dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,809
- 61,681
Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuiaVyuma vimeaanza kushuka Tel Aviv muda huu bila kupingwa.
Iran imetangaza muda huu ame launch awamu ya pili ya makombora kwenda Israel yaani hakuna kupoa usiku huu.
Waisrael wapo mashimoni kama panya kudadadekiii.
Hakuna cha Iron dome wala THAAD inayoweza kuzuia missiles za Iran.
Nipo natazama Al Jazeera muda huu vyuma vinashuka ndani ya Tel Aviv na ku hit milipuko mikubwa sana.Hivi marekani ameshindwa kutengeneza air defense kuzuia makombora ya Iran yasiingie Israel?
Anayetumia nguvu kubwa Israel.Yetu macho, ila Iran anashambulia Kwa kutuma missiles, Israel yeye anamfata Moja Kwa Moja kumpigia huko huko
Vyuma 7 tu kati y 150 🤣Nipo natazama Al Jazeera muda huu vyuma vinashuka ndani ya Tel Aviv na ku hit milipuko mikubwa sana.
Pia muda huu Iran imetangaza ame launch awamu nyingine ya makombora hadi kieleweke leo.
Anayetumia nguvu kubwa Israel.
Iran Hana haja ya kwenda huko yeye ni kupress button tu.
Anao washirika wake naye mfano Russia. Ila Israel abaki yeye kama yeye, atachapika. Ila Iran tuna vimdomo 🤭🤭🤭🤭🤭🤭Bc na Iran nae atafute sponsa kama mnaona wivu Israel kusaidiwa 😂
hakuna mfumo unaweza zuia hata 32 at a go maana mifumo mingi launcher 1 inakuwa na 16Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia
THAAD iko wapi ? Fattahs zinatua bila kupingwahakuna mfumo unaweza zuia hata 32 at a go maana mifumo mingi launcher 1 inakuwa na 16
Aise kwakweli Israel na mabwana zake wana haki ya kuhaha kumhofia Iran maana hakuna mfumo wa anga wa Israel uliofanikiwa kuzuia mzigo kutua.Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia
Unakimbilia wpVitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Mbona nimeeleza vizuri hapoTHAAD iko wapi ? Fattahs zinatua bila kupingwa
Sasa mtu katuma makomboran150, mawili tu yamepenya, mpaka Sasa Kuna majeruhi mmoja tu!!!! Unataka atengeneze air defense gani Sasa????Hivi marekani ameshindwa kutengeneza air defense kuzuia makombora ya Iran yasiingie Israel?
Kwamba wata jishambulia wenyewe.Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv