NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
MKUU-kama nani wa kwanza kugundua ICBM ni UJERUMANI(the third reich)kipind cha operation america-then baadaya hapo kila nchi ikawa na project zake tofauti za kutengeneza ICBM(HUKU WAKIFWATA TECHOLOGY YA MJERUMAN-COZ WALE WALIOKUWA UNDER HITLER WENGI WALIENDA USA)-ila USSR ndo wakwanza kwenye kulaunch successful ICBM.Mkuu kwani ni taifa gani la kwanza kufanikisha uhudwaji wa ICBM, taifa gani la kwanza duniani kurusha artificial satellite kwenda kwenye outer space, taifa gani la kwanza kumpeleka binadamu katika outer space, taifa gani la kwanza lilifanikisha kupeleka chombo cha kuzunguka mwezi na kupiga picha kwa mara ya kwanza upande wa pili wa mwezi ambao auonekani ukiwa duniani, ni taifa gani lililo wahi kutengeneza kwa mara ya kwanza Nuclear Reactor kwa ajili ya kuzalishia umeme, taifa gani la kwanza duniani lililofanikisha kutengeneza a Thermonuclear bomb yenye payload ya ku-yield an equivalent ya 50MT za TNT (actually walitaka iwe 100MT lakini Dr. Adrei Shakhalov akawakatalia kwa kusema madhala yake kwenye aridhi, vyanzio vya maji na mvua itakayo nyesha ikiwa na nuclear fallout yatakuwa makubwa sana kwa binadamu).
Edward Teller (USA) ambaye ndiye alikuwa baba wa Hydrogen Bomb (Thermonuclear) alishangazwa sana na wana sayansi wa Kirusi walivyo weza kufanikisha kulipua bomb lenye magnitude kiasi hicho, mpaka leo hii hakuna taifa lolote duniani limefanikiwa kutengeneza bomb moja lenye nguvu kuzidi Czar la-Bomba, mark you that was in 1960s.
Tukirudi tena kuzungumzia ICBM, ni taifa gani lililo hunda kwa mara ya kwanza an ICBM yeye uwezo wa kubeba multiple nuclear warheads ambazo zina uwezo wa kulipua independently targets zote ambazo zilikuwa pre-programmed zifanye kazi baada ya missile ku-re-enter atmosphere ikitokea anga za juu! Mkuu ninacho taka kuonyesha hapa ni kwamba sikweli kwamba URUSI ina lag behind USA katika nyanja za ICBMs (Wa Merikani ni bingwa sana katika propaganda na kutunga stori-kumbuka WMD za Iraq - Cheney na Rumsfield walimtia aibu sana Coln Collins Powel kwa kutunga hadithi za kufikilika kuhusu WMD).
Wanasayansi wengi duniani ambao hawana itikadi ya ku-support blindly Taifa lolote wanajuwa umahili wa Warusi katika uhundaji wa ICBMs, actually Merikani wali-copy mambo mengi kutoka kwa Warusi kuhusu fani hii, vile vile Mjerumani Dr. Wener Von Braun naye ali-play a major role katika hili ingawa yeye alikuwa yuko interested na mambo ya safari za kwenda mwezini kuliko kutengeneza zana za kivita.
Nimalizie kwa kuzungumzia IRANI, nashangaa kuona watu wanamponda commander wa Iran Mr. Khatam al-Anbiya. Jeshi la anga la IRAN siyo nyoronyoro kama dunia inavyo wafikilia, kuna wasomi wengi kule wenye uwezo kiufundi na kuandika programmes za kuogozea zana za kivita na kulinda anga ya nchi yao, tusifikili Wairan hawajui vema high level language inayotumika kuongozea Drones, Cruise Missiles na Ballistic Missiles - wasomi wa nyanja za control wanajua high level language inayotumiwa na Wamerikani/Uingereza katika kuongoza zana zao za kivita inajulikana kama ADA, kama mswahili anaweza kufundishwa kwenye vyuo vikuu vya Merikani au Uingereza jinsi ya ku-programme kwa kutumia ADA, je Wairan si ndiyo balaa kabisa. Msione Wamerikani wame-put up a brave face, lakini kufanikiwa kwa jeshi la anga la IRAN ku-intercept DRONE ya Kimerikani kwa kutumia mbinu za kui-deflect kutoka kwenye flight path yake na kuiongoza ikatua salama (intact) imewashtua sana Wamerikani, kama siyo kupigwa picha wangekataa kabisa au wengesema ilitua kwa tatizo la kiufundi, hiyo si kweli. Ni Wairan hawa hawa wali wahi kuwapatia wapiganaji wa mgambo nchini Iraq very sophisticated silaha , wakazitumia kwa mafanikio makubwa kulipuwa magari ya deraya na vifaru vya Merikani vilivyo kuwa vimetengenezwa mahususi kuhimili milipuko ya aina zote lakini kwa silaha za Iran wagari ya deraya na vifaru avikufua dafu - viliteketezwa! Merikani ili lalamikia sana Iran kuhusu tukio hilo.
Kwenye space race waliongoza USSR kuanzia kwenye kulauch,kutuma mbwa,mtu na mambo mengine-Ila USA walikuja baadae vyema wakawapita USSR-hadi USSR akajitoa kwenye hio ligi
Kwenye swala la MIRV USA ndo waliogundua hili na wapo mbele-
KAMA ILE DRONE WALIYOSHIKA IRAN ILIKUWA INTACT-KWA NINI WALIIZIBA KWA CHINI-
PILI NCHI NYINGI ZA KIARAB ZINAWEZA SANA KUZUNGUMZA KULIKO KU-ACT-HIO TECHNOLOGY HAWANA-KAMA WANAYO WANGESHA AGGRESS WABAYA WAO ILI NAO WAMJIBU THEN YEYE AJICHUKULIE USHINDI KIULAINI