Iramba na Igunga yafanya kufuru uchaguzi serikali za mitaa

Kinambeu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
906
Reaction score
454
Chama cha Mapinduzi wilaya za Iramba na Igunga zimepata Viti vya awali kabla ya uchaguzi wenyewe tarehe 14 December na kufanya zaidi ya 50% ya vitongoji na vijiji kupita bila kupingwa!

Kwa Iramba jumla ya vitongoji 256 Kati ya vitongoji 392 tayari CCM imeshatangaza ushindi na vijiji 26 Kati ya vijiji 70 tayari kazi imekwisha! Igunga jumla ya vitongoji 426 Kati ya 628 tayari CCM imeshatangaza ushindi!

Kwa Hali hii inafanya katika wilaya hizi kazi kuwa rahisi sana na kufanya mbunge wa Iramba Mh Mwigulu kuwa na Hali nzuri Mara dufu kisiasa kuliko watu wanavyofikiria!

Hongera CCM hongereni Iramba na Igunga.
 
Km ni kweli ziara walizofanya Mbowe , Slaa na bavicha huko zilikuwa na maana gani?
 
Wewe utakuwa ni kichaa kwa hali ilivyo hususani kule Igunga hicho ulichokiandika ni upuuzi kwani kwa sasa wasukuma wameishaamka na nakuhakikishia yale yaliyofanyika kugeuza matokeo ya uchaguzi uliomsimika kafumu Ubunge wa kubumba hayatatokea kwenye uchaguzi huu.
 
Huyo mleta mada hakuna analolijua ndugu mwache kama alivyo uchaguzi ukifanyika sidhani kama atarudi hapa JF, kwani ikumbukwe chaguzi zilizopita CCM walinunua karibu shahada zote za vijana na kuwakosesha haki ya kupiga kura lakini kwa sisi tuliopo huku vijana wamehamasika kujiandikisha kwa nguvu zote na hasira zao za kupokonywa shahada zao wanatamka wazo kuwa lengo lao kwa sasa ni KUICHINJIA BAHARINI CCM.
 
Hapa kwetu kijiji cha misigiri nkingi,kizaga,miembebi,kichangani,msimbazi na njiapanda. Na kata mpya ya Mkulu yenye vijiji vitatu vyote tumepeta CCM Chadema mtajinye
 
Wewe ndio utakuwa kichaa katika kata ya Kinungu ambayo inaongozwa na CDM baba yake na Diwani wa Chadema amegaragazwa na CCM imepita bila kupingwa!

Iramba ndio CCM wamefanya kufuru kwani hata Katibu wa CDM Bwana Alfayo ameduwaa na Hana cha kufanya! Kwa hakika CCM ni kiboko!

Hii ni utangulizi Picha yenyewe mtaipata Dec 14
 
Hawa lazima wakae safari hii zetu kazi siyo porojo na habari kamili mtaipata Dec 14 kwani CCM lazima itashinda kwa kishindo na tunataka nchi nzima tupate zaidi ya 98% vitongoji, vijiji na mitaa!
 
Chama cha Mapinduzi wilaya za Iramba na Igunga zimepata Viti vya awali kabla ya uchaguzi wenyewe tarehe 14 December na kufanya zaidi ya 50% ya vitongoji na vijiji kupita bila kupingwa!

Kwa Iramba jumla ya vitongoji 256 Kati ya vitongoji 392 tayari CCM imeshatangaza ushindi na vijiji 26 Kati ya vijiji 70 tayari kazi imekwisha! Igunga jumla ya vitongoji 426 Kati ya 628 tayari CCM imeshatangaza ushindi!

Kwa Hali hii inafanya katika wilaya hizi kazi kuwa rahisi sana na kufanya mbunge wa Iramba Mh Mwigulu kuwa na Hali nzuri Mara dufu kisiasa kuliko watu wanavyofikiria!

Hongera CCM hongereni Iramba na Igunga.
......teh teh tehe! hongereni!!!! nawapongeza wakuu wa Wilaya hizi kwa kujua kucheza na media pia;
 
Huyo mleta mada hakuna analolijua ndugu mwache kama alivyo uchaguzi ukifanyika sidhani kama atarudi hapa JF, kwani ikumbukwe chaguzi zilizopita CCM walinunua karibu shahada zote za vijana na kuwakosesha haki ya kupiga kura lakini kwa sisi tuliopo huku vijana wamehamasika kujiandikisha kwa nguvu zote na hasira zao za kupokonywa shahada zao wanatamka wazo kuwa lengo lao kwa sasa ni KUICHINJIA BAHARINI CCM.

Tunataka facts siyo blaablaa hapa! Kila siku slogan sasa inakula kwenu, na hili litakuwa fundisho lililo dhahiri kabisa!

Kwani uchaguzi wa serikali za mitaa utatupa Picha kamili ya 2015. Acha Mpige kelele zetu kazi nyumba kwa nyumba nyie endeleeni kubweteka humu JF kwani ukombozi upo humu JF ndivyo mnavyoamini
 
Wewe ndio utakuwa kichaa katika kata ya Kinungu ambayo inaongozwa na CDM baba yake na Diwani wa Chadema amegaragazwa na CCM imepita bila kupingwa!

Iramba ndio CCM wamefanya kufuru kwani hata Katibu wa CDM Bwana Alfayo ameduwaa na Hana cha kufanya! Kwa hakika CCM ni kiboko!

Hii ni utangulizi Picha yenyewe mtaipata Dec 14

Ndugu jitahidi basi kuwa na akili hata zile ndogo za chekechea unaposema amegalagazwa inamaanisha huko Kinungu uchaguzi mliisha fanya? na uchaguzi huo ni wa ngazi ipi?
 
Chama cha Mapinduzi wilaya za Iramba na Igunga zimepata Viti vya awali kabla ya uchaguzi wenyewe tarehe 14 December na kufanya zaidi ya 50% ya vitongoji na vijiji kupita bila kupingwa!

Kwa Iramba jumla ya vitongoji 256 Kati ya vitongoji 392 tayari CCM imeshatangaza ushindi na vijiji 26 Kati ya vijiji 70 tayari kazi imekwisha! Igunga jumla ya vitongoji 426 Kati ya 628 tayari CCM imeshatangaza ushindi!

Kwa Hali hii inafanya katika wilaya hizi kazi kuwa rahisi sana na kufanya mbunge wa Iramba Mh Mwigulu kuwa na Hali nzuri Mara dufu kisiasa kuliko watu wanavyofikiria!

Hongera CCM hongereni Iramba na Igunga.

Escrow account
 
wewe ndio utakuwa kichaa katika kata ya kinungu ambayo inaongozwa na cdm baba yake na diwani wa chadema amegaragazwa na ccm imepita bila kupingwa!

Iramba ndio ccm wamefanya kufuru kwani hata katibu wa cdm bwana alfayo ameduwaa na hana cha kufanya! Kwa hakika ccm ni kiboko!

Hii ni utangulizi picha yenyewe mtaipata dec 14

mkuu hivi huko benki japo akaunti yako inasoma hata kabalance ka milioni 1 leo tarehe 25 november?? Sasa wenzako wanawekewa bilioni 1.6 za matumizi tu ya kawaida, upo?? Polesana, endelea kucheka cheka na kufurahia hayo unayoyaona!! Wenzako hawanywi maji ya madimbwi hayo mnanyoshea na punda, wenzako wanakunywa maji ya kilimanjaro ya chupa yakiisha wanafungua mengine, wanaoga maji ya kilimanjaro, polesana!! Watoto wao wanasoma shule za chekechea tu ada kwa mwaka milioni 5, ambapo wewe hizi ni ndoto kuwahi ishika hii pesa kwa mara moja!
 
Shelui hapa tuna maji safi na salama tangia mwaka 1948, tunalima Alizeti, tunakula wali wetu watoto wanasoma basi ndio maisha haya kwani wewe mwenye billion 2 hongera zako!

Cha mtu Sumu heri Mia Moja uliyoipata kwa halali kuliko billion 2 za maneno kwahiyo tunaridhika na tulichonacho!
 
Chadema na wapinzani wezao wataisoma wenzao ccm wanafanya siasa kuwatumikia watu wapinzani wanafanya siasa za kuandamana na kufukuzana.
 
Wewe utakuwa ni kichaa kwa hali ilivyo hususani kule Igunga hicho ulichokiandika ni upuuzi kwani kwa sasa wasukuma wameishaamka na nakuhakikishia yale yaliyofanyika kugeuza matokeo ya uchaguzi uliomsimika kafumu Ubunge wa kubumba hayatatokea kwenye uchaguzi huu.
Kwahiyo wewe utakuwa mwehu?
 
Kimetangazaje ushindi? au wewe na ccm ndo mmekuwa tume ya uchaguzi?
 
Huyo mleta mada hakuna analolijua ndugu mwache kama alivyo uchaguzi ukifanyika sidhani kama atarudi hapa JF, kwani ikumbukwe chaguzi zilizopita CCM walinunua karibu shahada zote za vijana na kuwakosesha haki ya kupiga kura lakini kwa sisi tuliopo huku vijana wamehamasika kujiandikisha kwa nguvu zote na hasira zao za kupokonywa shahada zao wanatamka wazo kuwa lengo lao kwa sasa ni KUICHINJIA BAHARINI CCM.

\\\\mdogo wetu kibogo, tutaona kama kweli wewe una msimamo . jee CCM ikishinda kwa vishindo wewe utafanyajee???????????????????????????????????

Tujulishe toweke record
 
Chadema na wapinzani wezao wataisoma wenzao ccm wanafanya siasa kuwatumikia watu wapinzani wanafanya siasa za kuandamana na kufukuzana.
Simiyu yetu hawa watajinye tunasema habari ndo hiyo ccm hatufanyi kampeni kwenye keyboard
 
Back
Top Bottom