Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
- Thread starter
- #41
Jamani tuacheni kujipotosha wenyewe, niambieni irani ilishafanya tukio lipi la kiujasusi kwa nchi njingine hadi mkaichukia hivi.Israel ishafanya ujasusi,mauaji mengi sana ,marekani kawa mungu anatoa haki nani anapaswa kuishi nani apaswi. Basi nakupa siri ktk kila technology ya muirani hakuna involvement ya western. Platform za mafuta wapo wao tu ukilinganisha na majirani wake. Ndani ya irani kuna mwarabu, muhindi ,Jewish blood. Hicho ndicho kinacho wapa roho juu,wapo peace si kama unavyozani wewe. Jaribuni kuchanganua mambo kila baya Iran,siraha za Congo ,kubwa sana zimetoka wapi,ingekuwa made in Iran kosa but made in Israel sawa.
Enjoy the powder!