Iramba na Igunga yafanya kufuru uchaguzi serikali za mitaa

Shelui hapa tuna maji safi na salama tangia mwaka 1948, tunalima Alizeti, tunakula wali wetu watoto dwanasoma basi ndio maisha haya kwani wewe mwenye billion 2 hongera zako!


Cha mtu Sumu heri Mia Moja uliyoipata kwa halali kuliko billion 2 za maneno kwahiyo tunaridhika na tulichonacho!

Kwa uelewa wangu hakuna mnyiramba mwenye mawazo mabovu kama wewe, uwe mbwaneeeee.
 
hili sio taarifa nzuri kabisa hasa katika kujenga demokrasia na mustakabali bora wa nchi yetu. haiwezekani mawazo ya watu wote yafanane. hata kama ccm wameshinda lakini lazima angalau kuwepo anti-ccm. na wasiwasi kuwa ccm wamefanya njama na hujuma.
 
Tunataka facts siyo blaablaa hapa! Kila siku slogan sasa inakula kwenu, na hili litakuwa fundisho lililo dhahiri kabisa!

Kwani uchaguzi wa serikali za mitaa utatupa Picha kamili ya 2015. Acha Mpige kelele zetu kazi nyumba kwa nyumba nyie endeleeni kubweteka humu JF kwani ukombozi upo humu JF ndivyo mnavyoamini

Huna hoja unatokwa povu tu!
 
Chama cha Mapinduzi wilaya za Iramba na Igunga zimepata Viti vya awali kabla ya uchaguzi wenyewe tarehe 14 December na kufanya zaidi ya 50% ya vitongoji na vijiji kupita bila kupingwa!

Kwa Iramba jumla ya vitongoji 256 Kati ya vitongoji 392 tayari CCM imeshatangaza ushindi na vijiji 26 Kati ya vijiji 70 tayari kazi imekwisha! Igunga jumla ya vitongoji 426 Kati ya 628 tayari CCM imeshatangaza ushindi!

Kwa Hali hii inafanya katika wilaya hizi kazi kuwa rahisi sana na kufanya mbunge wa Iramba Mh Mwigulu kuwa na Hali nzuri Mara dufu kisiasa kuliko watu wanavyofikiria!

Hongera CCM hongereni Iramba na Igunga.

Upuuzi tu huu
 
Shelui hapa tuna maji safi na salama tangia mwaka 1948, tunalima Alizeti, tunakula wali wetu watoto wanasoma basi ndio maisha haya kwani wewe mwenye billion 2 hongera zako!

Cha mtu Sumu heri Mia Moja uliyoipata kwa halali kuliko billion 2 za maneno kwahiyo tunaridhika na tulichonacho!

Hapo kwenye RED kadanganye maiti wenzio.
 
mziki mkubwa sana naskia upo kinampanda,naskia diwani anawatisha vijana,kwa kuwambia kwann wanaweka bendera ya chadema ikipepea,komaeni hasa mtoeni huyo,eti mwenyekiti wa halmashauri,muulizeni ana project zipi ktk kata yake,kila la heri chadema.
 
CHADEMA wapo kwenye ESCROW. Waikija kurudi wanashangaa tu. ESCROW ni kutu cha kupita tu, issue ilikuwa uchaguzi huu. Haya mtayaona mengi sana.
 
Kuishangilia ushindi wa Ccm wakt kesho mke wako anaenda kujifungua hospital,,, yy na mwanae wanakufa kwa huduma hafifu,kushalia ushind wa ccm wakt kesho utakuwa unakimbizwa na mgambo kudaiwa pesa ya maabara wakt wapuuz wamegonga 306bln,,,,nafkri utakuwa mjinga wa kwanza Tanzania nzima..Idiot
 
Chama cha Mapinduzi wilaya za Iramba na Igunga zimepata Viti vya awali kabla ya uchaguzi wenyewe tarehe 14 December na kufanya zaidi ya 50% ya vitongoji na vijiji kupita bila kupingwa!

Naomba kutambulishwa...

Viti vya awali ni nini na hupatikana vipi?
 
Back
Top Bottom