Wewe sema tu kwamba ni uzushi lakini kusema kuwakamata kungekuwa na faida maradufu sio hoja! Sio hoja kwa sababu unachoweza kupata ni intel kwamba ndani kuna spies or spy wanaotumia Canadian Passport lakini unaweza usiwe na uhakika ni yupi na yupi among 63 passengers with Canadian Passport!!Mkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.
Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi
Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
Wanawachelewesha ndo maana wakamuua soleimaniUzuri Iran hua haiwacheleweshi hao wadudu wa US,mwaka jana waliwadaka kadhaa.View attachment 1320625
dodge
Wewe sema tu kwamba ni uzushi lakini kusema kuwakamata kungekuwa na faida maradufu sio hoja! Sio hoja kwa sababu unachoweza kupata ni intel kwamba ndani kuna spies or spy wanaotumia Canadian Passport lakini unaweza usiwe na uhakika ni yupi na yupi among 63 passengers with Canadian Passport!!
Je, utawaweka wote ndani?! Mbaya zaidi, unaweza kuwa na intel ambayo haijakamilika na kuwafanya mukamate wasio husika na kuwaacha au kumwacha jasusi husika!!!
Halafu hiyo kuwakamata ingekuwa na faida mbona kama umeizungumzia kirahisi sana?! Hivi unaamini US wanaweza kupeleka spies uchwara Iran wakati wanajua kabisa wakidakwa kitanzi kinawahusu?! Sehemu kama ile lazima upeleke unbreakable spies!!! Mateso yakimzidia anakupa taarifa ambazo ungependa kuzisikia kumbe hazina impact yoyote!!!
Kwani unateseka?Intelligence has to do that with all sophisticated means
1. Finger print
2. Face detection
3. Back ground
4. Existence
5. Communication facilities
6. Other intelligence techniques
Sio assumption ambayo ndio hasa tunasema uzushi na upumbavu
Kweli aisee,ngoja tuendelee kuwatia moyo US.Wairan wa tandahimba wanahiji faraja, waacheni wajifariji jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
U.S alisemaje baada ya kulipua hiyo ndege. Yaani Iran walikosa hata kisingizio cha maana wanakuja kusema walijua ni missile, bora wangesema walijua ni jet fighter au recon plane.
The problem watu mnaleta mambo ya movies na series kwenye real world!! Tell me, tuseme wewe ndo head wa intelligence pale Iran! How would you play it?! Au ndo unachukua hao 63 Canadian Passport Holders kisha unaenda kuwafanyia hayo uliyotaja hapo juu?! Seriously unaamini baada ya kufanya fingerprint, facial scanning, background check, and whatnot, kisha ungeingia kwenye intelligence database yenu na ungekuta taarifa zao zinazowa-link na spying activities?!Intelligence has to do that with all sophisticated means
1. Finger print
2. Face detection
3. Back ground
4. Existence
5. Communication facilities
6. Other intelligence techniques
Sio assumption ambayo ndio hasa tunasema uzushi na upumbavu
The problem watu mnaleta mambo ya movies na series kwenye real world!! Tell me, tuseme wewe ndo head wa intelligence pale Iran! How would you play it?! Au ndo unachukua hao 63 Canadian Passport Holders kisha unaenda kuwafanyia hayo uliyotaja hapo juu?! Seriously unaamini baada ya kufanya fingerprint, facial scanning, background check, and whatnot, kisha ungeingia kwenye intelligence database yenu na ungekuta taarifa zao zinazowa-link na spying activities?!
Kama kweli ni maspy acha wafe tu.Intelligence has to do that with all sophisticated means
1. Finger print
2. Face detection
3. Back ground
4. Existence
5. Communication facilities
6. Other intelligence techniques
Sio assumption ambayo ndio hasa tunasema uzushi na upumbavu
Hao Canadians ni Iranians pia. Walikuwa na Duo nationality. Hii sijui ma spy ni pumba kama pumba zingine tu.
Huyu alikubali kuwa wamedungua ndege na walilipa fidia. Hakukubali kuomba msamaha wala kutoa samahani. Hawa waligoma kuhusika na kisha wakakubali. Yote hayo hayanishtui, tatizo ni pale wanapodai operator alishindwa kutofautisha signature ya missile na ndege ya kiraia. Yaani ashindwe kutofautisha speed, direction path, heat signature, radar signature ya ndege kubwa vile na missile ambayo inakuwa ndogo. Whatever radar system aliyokuwa nayo hii inanishangaza bado. Ingekuwa wamelipua ndege yao ya kijeshi tungesema friendly fire maana vinaelekeana kwa hivo nilivotaja.
We jamaa nilikuona una akili ila nimegundua ni jinga kabisa... Kama wangekuwa spies ndege ingeambiwa irudi uwanjani ingerudi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umejenga hoja flan flan hv yakueleweka.....Hivi wale raia wa Marekani waliopewa tahadhali na ubalozi wao, waliondoka kwa usafiri upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwajibishwa kulikopo kukubwa ni kulipa fidia wahanga tu No More....Ili kuhalalisha mauaji hayo ya raia, Iran ina uwezo wa kusema chochote ili mataifa wasimseme zaidi. Lakini kusema ati hao wote walikuwa majasusi, iweje hiyo ndege iamke uanjani bila shida yeyote hvi inaingia akilini kweli?? Walishindwa nini kuwazuia hadi wapande ndege na ndege iinuke ndo iangushwe??
Maswali ni mengi kuliko majibu. Iran iwajibishwe tu kwa mauaji yaso na sababu
Wamagharibi wauaji sanaaa...Wamemdetain balozi wa UK pia, bunge la Iran limekaa kwa dharula kujadili ulazima wa kumfukuza balozi huyo.
Wanadai yeye ndie kahamasisha maandamano uchwara.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya majamaa yana vichwa vibovu sana.unashangaa iyo, al-shabab anajitoa muhanga anaua wasomalia 200 na mzungu mmoja, target ni uyo mzungu,