Iran Ataishambulia Israel leo

Aise Iran ni mbabe sana tuache masihara.

Yaani Israel anachakazwa kwa kutumia mchanganyiko wa zana hakuna kulala leo.

Fikiria hii mizigo iliyotumwa ambayo inatumia zaidi ya saa kupiga target imepita bila kupingwa sasa Iran akitumia yale makombora hypersonic ambayo yanafika Israel ndani ya dakika 5 si balaa hilo?😅
 
Vitu vinatua sio mchezo afu Israel wanasema wa Iran wanatuambia hio ni mwanzo tu bado hawajaona kitu
 
Tayari Iran ametuma awamu ya tatu ya makombora kuelekea Israel.

Tel Aviv inafuka moto muda huu na bado vyuma vipo njiani vinaenda Israel.

Kuna fal,a muisrael rangi ya tak,o alisema miundombinu yote ya kijeshi ya Iran imepigwa hivyo Iran hatakuwa na uwezo wa kurusha makombora tena.

Wamejibiwa chini ya saa 24 kuwatumia salamu kwamba Iran anaweza kupiga popote pale ndani ya Israel.
 
Iran anatuma vyuma kwenda Israel huku wamekaa mezani kunywa kahawa sio kama Israel hadi apeleke madege ndiyo ashambulie.

Dunia ya leo unapigana huku upo chumbani kwako unaendelea na mambo mengine sio hadi upoteze muda wako kwenda kupigana.

Israel bado anatumia mbinu za miaka ya 70 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…