Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
- Thread starter
- #61
Yani hawa waIsrael sijui wanafikiria kwakutumia mi------! Assumption gani za kupuuzi na kijinga kiasi hiki eti inawezekana waIran wakawa wameiteka na kuipeleka sehemu isiyojulikana au ipo IRAN hivi ktk ulimwengu wa leo ni wapi pasipojulikana? Au hoyp ndege ilikua na fuel kiasi gani chakusafiri hadi Iran bila kuongeza mafuta popote pale? Hivi hao waIran walikua na silaha gani ambazo hazikuonekana kwenye scanner za uwanja wa ndege? Hivi masetelaiti ya nchi zilizoendelea hazipo au hii nayo ni conspiracy kmya sep 11...
ndiyo hapo sasa....