Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi cha Nyerere kilikuwa komesha sana,
Watu walikuwa weredi sana kwa kila walichokuwa wakifanya.
Kuna wapuuzi wanawalinganisha baadhi ya viongozi na Baba WA Taifa.
Nyerere kwa elimu yake alikuwa anauwezo mkubwa wa kuchambua mambo na siasa za ulimwengu kuliko wenye PhD zao wa sasa hv.
Nyerere, Salim Ahmed Salim, Hashim Mbita, Hassan Ngwilizi,
Kwa sasa hivi, Ambapo tunavilaza walioenda shule kama Kabudi, Mpango, watu pekee ambao naona wana ka unyerere ndani yao ni, January Makamba, Suleiman Jafo, na Halima Mdee
Mtu hata akikohoa tu wanapiga makofiUkimuangalia Nyerere anavyosikiliza majadiliano, utaona ni mtu aliyependa kujifunza. Hakutaka kurupuka na majibu ya arrogance kama hawa tulionao leo. Wanaopigiwa makofi hata kwa kutaja jina lake.
Ni sawa sana! Ni kawaida unapokuwa na fikra kubwa kuliko wanaokuzunguka, utafanikiwa pale tu utakapotumia nguvu.Ila alikua dictator
Wakati huo Nyerere alikuwa Yanki tu wa miaka 37 au 38 lakini alikuwa akitema madini ya hatari.
Wanasiasa vijana wa leo mna la kujifunza namna ya kufanya midahalo, solution ni kujisomea sana, kuwa na maarifa mengi.
Ukimsikiliza Mwalimu hapa yaani anatambaa smoothly kabisa na panel ya kwenye huo mjadala bila wasiwasi wowote
Kwanza ana command nzuri ya English, lakini pia ana substance, yaani kichwani yuko vizuri.
No wonder profesa Mazrui wa Kenya aliwahi kusema kuwa kwa Marais wote wa Afrika wa kizazi cha Uhuru, hakuna aliyekuwa Intellectual wa kumfikia Nyerere.
Huyu mzee alikuwa kichwa siyo mchezo!
We haumo?Halafu kuna vijitu vimepata vijidigrii vya fojari hadi kushindwa hata kuji express kwa kizungu eti navyo vinajilinganisha na mwalimu.
nonsense!
Wakati huo Nyerere alikuwa Yanki tu wa miaka 37 au 38 lakini alikuwa akitema madini ya hatari.
Wanasiasa vijana wa leo mna la kujifunza namna ya kufanya midahalo, solution ni kujisomea sana, kuwa na maarifa mengi.
Ukimsikiliza Mwalimu hapa yaani anatambaa smoothly kabisa na panel ya kwenye huo mjadala bila wasiwasi wowote
Kwanza ana command nzuri ya English, lakini pia ana substance, yaani kichwani yuko vizuri.
No wonder profesa Mazrui wa Kenya aliwahi kusema kuwa kwa Marais wote wa Afrika wa kizazi cha Uhuru, hakuna aliyekuwa Intellectual wa kumfikia Nyerere.
Huyu mzee alikuwa kichwa siyo mchezo!
The brightest man ever to have in our country