IQ ya Nyerere ilikuwa kubwa sana: Debate kati ya Nyerere na mke wa Rais Roosevelt

Jan. huyu huyu aliyeiba mitihani Galanosi,hahah.
 
Ukimuangalia Nyerere anavyosikiliza majadiliano, utaona ni mtu aliyependa kujifunza. Hakutaka kurupuka na majibu ya arrogance kama hawa tulionao leo. Wanaopigiwa makofi hata kwa kutaja jina lake.
 
Ukimuangalia Nyerere anavyosikiliza majadiliano, utaona ni mtu aliyependa kujifunza. Hakutaka kurupuka na majibu ya arrogance kama hawa tulionao leo. Wanaopigiwa makofi hata kwa kutaja jina lake.
Mtu hata akikohoa tu wanapiga makofi
 
Nadhani wanaopigapiga kelele na kusema mtu fulani kaifanyia mengi Tz ni wale waliozaliwa early 2000's,na vitoto vya saizi havitaki kujisomea vinashinda na series tu.....Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote nchi hii
 
Elanor Roosevelt alisema ukweli, nchi nyingi za Afrika pamoja na Tanganyika hazikuwa tayari kujitawala. Viongozi waliopigania uhuru Afrika walilazimisha mambo na matokeo yake nchi zilipata matatizo wazungu walivyowaachia utawala. Nchi nyingi pamoja na Tanzania ziliporomoka kiuchumi, nyingine zilipigana vita baada ya kupata uhuru.
 
Mtu yeyote ambaye anatumia akili nyingi kutafuta suluhisho la jambo na kutumia masaa mengi akifanya kazi inayotumia ubongo 'life span' yake hupungua.................the scientists have the vivid answer on this phenomenon
 
Mkuu sijuwi umeitoa wapi?! An absolutely GOLDMINE ndugu, I hope wengine watapata muda na bundle ya kuangalia hii clip, ASANTE SANA...
 
Kwa jinsi jamaa alivyojieleza hapo bila shaka mabeberu wakaona hakuna sababu ya kumkataza huyu mtu anachokitaka....Uhuru wa Taifa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…