanza kujibu mapigo wote sasa hivi mnalialia tu.

Kwa taarifa yako tu Magaidi wa Iran lazima waisome namba kipondo kiko palepale tu
 
Attachments

  • ec24d6aac4023b9586407b1f9543216b.mp4
    6.8 MB
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.

"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.

Nenda mfereji wa Hormuz ukaokote Iphone na pafume akili yako inaweza ikachangamka kidogo
 
Attachments

  • Screenshot_20261023-213250.jpg
    Screenshot_20261023-213250.jpg
    91.7 KB · Views: 1
Itamar Ben Gvir, Israel Katz au Smotrich wanatokea vyama vidogo hawawezi fikisha hata 20% wote watatu kwa pamoja kwahiyo hakuna namna watatoa waziri mkuu.

Alternative ya Netanyahu ni Gadi Eisenkholt ambaye ni moderate zaidi na anaweza maliza migogoro mezani sio kwa makombora.
Israel hamna kiongozi anaweza kuwa moderate, yaani tena magaidi wa Hamas wawaue waisrael halafu utegemee waisrael wakae mezani na magaidi kisa wana waziri mkuu asiye Netanyahu.!!!

Hiyo itakuwa ni Israel ya Kondoa Irangi.
 
Wapo kibao tu moderates labda haujui siasa za Israel. Hata huyo Netanyahu uchaguzi uliopita alipata 20% pekee!!

Kwa sasa waarabu wanakamata 20% ya kura zote za Israel so ili chama kiwe majority lazima kiwe na alliance na wabunge wa kiarabu.

Na ili waarabu wakuunge mkono obviously lazima uwe moderate. Ni hivi waarabu wanazaliana kuliko wayahudi so vote share yao inazidi kukuwa kila uchaguzi!! So hakuna namna radicals watawahi kutawala tena.
 
Rais Donald Trump anasema Marekani haifanyi mazungumzo na Iran, na anaonya kuwa huenda kukatokea tukio kubwa kuhusiana na mzozo huo hivi karibuni.

"Kitu fulani kitatokea, kwa namna moja au nyingine, hivi karibuni," Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege ya rais (Air Force One), akiongeza kuwa watu wengi wanatarajia hilo litatokea baada ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani.

Kauli yake inafuatia ripoti ya gazeti la New York Times kwamba Washington na Israel zimeandaa mipango ya mashambulizi mapya ya kijeshi dhidi ya Iran baada ya mwezi Novemba.

Marekani anahamisha vifaa vyake toka GCC na wafanyakazi kwenye balozi zake,vipi hawezi kujilinda?

Umeona ripoti ya kichapo toka Iran kikivyofichwa,ikielezewa na wanajeshi wa marekani?
Iran siyo Venezuela,jiandae na kukosa internet
 
Back
Top Bottom