Iran Army gains capability to intercept, redirect enemy missiles: Cmdr. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran Army gains capability to intercept, redirect enemy missiles: Cmdr.

Discussion in 'International Forum' started by Tume ya Katiba, Apr 30, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  The commander of Iran’s Khatam al-Anbiya Air Defense Base says the Iranian Army has achieved the capability to intercept and deflect enemy missiles away from their targets.


  "Any missile will be destroyed or re-routed before reaching Iran, and will hit a target of our choosing," Fars news agency quoted Brigadier General Farzad Esmaeili as saying on Monday.

  These systems will carry out their tasks whenever a threat is posed, Esmaeili added.

  In recent years, Iran has made major breakthroughs in its defense sector and attained self-sufficiency in important military equipment and systems.

  Commenting on a bid by members of the [Persian] Gulf Cooperation Council along with the US to deploy a missile system in the Persian Gulf, the Iranian commander said the countries resorting to such means certainly perceive a weakness in their defenses.

  In March, US Secretary of State Hillary Clinton held talks in Saudi Arabia about a plan for a Persian Gulf missile system to counter what she described as potential threats from Iran.

  This is while Iran has announced time and again that “deterrence” lies at the heart of its defense doctrine, and that its military might poses no threats to other countries.

  PressTV - Iran Army gains capability to intercept, redirect enemy missiles: Cmdr.
   
 2. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mkuu, Iran is staging a great phsychological warfare. Mara juzi wamdecode sijui software ya pilotless plane, sasa wana uwezo wa kuintercept enemy fire. Baada ya muda tutasikia nini kingine? Ni kana kwamba MuIsreal anaongojea OBama angatuke uongozini. By now anashughulika nakutuma majeshi Korea Kaskazini ambao wanashindwa kujilisha. Sijui atatumia pretex gani? Katia Korea kaskizini na Iran ni nani kichwa maji kushinda mwingine. Naona Iran watakuwa na hali ngumu baada ya December
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hii ni propaganda ya Iran-USSR wenyewe na enzi hizo kuwa kwao wakwanza kwenye ICBM's bado kiteknolojia ICBM's zao zili lag behind za USA
   
 4. HT

  HT JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  soon we will hear Iran have all the weapons America has and will dissolve Washington any time. light propagate or spreads?
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  I dont believe in making of wars. Sijui watu wa dunia hii tunatafuta nini???!!!
   
 6. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hawa watasiagwa kama sadaam alivyo kanyangwa...kinachosikitisha ni kuwa wananchi ndo wataumia kwa kero la uongozi....nina uhakika wananchi wa iran wanaishi na hofu kila uchao kisa muungano wa amerika na waisraeli ni jeshi moja hatari sana ambalo Iran haina uwezo kuwaiburuza. Angalia senema ya Desert Storm uone vile Sadaam na majeshi yake walifanywa watoto na wamerekani.
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Nakikumbuka kitabu cha zamani kidogo kikiitwa UGUMU WA KAZI KUITENDA!!!! hawa wairan hawajipendi, wanamchokoza faru msituni halafu wanakimbilia nyumbani, faru atawararua watoto ambao hawajui lolote linalojiri!!!!! sisi tutafaidi kutazama senema!!!!
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Iran imekuwa kwa kasi sana kwenye militaly issues.
  Hawa jamaa waliweza ku-intercept na kufanya-safe landing ya ndege ya upelelezi ya USA 'Drone'.
  Sasa wanaposema wamezidi ku-advance kwenye military capability, wanamaanisha, au mpaka technology kama hii akiielezea USA, ndio tutaamiani?
  This is just one of the 'space defence systems'
  Iran sio waongo kama viongozi wetu waTz, they dont have bla bla au double standard.
  Hata majirani zetu waKenya, nowdays 'wanakimbia' in every aspects, sisi waTZ tumebaki kupiga domo na kuona, kila kitu hakiwezekana.
  Mambo yanawezekana, na hizo silaha hawa waIran watakuwa nazo kwani, they invested much on military.
  Sisi waTZ tusubili show za makomandoo wetu kuvunja tofali kwa kichwa.
  We are good for nothing.
   
 9. HT

  HT JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  MD25,
  you alone is good for nothing. do not try to be inclusive on that one.
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  THE
  Acha kuongea mambo usio kuwa na uhakika nao, URUSI ni leading katika ICBM, hata marekani anafahamu hilo,

  Soma kuhusu Nguvu za ICBM za Urusi mkuu, utagundua kwamba Murusi ni Noma

  Russia has the most powerful ICBM in the world and the name of that ICBM is called SS-18 SATAN. this missile was viewed by certain U.S. analysts as likely giving the Russia first strike advantage over the U.S., particularly because of its very heavy throw weight and extremely large number of RVs (re-entry vehicles; >= 10 maximum on actually deployed missiles with up to 40 penaids; theoretically capable of deploying even greater numbers of RVs due to high throw-weight; compare with maximum of 3 re-entry vehicles on U.S. missiles of the time, such as the Minuteman III). During the early 2000s, certain intelligence community analysts believed that only a limited amount of US ICBM silos would survive a successful first strike by missiles like the SS-18 Satan.


  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_control"]Iran Defense Forum [/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Who's Online [/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Mark Forums Read [/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Social Groups [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tborder, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 100%"][TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD] [/TD]
  [TD="width: 100%"]Iran Defense Forum > International Defence > Military Articles [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: navbar, colspan: 3"][​IMG] Who holds the Best ICBM in the World? [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="class: alt2"][TABLE]
  [TR]
  [TD="class: smallfont"]User Name[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD="class: smallfont, colspan: 2"] Remember Me?[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: smallfont"]Password[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tborder, width: 0, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_control"]Top Posters[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]FlashChat[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Blogs[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]FAQ[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Gallery[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Members List[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Calendar[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Arcade[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Today's Posts[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Search [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tborder, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 100%"]Military Articles World Military articles - Post articles here not linking to the article![/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: thead"]Search Forums[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_option"]
  Show Threads Show Posts
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_option"]Advanced Search[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: thead"]Search Blogs[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_option"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_option"]Advanced Search[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: thead"]Go to Page...[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_option"] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tborder, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: tcat, colspan: 4"]View Poll Results: Who holds the best ICBM system in the World? [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]Russia [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]19[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]73.08%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]United States [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]6[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]23.08%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]North Korea [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]0[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]0%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]Israel [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]0[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]0%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]India [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]1[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]3.85%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]France [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]0[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]0%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1, width: 75%"]China [/TD]
  [TD="class: alt2"][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [/TD]
  [TD="class: alt1, width: 12%, align: center"]0[/TD]
  [TD="class: alt2, width: 13%, align: right"]0%[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tfoot, colspan: 4, align: center"]Voters: 26. You may not vote on this poll[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: smallfont"][​IMG][/TD]
  [TD="align: right"]
  [TABLE="class: tborder"]
  [TR]
  [TD="class: vbmenu_control"]Page 1 of 5[/TD]
  [TD="class: alt2"]1[/TD]
  [TD="class: alt1"]2[/TD]
  [TD="class: alt1"]3[/TD]
  [TD="class: alt1"]>[/TD]
  [TD="class: alt1"]Last »[/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"] [​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tborder, width: 0, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: tcat, width: 100%"]
  [/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Thread Tools [​IMG] [/TD]
  [TD="class: vbmenu_control"]Display Modes [​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tborder, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: thead"] #1
  [​IMG] 06-10-2008, 08:00 PM
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt2"][TABLE]
  [TR]
  [TD]Col. Dooran
  Guest
  [/TD]
  [TD="width: 100%"] [/TD]
  [TD]

  Posts: n/a


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: alt1"][​IMG] Who holds the Best ICBM in the World?
  [HR][/HR]Russia:
  1-Topol M/Bulava
  2-Satan
  3-Stiletto
  4-RS-24
  5-Scalpel

  North Korea:
  1-Taepodong 2

  France:
  1-M45

  Israel:
  1-Jericho

  India:
  1-Surya

  China:
  1-Dong Feng 31

  United States:
  1-Minuteman
  2-Peacekeeper
  3-Polaris
  4-Posiedon
  5-Trident
  [HR][/HR]Last edited by Col. Dooran; 06-10-2008 at 08:03 PM.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 11. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  SIJUI NI NANI ALIKWAMBIA UJIITE 'KOMANDO'-INFORMATION YAKO UNATOA KWENYE FORUM HII Iran Defense Forum > International Defence > Military Articles-UNATEGEMEA WAZUNGUMZEJE?

  US NDO WANASHIKILIA USUKANI KWE NYE HILI SWALA-WAO WANA MRIV's 10-12- ahead of RUSSIA.
  US NDO WALIOINVENT HII TECHNOLOGY YA MRIV's.NASHANGAA SANA SOURCE YAKO INASEMA US WANA 3 RE-ENTRY VEHICLES..

  certain intelligence community analysts believed that only a limited amount of US ICBM silos would survive a successful first strike by missiles like the SS-18 Satan.

  HIYO TAARIFA YAKO HAPO JUU NI YA UWONGO-BY 1960's US walikuwa wana over 1100 silos across the country,sasa sijui hiyo satan ingewezaje kuharibu hizo silos.
  KIFUPI NAWEZA KUKUSAIDIA KWA KUKUELEZA KUWA TAFUTA DOPCUMENTARY INAYOITWA 'COLD WAR' UONE NA KUSIKIA FORMER SOVIET GENERALS WANAVYO ZUNGUMZA WEAKNESS WALIYOKUWA NAYO KIPINDI CHA COLDWAR NA FLAWS WALIZOKUWA NAZO KWENYE ICBM's ZAO NDIPO UTALEWA KULIKO KULETA LINK ZA IRAN HAPA.
  BTW NAFAHAM SATAN NDO ILIYOKUWA NA PAYLOAD KUBWA NA STILL INA PAYLOAD KUBWA ILA BADO SI THREAT KIASI HICHO KWA US.

  PITIA MAELEZO HAYA YANAWEZA KUKUSAIDIA

  [FONT=&amp]Best ICBM in the world today[/FONT]
  For ability to deliver the most 'bang,' on-target, with least CEP (circular error probability, i.e. greatest accuracy), I'd have to say the Trident D5. It has a CEP of 300-400 feet, the technical ability to carry up to 12 W88 (475KT) warheads, though they've been limited by treaty to no more than five each. OTOH, that frees-up space for decoys and other penetration aids to be carried on-board.

  The next best is the Minuteman III, with a CEP of 300 feet, and up to three warheads, as well as penetration aids on-board.

  The previous second-best, the MX (aka Peacekeeper), was retired in 2005/6 as part of strategic arms reduction treaties. That missile was very nearly the equivalent of the Trident, with just a slightly smaller maximum capacity, at ten W87 (300KT) warheads.

  The best Russian ICBM is the SS-24 with a MIRV capacity of up to ten 550 KT warheads, and a CEP of some 500 -1500 feet (depending on which source).

  *Edit*
  The Peacekeeper is not at number one. It can't be, as it's not even in service, nor has it been in service since 2005. Junked missiles don't count as effective missiles. Even when it was in service, it still took a back seat to the Trident D5.

  The SS-27 has limited throw-weight, currently only being a single-warhead missile, with the same CEP as the SS-24. Even if it were modified to the maximum six MIRVs, it'd still fall short of the SS-24's ten maximum warheads of the same size. The SS-27 definitely takes a backseat to the SS-24, even when counting in the road-mobile erector-launcher.

  The Trident D5 is hands-down the best. Lowest CEP, greatest throw-weight. The Soviet/Russian missiles throw slightly heavier warheads to make up for the increased CEP, but the bigger bombs aren't sufficient to offset the accuracy limitations against hardened targets.
   
 12. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  BRAVO IRAN...Waliposema wameweza kuiHACK sentnel170 waMAREKANI walibisha na kusema labda km wameitungua na itakua imeharibika vibaya lakini siku chache wakaionesha uku ikiwa flesh jamaa wa US hawakuamini na walisema wamehack ktk operation center ya uko US kwani zile ndege ni fifth generation hazionekan kwenye rada na ndo zinatumia teknolojia ya AMERICAN F22 RAPTERS na F35 rader evading fighter jets yani zinauwezo wa kuvamia nchi yoyote bila kuonekana ktk rada...mpaka sasa ni RUSSIA na CHINA tu zenye uwezo wa kuziona hizi ndege kwa juu yani kwa kutumia over heading satellite na sio stationary raders but IRAN proved differently so never under estimate IRAN..na waliposema wameweza kudecode ktk operating system ya hiyo ndege na kutoa detail ya data zote nini ilikua inafanya kuanzia kwa OSAMA na operatio nyingine US wamenyamaza kwani walisema ilikua ina security kubwa ktk OS yake....
   
 13. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  haha...kweli wanaumahiri kiteknolojia lakini mashambulizi yakiaanza ole wao...haya yote yatakuwa kama libya, iraq, all other nations with.....stan's prefix minus pakistan. Iran cant hold its own against US; wacha waseme tu. Compare the air fleet size of america, its offensive capability, technology diversification, amount of ICBM it has, this talks to reduce war heads are hogwash n never buy them...
   
 14. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  una uhakika wali hack?
  kama ile sentnel170 ilikuwa intact-kwa nini waliicover kwa chini?ambako ndo kwenye vital materials?
  mimi ninachoamini ni kwamba ilibakia intact baadhi ya sehemu na ndio walizozionyesha
   
 15. U

  Uthman Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kaka acha kuamini sana information unazopata kutoka USA,hawa jamaa wanaongoza kwa disinformation,especially kwenye maeneo wanayokuwa nyuma kiteknolojia.Kuwa mkweli kwa nafsi yako na jikumbushe uongo waliotunga kuhusu IRAQ na kumlazimisha Colin Powwel autoe kama ushahidi ndani ya baraza la usalama,all those images za kuonyesha site zenye silaha za maangamizi walizitunga kwenye computer zao Pentagon na kuidanganya dunia.
  Kati ya URUSI na USA wote waongo lakini USA wako more sofistaced na wana kitengo kikubwa cha kusambaza habari za uongo duniani.

  Wake up ndugu.
   
 16. U

  Uthman Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Fanya experiment chukua mnfano wa drone panda PPF tower halafu iachie idondoke yenyewe,uoene kama itakuwa imeharibika chini tu.Utajijibu
   
 17. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unataka kusemaje na hii kauli?au unamaanisha nini?
   
 18. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  USICHEZE NA MAREKANI NA MAYAHUDI KWA KUIDANGANYA DUNIA

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani ni taifa gani la kwanza kufanikisha uhudwaji wa ICBM, taifa gani la kwanza duniani kurusha artificial satellite kwenda kwenye outer space, taifa gani la kwanza kumpeleka binadamu katika outer space, taifa gani la kwanza lilifanikisha kupeleka chombo cha kuzunguka mwezi na kupiga picha kwa mara ya kwanza upande wa pili wa mwezi ambao auonekani ukiwa duniani, ni taifa gani lililo wahi kutengeneza kwa mara ya kwanza Nuclear Reactor kwa ajili ya kuzalishia umeme, taifa gani la kwanza duniani lililofanikisha kutengeneza a Thermonuclear bomb yenye payload ya ku-yield an equivalent ya 50MT za TNT (actually walitaka iwe 100MT lakini Dr. Adrei Shakhalov akawakatalia kwa kusema madhala yake kwenye aridhi, vyanzio vya maji na mvua itakayo nyesha ikiwa na nuclear fallout yatakuwa makubwa sana kwa binadamu).

  Edward Teller (USA) ambaye ndiye alikuwa baba wa Hydrogen Bomb (Thermonuclear) alishangazwa sana na wana sayansi wa Kirusi walivyo weza kufanikisha kulipua bomb lenye magnitude kiasi hicho, mpaka leo hii hakuna taifa lolote duniani limefanikiwa kutengeneza bomb moja lenye nguvu kuzidi Czar la-Bomba, mark you that was in 1960s.

  Tukirudi tena kuzungumzia ICBM, ni taifa gani lililo hunda kwa mara ya kwanza an ICBM yeye uwezo wa kubeba multiple nuclear warheads ambazo zina uwezo wa kulipua independently targets zote ambazo zilikuwa pre-programmed zifanye kazi baada ya missile ku-re-enter atmosphere ikitokea anga za juu! Mkuu ninacho taka kuonyesha hapa ni kwamba sikweli kwamba URUSI ina lag behind USA katika nyanja za ICBMs (Wa Merikani ni bingwa sana katika propaganda na kutunga stori-kumbuka WMD za Iraq - Cheney na Rumsfield walimtia aibu sana Coln Collins Powel kwa kutunga hadithi za kufikilika kuhusu WMD).

  Wanasayansi wengi duniani ambao hawana itikadi ya ku-support blindly Taifa lolote wanajuwa umahili wa Warusi katika uhundaji wa ICBMs, actually Merikani wali-copy mambo mengi kutoka kwa Warusi kuhusu fani hii, vile vile Mjerumani Dr. Wener Von Braun naye ali-play a major role katika hili ingawa yeye alikuwa yuko interested na mambo ya safari za kwenda mwezini kuliko kutengeneza zana za kivita.

  Nimalizie kwa kuzungumzia IRANI, nashangaa kuona watu wanamponda commander wa Iran Mr. Khatam al-Anbiya. Jeshi la anga la IRAN siyo nyoronyoro kama dunia inavyo wafikilia, kuna wasomi wengi kule wenye uwezo kiufundi na kuandika programmes za kuogozea zana za kivita na kulinda anga ya nchi yao, tusifikili Wairan hawajui vema high level language inayotumika kuongozea Drones, Cruise Missiles na Ballistic Missiles - wasomi wa nyanja za control wanajua high level language inayotumiwa na Wamerikani/Uingereza katika kuongoza zana zao za kivita inajulikana kama ADA, kama mswahili anaweza kufundishwa kwenye vyuo vikuu vya Merikani au Uingereza jinsi ya ku-programme kwa kutumia ADA, je Wairan si ndiyo balaa kabisa. Msione Wamerikani wame-put up a brave face, lakini kufanikiwa kwa jeshi la anga la IRAN ku-intercept DRONE ya Kimerikani kwa kutumia mbinu za kui-deflect kutoka kwenye flight path yake na kuiongoza ikatua salama (intact) imewashtua sana Wamerikani, kama siyo kupigwa picha wangekataa kabisa au wengesema ilitua kwa tatizo la kiufundi, hiyo si kweli. Ni Wairan hawa hawa wali wahi kuwapatia wapiganaji wa mgambo nchini Iraq very sophisticated silaha , wakazitumia kwa mafanikio makubwa kulipuwa magari ya deraya na vifaru vya Merikani vilivyo kuwa vimetengenezwa mahususi kuhimili milipuko ya aina zote lakini kwa silaha za Iran wagari ya deraya na vifaru avikufua dafu - viliteketezwa! Merikani ili lalamikia sana Iran kuhusu tukio hilo.
   
 20. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Well said Mkuu, itavunjika na kubaki vipande vipande. Hila nashangaa kidogo, kwa kawaida vyombo kama hivi vya ujasusi mara nyingi Wamerikani wanaviwekea explosive charge hili kijilipue chenyewe wakati ikitokea hitilafu kikiwa kwenye airspace za adui zake au kikiwa intercepted, wanafanya hivyo hili watu wasijue tekinolojia iliyotumika kuviunda.

  Swali ni, kwa nini DRONE ilishindwa kujilipua wakati marubani waliokuwa wanaongoza DRONE hiyo walikuwa kwenye control room pale Italy na walikuwa wanaona na kusikia kila kitu, wengeweza kabisa kuilipua by remote control.
   
Loading...