Iran has killed all spies

Person 1: "What did U do when SA attacked you?"
Person 2: " I ran"
 
Mzee Iran waliwataarifu Iraq masaa6 kabla ya mashambulizi...Iraq wakawataarifu USA masaa mawil kabla sasa kama angekufa Mtu si ingekuwa ujinga?
BADO UJINGA UPO PALE PALE: Kitendo cha mfumo wao wa ulinzi kushindwa kuzuia makombora kupiga kambi kumewashtua. ni KAMA WAMEVULIWA NGUO HADHARANI. Kufa ama kutokufa kwa sasa siyo issue,issue ni USALAMA WA ASKARI WAO VITA VIKIZUKA! HAWAJIAMINI TENA.
 
BADO UJINGA UPO PALE PALE: Kitendo cha mfumo wao wa ulinzi kushindwa kuzuia makombora kupiga kambi kumewashtua. ni KAMA WAMEVULIWA NGUO HADHARANI. Kufa ama kutokufa kwa sasa siyo issue,issue ni USALAMA WA ASKARI WAO VITA VIKIZUKA! HAWAJIAMINI TENA.
Kumpiga teke chura sio kumkomoa bali ni kumuongezea mwendo
Hawajutii,wamejifunza so next time watakua more careful na usitegemee kitu kama hiko kitajirudia...
 
I thought to ask the same question

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatafuta pakutokea


Mbona mnatia hasira ndugu wa wafiwa nyie? Hii shughul Iran imechemka... acheni kuokoteza fix..spy wapande dege moja kama tipa la mchanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"I say gentlemen, I do believe we are in a quite spot of bother "
 
uko makini kiongozi
 
Mkuu uko vizuri sana kichwani ,mada hii imewashinda wengi mno kuielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana Nchi za Ulaya na America kusini zinawapa watu uraia ili ziwatumie, au wanatuma watu wao huku kuja kuishi na kufanya shughuli kama kilimo au biashara ili kurahisisha mambo ya ujasusi, Wahindi na waarabu wanatumika katika hili
 
Mzee Iran waliwataarifu Iraq masaa6 kabla ya mashambulizi...Iraq wakawataarifu USA masaa mawil kabla sasa kama angekufa Mtu si ingekuwa ujinga?
Sawa hawakufa watu ila mifumo yao yaulinzi ilikua wapi mpaka kuruhusu makombora yaka piga kambi zao


Kwamaana kama sio taaarifa wangekufa kama kumbi kumbi .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wana ubavu c wakifute hako kakundi wanachokaita kakigaidi wauone moto wake utakavyo wawakia


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Israel ndo msajiri wa vyama vya siasa Lebanon hadi akifute cha hezbollah!! Kama ni kufuta chama si angefuta hamas! Israel haina mpango wa kufuta vyama vya siasa vya nchi nyingine, hao Hezbollah wanakwazana na Israel sababu ya kuisadia hamas, lakin pamoja na kusaidia bado wameshindwa kuizuia Israel kuendelea kukalia maeneo ya waarab, yaani mtu anakuja kujenga nyumba kwenye kiwanja chako afu wewe na ukoo wako mnaishia kupiga yowe tu!. Huko nyuma walijaribu kushirikia lakini mbabe akamaliza mchezo ndan ya siku 6.
Iran ndo ajaribu kuifuta Israel kwenye uso wa dunia kama alivyawaaminisha nyie wananchi wake, si mnapenda mabikra?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan HIZBULLAH Ndio Wenye Nchi HIZBU c Nikakikundi tu Chawanaharakati Kilichojikusanya Kupambana Na ISRAHELL Sasa wanashindwa Vipi Kukifuta (Kukiondoa Kwa Njia Yakijeshi au ndio wanazidi kuwaogopa kama hamas
)

Wayahudi hawawezi kukabiliana na matishio ambayo yapo mlangoni mwao ya HAMAS na HIZBU watawaweza WAAAJEMI


Halafu Haya Mabikra Hua Ynawauma Sana Eeeh Poleni Lakinj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…