Iramba tuache unafiki - Tusimfitini Dkt. Mwigulu kwani bado ana nafasi ya kuisaidia Iramba

Lakini huwa wanamsingizia tu hana lolote huyu!
Chunguza vizuri, mauaji ya watu kwenye viroba, watu wasiojulikana, kutekwa watu, Tundu Lissu kupigwa risasi hadharani ilitokea wakati jamaa ni hatari waziri wa mambo ya ndani. Alivyoondolewa ile wizara mpaka leo hakuna hiyo kitu
 
Ila kama kweli vile!
 
Back
Top Bottom