Iran Hiding Flight MH370 Boeing--Israeli Security Expert

Iran Hiding Flight MH370 Boeing--Israeli Security Expert

Hujui unachosema..! Na wala hujui chcht kuhusu Israel
Israel ana nini zaidi ya kuomba omba msada wa USA. Juzi juzi kusukumiwa Scud 50 na Hamas hakuweza kuziangusha isipokuwa tano tu.

Hazbullah kampiga kipigo kingine au huwa hamsomi.
 
mkuu unazo taarifa zozote kuhuzu uwezo wa Israel katika utengezaji wa silaha za neclear na mambo yanayohusu tiba? nako ni tegemezi? kuna mkono wa nchi gani ya nje hapo. marekeni? unahitaji kiwanda kikubwa kiasi gani chini ya ardhi kutengeza nuclear war head?

Sikuwa na maana ya kudharau uwezo wa isarel bali post yangu mara ya kwanza kabisa ilikuwa ni kumkumbusha yule aliyesema kuwa Isareli haina uwezo wa kupigana na Misri. Katika kukumbusha kuwa Isralei iliwahi kuipiga Misri tena siyo mara moja tu nikagusia kuwa baada ya kuwekeana mkataba wa amani, jeshi la Misri na Isarei limekuwa linapata msaada wa kijeshi mkubwa sana kutoka Marekani ambamo wanapewa silaha na fedha. Sasa huyu alinikurupukia kudai kuwa waisraeli hawaitegemei marekani kwa silaha bali marekani ndio wanaoitegemea israeli kwa wanasayansi nikmwona ni mpuuzi wa kupita kiasi hivyo nikamsahihisha.

Baada ya kumsahihsisha naona na wewe unakuja na deflection nyingine tena isiyohusika. Sijasema waisraeli hawana viwanda, ninachosema ni kuwa hawana viwanda vya silaha kali za kivita, hasa ndege, vifaru, manowari na magari ya deraya. Sikusema kuwa hawajui kutengeneza madawa wala kalamu, hapana wanajua kutengeza vitu vingi sana lakini siyo silha hizo. Kama una uhakika nimabie ni vifaru gani vinatengenzwa isareli kama siyo wao kuwekea armour tu. Ni kweli wana mabomu ya nyuklia waliyojengewa na wafaransa, lakini vita ya siku hizi haipiganwi kwa mabomua nyuklia, na wala usitegemee taifa lenye akili likitumia bomu la nyuklia dhidi ya taifa jingine unless taifa hilo halina interest na kulinda nchi yao wenyewe. Watu wanakuwa nayo kuonyeshana ubabe tu; woga mkubwa ni pale yatakapoingia mikononi mwa terrorists ambao hawana nchi ye kutetea bali wako tayari kuunguza kila kitu pamoja na wao wenyewe.!
 
usipuuzie maoni hayo ndugu. hawa watu wana vipaji vya kufikiri vya ziada. unaweza ukute ni kweli. ndege haiwezi kujificha bila kufichwa. ingekuwa ajali ndege ingeshaonekana
kama wana vipaji vya kufikiri sasa si waitafute?
 
Sikuwa na maana ya kudharau uwezo wa isarel bali post yangu mara ya kwanza kabisa ilikuwa ni kumkumbusha yule aliyesema kuwa Isareli haina uwezo wa kupigana na Misri. Katika kukumbusha kuwa Isralei iliwahi kuipiga Misri tena siyo mara moja tu nikagusia kuwa baada ya kuwekeana mkataba wa amani, jeshi la Misri na Isarei limekuwa linapata msaada wa kijeshi mkubwa sana kutoka Marekani ambamo wanapewa silaha na fedha. Sasa huyu alinikurupukia kudai kuwa waisraeli hawaitegemei marekani kwa silaha bali marekani ndio wanaoitegemea israeli kwa wanasayansi nikmwona ni mpuuzi wa kupita kiasi hivyo nikamsahihisha.

Baada ya kumsahihsisha naona na wewe unakuja na deflection nyingine tena isiyohusika. Sijasema waisraeli hawana viwanda, ninachosema ni kuwa hawana viwanda vya silaha kali za kivita, hasa ndege, vifaru, manowari na magari ya deraya. Sikusema kuwa hawajui kutengeneza madawa wala kalamu, hapana wanajua kutengeza vitu vingi sana lakini siyo silha hizo. Kama una uhakika nimabie ni vifaru gani vinatengenzwa isareli kama siyo wao kuwekea armour tu. Ni kweli wana mabomu ya nyuklia waliyojengewa na wafaransa, lakini vita ya siku hizi haipiganwi kwa mabomua nyuklia, na wala usitegemee taifa lenye akili likitumia bomu la nyuklia dhidi ya taifa jingine unless taifa hilo halina interest na kulinda nchi yao wenyewe. Watu wanakuwa nayo kuonyeshana ubabe tu; woga mkubwa ni pale yatakapoingia mikononi mwa terrorists ambao hawana nchi ye kutetea bali wako tayari kuunguza kila kitu pamoja na wao wenyewe.!

hapo nimeshiba! na hii hapa nayo imeipenda sana hii: Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo. wewe ni kichuguu? ha ha ha ha.......
 
Sasa upatikanaji wa ndege unakaribia, ...niliwahi kujiwa na mawazo ya kijinga niliyoyabandika hapa JF.

https://www.jamiiforums.com/news-an...laysia-airlines-flight-370-a.html#post8955945

Mawazo yangu yalihusishwa ...blackmailing...dhidi ya wachina. Kwa maelezo ya huyu muisrael anayefanya kazi huko US. Kuna uwezekano wa kuwa'frame' wairan hawa ili US na Israel ikidhi matakwa yake ya kuigombanisha China na Iran (maana wanauhusiano mzuri) wakati huo huo wakiwalaghai mataifa mengine wafanye uchunguzi juu ya ardhi ya Iran (maana amesema . “They hijacked the aircraft and they landed it in a place that nobody can see or find it.”). Lengo wapate mwanya wa kuipeleleza kijeshi na wapange vizuri mikakati ya kuishambulia. Nadhani China ianze kuwa chunguza hawa waliotoa tuhuma hizi, kunauwezekano wameficha hii ndege.

Assumption hii ya kuhituhumu Iran wakati wanaoituhumu Iran hawana uhusiano mzuri na Iran unanifanya niamini kile nilichoandika hapo juu.
 
kambi za kijeshi za nchi zilizoendelea hazipo naked kama za hapa kwetu to the extent that unawezo kufanya surveillance kutokea angani...kunakuwaga na anti-satellite shield hivyo ni vigumu sana aisee!

Where do you think plane might be?
 
Kwa hiyo kumbe hata founding fathers walikuwa Wayahudi eeh? Na baada ya wao kuandika katiba ya Marekani (ambayo kwa kweli ni timeless) ndo Marekani ikaanza kuwa bonge la taifa?

Halafu, hao Wayahudi na hizo akili zao ilikuwaje Hitler akawakaanga namna hiyo hadi wengine wakakimbilia Marekani? Hawakuwa na akili za kumdhibiti au....?

Hapo mkuu umetoka nje ya topic, kumbuka ulikuwa unaongelea NASA.
Sisemi kwamba wayahudi wana akili sana hapana, isipokuwa marekani ni mchanganyiko wa mataifa mbalimbali including wayahudi, na wao kama mataifa mengine wanamchango wao kwenye technolojia ambazo zimo marekani.

Hitler aliwasumbua ni kweli na walikimbilia marekani ili waweze kumtengeneza vizuri. Huyu jamaa Wernher von Braun na timu yake baada ya kuja marekani ndio walio design na ku modify silaha zilizomng'oa Hittler.

V2ROCKET.COM - Wernher von Braun

Hao founders wamepewa nchi na wafaransa, walishindwa kuitwaa nchi kutoka kwa waingereza na timu yake baada ya kuasi.

Hao founders wenyewe asili yao sio marekani.
 
Hapo mkuu umetoka nje ya topic, kumbuka ulikuwa unaongelea NASA.
Sisemi kwamba wayahudi wana akili sana hapana, isipokuwa marekani ni mchanganyiko wa mataifa mbalimbali including wayahudi, na wao kama mataifa mengine wanamchango wao kwenye technolojia ambazo zimo marekani.

Marekani ukianza kuangalia nani ana asili ya wapi na ukishajua asili yake unaacha kumwita Mmarekani basi hatma yake utaishia kutompata Mmarekani. Hiyo ni kwa sababu Marekani ni taifa la wahamiaji.

Ukitumia mantiki ya kuangalia unasaba wa mtu basi hata Bill Clinton si Mmarekani, ni m-Irish. George Bush si Mmarekani, ni Mwingereza. Colin Powell si Mmarekani, ni Mjamaika, Obama si Mmarekani, ni Mkenya....unaona sasa huo upuuzi?

Kwa hiyo habari za kusema kwamba sijui mwanasayansi fulani kwa vile ana asili ya sehemu fulani licha ya kuzaliwa Marekani au licha ya kuhamia Marekani na kutoa mchango wake kwa hilo taifa lake jipya, kwamba si Mmarekani ni upuuzi tu.

Marekani ina mazingira na taasisi zinazowezesha kurutubisha vipaji vya watu. Na hayo mazingira na hizo taasisi hayakutokea tu. Yaliundwa. Tena yaliundwa na watu wenye akili. Ndo hapo hoja ya hao Founding Fathers inapokuja. Huwezi kuwa na mazingira wala taasisi imara kama huna misingi imara. Na huwezi kuwa na misingi imara kama huna akili ya kujenga misingi imara.

Hitler aliwasumbua ni kweli na walikimbilia marekani ili waweze kumtengeneza vizuri. Huyu jamaa Wernher von Braun na timu yake baada ya kuja marekani ndio walio design na ku modify silaha zilizomng'oa Hittler.

Bila hata huyo von Braun Marekani ingekuwa juu tu. Na kuhusu kumng'oa Hitler, hata Alan Turing, Mwingereza wa Uingereza, naye alitoa mchango mkubwa sana katika kuvunja codes za German Enigma Machine ambako kulipelekea majeshi ya Allies (ikiwemo Marekani) kuweza kupata intelijesia dhidi ya majeshi ya Hitler. Aliongoza timu iliyounda mashine iliyoitwa bombe ambayo iliweza ku-decode meseji za Wajerumani.

Wanahistoria wanasema kwamba bila yeye na timu yake kuunda hiyo mashine basi hiyo vita isingeisha kwa wakati iliyoisha. Kwa hiyo waliochangia kuimaliza hiyo vita ni wengi na Alan Turing ana mchango mkubwa sana. Sina hakika kama umewahi hata kumsikia lakini unaweza kum-google ujifunze juu yake.

Hao founders wamepewa nchi na wafaransa, walishindwa kuitwaa nchi kutoka kwa waingereza na timu yake baada ya kuasi.

Huh? Nani walishindwa kuitwaa nchi?

Hao founders wenyewe asili yao sio marekani.

Marekani ni nani ambaye asili yake ni Marekani? Mi ninachojua Marekani tokea miaka ya 1600 ni Nation of Immigrants.....
 
naona hitler aliwalia tu timingi...kila binadamu ana flaw mkuu; hata akiwa na akili kiasi gani.

Aliwalia timing wengi hivyo? Na badala ya kubaki wamdhibiti na hizo so called akili zao wakakimbilia nje.

They are way overrated.
 
Aliwalia timing wengi hivyo? Na badala ya kubaki wamdhibiti na hizo so called akili zao wakakimbilia nje.

They are way overrated.

mkuu nyani ngabu wakati mwingine retreat ndiyo akili yenyewe. kilichomaliza vita kuu ya pili ya dunia ilikuwa ni akili hiyohiyo ya waisraeli. nadhani utakumbuka kichocheo cha vita hii kilikuwa kichaa cha huyo hitler unayemwona kiboko cha waisraeli. pengine utakumbuka pia kuwa walimkimbia wakaenda marekani na huko walienda na lengo la kumrudia huyohuyo kiboko chao, na hivyo ndivyo ilivyokuwa. atomic bomb lililomaliza vita kuu hiyo ya pili ya dunia lilitengezwa kwa msaada mkubwa sana wa wanasayansi wenye asili ya israeli, ikiwa hivi: kwamba kwa kukimbia kwao, walimnyang'anya hitler akili ya kutengeza bomb hilo yeye na kulitumia dhidi ya wanadamu. japo hawakuokoa maisha ya ndugu zao kwa mamilioni kwa sababu ya kuchelewa sana kuleta hiyo dawa, lakini waliweza ndiyo maana wakabakia waisraeli wachache ambao wameendelea kuzaliana. na kwa historia ya vita kuu ya pili ya dunia unakuta kumbe waisraeli ndio waliokuwa kiboko cha hitler na si vinginevyo.
 
1)Huh? Nani walishindwa kuitwaa nchi?

2)Marekani ni nani ambaye asili yake ni Marekani? Mi ninachojua Marekani tokea miaka ya 1600 ni Nation of Immigrants.....

1)Hao unaowaita wamarekani ndio walioshindwa kuitwaa America baada ya kumuasi bosi wao Muingereza, mpaka walipokopa ufaransa nakusaidiwa na ufaransa na deni hawakulipa. Hivyi unafahamu tofauti ya uhuru wa marekani na uhuru wa nchi kama yetu ya Tanzania? Kwa jinsi ulivyouliza inawezekana haujui historia ya mapigano ya kuwaasi waingereza.

2)Hivyo ndivyo unavyotakiwa kufahamu kwamba marekani ni taifa la wahamiaji.
 
Lakini miongoni mwa hao immigrants kundi moja ndio lililoibuka na kuwa na nguvu kuzidi woote na kukamata the whole american system..and those are jews!
 
Wewe ni mpuuzi tu ukiwa unaongea porojo bila kuwa na uhakika bali imani na hisia zao zinavyokutuma:

(1) Utashangaa sana utakapogundua kuwa maprofesa wengi maarufu katika engineering kwenye vyuo vingi vya Marekani ama ni Wahindi, au Wachina au Wairani; siyo waisrael.

(2) Silaha nyingi sana kubwa kubwa huko zinatoka Marekani; juzi juzi walijengewa missile defence system iliyoitwa iron dome ili kukabiliana na makombora ya hamas. Ndege zote za kivita za jeshi la Israel ama ni za kimarekani au ni za kifaransa. Hawana kiwanda cha ndege hata kimoja, hata kiwanda cha gari hawana ingawa wanategeneza body za magari zinazohimili milipuko (armoured vehicle body). Viwanda vyao vikubwa vya kijeshi ni vya mizinga tu, hiyo ni kweli lakini vita haipiganwi kwa mizinga tu, wanahitaji vifauru na magari ya kivita kutoka Marekani.

(3) Karibu nchi zote kubwa kubwa zinategeneza bunduki zao wenyewe, hiyo ikiwa ni pamoja na Israel, Misri na hata Iran; kwa hiyo sidhani unahesabu bunduki kama silaha kwa vile hakuna ushindani mkubwa sana katika utengezaji wa bunduki leo hii.
Mkuu, ukifanikiwa kufika mji wa viwanda Rehovot, Israel utaona kiwanda kinachofanya tafiti ya kutengeneza ndege zisizo na rubani, robot ni. Pia, Iron Domes za kisasa wanatengeneza wenyewe na ni Very expensive.
 
Alafu nasikia ndege iliyotumwa kutafuta ndege na yenyewe imepotea..duuh hili sasa balaa aisee...!
 
Tuwekee wewe Ukweli unao ujua zaidi ya Taarifa hii si busara kufanya haraka kupinga kila jambo bila ya kutafakari.

the sme applies to the silly israeli, wamefanya haraka kussugest

the jury is still out there... and we learn more

ni propaganda za kipumbavu kabisa kulazimisha vita simply becuase they hate iran
 
Back
Top Bottom