Iran Hiding Flight MH370 Boeing--Israeli Security Expert

Thubutuu!!! Israel aingie Irani? Labda hawajipendi, labda waingie kaka zake America nk. Peke yake hata Egypt haiwezi.

hivi kuna mtabiri yeyote kawahi kutabiria vita kuu ya dunia ya tatu itaanzia wapi? mbona mi naona kama inaweza kuanzia mashariki ya kati? au we unaonaje....
 
usipuuzie maoni hayo ndugu. hawa watu wana vipaji vya kufikiri vya ziada. unaweza ukute ni kweli. ndege haiwezi kujificha bila kufichwa. ingekuwa ajali ndege ingeshaonekana

Ndugu yangu nakusihi ubadilishe jina la avatar yako liwe "KIONA MBALI"
 
nikushukuru sana kwa heshima uliyonipa ndugu yangu. tatizo ni kwamba naogopa sana kusema uwongo highlander mie....
 
Ndege ilishatua Iran, na passengers wote their fate is unknown na itabadilishwa rangi haraka sana na kupatiwa jina ikisubiri kazi maalum!!! Hivi Malaysia na Iran wana ugomvi wowote? Ninaamini ndege ile ilitekwa kwa kuwa na kazi maalum baadaye!!! Ni mtazamo wangu tu huu. Eti ndege ipotee kabisa!!! Hatari sana hii!!
 
sababu zinaweza kuwa nyingi. kazi maalum sawa, lakini mojawapo inaweza kuwa kuiba teknolojia ya ndege. iran inahitaji technical know how ya west ambayo pengine inakosekana. na ndege za kisasa zina vikorombwezo vingi sana ambavyo pamoja na kujtumika uraiani vinaweza kugeuzwa malengo vikawa vya kijeshi.

katika kichwa cha wairan kinachowaziwa ni ugomvi, vita na kumwaga damu za watu 24/7. hii ndege inaweza kuchukuliwa kwa ajili ya kubomoa vifaa fulani vya kisasa vitengezwe copy kuvitumia kivita.

Wachina waliwahi kuiba teknolojia ya Ndege za kivita kutoka Marekani kwa njia kama hiyo huko nyuma, ingawa haikuwa kwa njia ya utekaji. Kama nakumbuka vizuri walipitia katika mojawapo ya nchi za kiarabu kujifanya inanunua hiyo Fighter aircraft kutoka marekani. Ilipotua tu hapo Arabuni--nadhani ilikuwa Yemen, siku hiyohiyo iliondoloewa na kupelekwa China ikabomolewa fastafasta yote na kusomwa. Wakaanza kutengeza copies.
 
Mkuu hakika naiona point hapa. Ila kwa wachina ni kiboko sana. Sasa tunataka wale binadamu wakiwa hai. Haitakuwa vema kuwaua.
 
they have wasted valuable time by exploring other leads.

“What happened to this aircraft, nobody knows. My guess is based upon the stolen passports, and I believe Iran was involved,” he said. “They hijacked the aircraft and they landed it in a place that nobody can see or find it.”

SOURCE: Ex-El Al expert: Iran likely involved in MH 370 | The Times of Israel

Where do Iranians get the nerves to orchestrate that tragic loss to the Chinese while it's obvious that hao chinese ndio wanamkingia kifua huko kwenye secutity council?
 
aiseee!!! good observation. ujue hii inaanza kuileta China kwenye picha sasa. tunajua ndege ilitekwa. ilitekwa na wairan? yes and no... hawa maharamia wawili wanaozungumzwa isije kuwa ni wairan kweli lakini mastermind si mu-iran. kama alivosema mchangiaji mmoja hapa labda tulipe hili jambo tu time. we are going to know eventually.
 
Ngumu kumesa, kwa nini wasiwe waisrael wameitekesha ndege thru irani ili kukamilisha jambo lao fulani?
 
aiseee!!! good observation. ujue hii inaanza kuileta China kwenye picha sasa. tunajua ndege ilitekwa. ilitekwa na wairan? yes and no... hawa maharamia wawili wanaozungumzwa isije kuwa ni wairan kweli lakini mastermind si mu-iran. kama alivosema mchangiaji mmoja hapa labda tulipe hili jambo tu time. we are going to know eventually.

Iran, China and Russia are both mutually dependent which means they may conspire against the western interest but none among them might even think of causing harm to its peers with that coallition putting in mind that the west are many and strong compared to them!
 
good observation again; it connects the theory better, too! what this may then be, is that it may be an Iranian hijack but with a wider motive! a very plausible, agreeable theory.
 
Jamani tuacheni kujipotosha wenyewe, niambieni irani ilishafanya tukio lipi la kiujasusi kwa nchi njingine hadi mkaichukia hivi.Israel ishafanya ujasusi,mauaji mengi sana ,marekani kawa mungu anatoa haki nani anapaswa kuishi nani apaswi. Basi nakupa siri ktk kila technology ya muirani hakuna involvement ya western. Platform za mafuta wapo wao tu ukilinganisha na majirani wake. Ndani ya irani kuna mwarabu, muhindi ,Jewish blood. Hicho ndicho kinacho wapa roho juu,wapo peace si kama unavyozani wewe. Jaribuni kuchanganua mambo kila baya Iran,siraha za Congo ,kubwa sana zimetoka wapi,ingekuwa made in Iran kosa but made in Israel sawa.
 
Back
Top Bottom